mencare_tz

mencare_tz ELIMU | USHAURI | TIBA

>Tunasaidia wanaume kuondokana na changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume.

Wakati mwingine matatizo ya ngono ni udhihirisho wa suala la msingi ambalo unahitaji kulitatua, hivyo usisite kuzungumza...
02/07/2023

Wakati mwingine matatizo ya ngono ni udhihirisho wa suala la msingi ambalo unahitaji kulitatua, hivyo usisite kuzungumza na daktari wako kuhusu changamoto hizi kupata matibabu, mwongozo na hatua thabiti za kuchukua.

Like if you learned something new.
Check my stories for more tips and value.


Njia ya msingi zaidi ya matibabu ya kukosa usingizi ni kupata muda wa kutosha wa kulala, kwa kawaida masaa 7 hadi 9 kila...
12/02/2023

Njia ya msingi zaidi ya matibabu ya kukosa usingizi ni kupata muda wa kutosha wa kulala, kwa kawaida masaa 7 hadi 9 kila usiku. Hii mara nyingi ni rahisi kusema kuliko kufanya.

Mwanaume jitahidi katika kipengele cha mzunguko wako wa kulala, ikiwa uko vibaya basi fanya jitihada za kuboresha mtindo wako wa maisha kwasababu hii tabia itagarimu URIJALI wako.

Tell me more in the comments.

Shirika la Afya Ulimwenguni linafafanua afya ya ngono k**a hali ya ustawi wa kimwili, kihisia, kiakili na kijamii kuhusi...
05/02/2023

Shirika la Afya Ulimwenguni linafafanua afya ya ngono k**a hali ya ustawi wa kimwili, kihisia, kiakili na kijamii kuhusiana na suala la kujamiiana sio tu kukosekana kwa ugonjwa (kutokua na tatizo la kiafya).

Like and take a screenshot so you don't forget.


kwa kuwa uvutaji sigara huathiri kila mfumo wa mwili, kutafuta namna ya kuacha ni hatua muhimu zaidi unayoweza kuchukua ...
04/02/2023

kwa kuwa uvutaji sigara huathiri kila mfumo wa mwili, kutafuta namna ya kuacha ni hatua muhimu zaidi unayoweza kuchukua kwa ajili ya maisha yako.

Faida moja ya kuacha kuvuta sigara ni kwamba inaboresha mzunguko wa damu mwilini. Hili litaongeza kiwango cha mtiririko wa damu kwenye uume. Hivyo itasaidia kupata kusimamisha na kudumisha uimara wa uume.

Kwa bahati nzuri ikiwa utaacha kuvuta sigara, afya yako ya mishipa (vascular health) na ya ngono (sexual health) inaweza kuimarika.

Tell me more in the comments👇🏾


MWANAUME UNAHITAJI FIBER ZAIDI:Kwakuwa miongoni mwa sababu za upungufu wa nguvu za kiume ni kupungua kwa mtiririko wa da...
03/02/2023

MWANAUME UNAHITAJI FIBER ZAIDI:

Kwakuwa miongoni mwa sababu za upungufu wa nguvu za kiume ni kupungua kwa mtiririko wa damu kutokana na Uchochezi ( Inflammations ) ambao huathiri mishipa ya damu.

Kutokana na hilo huna budi kuchagua vyakula vyenye nyuzinyuzi ( dietary fibers ) na antioxidants kwa wingi ambavyo husaidia kukabiliana na suala hili kwasababu vinachukuliwa kuwa vya kuzuia Uchochezi mwilini ( Inflammations ).

Click save to implement later.

Address

Victoria, Makumbusho
Dar Es Salaam

Telephone

+255747233477

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mencare_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to mencare_tz:

Shortcuts

Share

Category