Afya Bora

Afya Bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Bora, Vitamins/Supplements, Dar es Salaam.

*FAHAMU JINSI UZITO MKUBWA,KITAMBI NA NYAMA ZEMBE ZINAVYOPELEKEA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.**Watu wengi hujiuliza   je  ...
11/06/2021

*FAHAMU JINSI UZITO MKUBWA,KITAMBI NA NYAMA ZEMBE ZINAVYOPELEKEA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.*

*Watu wengi hujiuliza je kuna uhusiano gani ya mimi kuwa na uzito mkubwa na kukosa nguvu za kiume? Jibu ni.....*

1. Kuwa na uzito mkubwa huongeza idadi ya sumu mwilini hivyo huingilia utendaji kazi na uzalishwaji wa hormone ya kiume yaan TESTOSTERONE mwilini na badala yake kuzalishwa hormone ya k**e yaan ESTROGEN.
Hivyo basi shughuli zote za Afya ya uzazi ya mwanaume ,uwepo wa sauti nzito, misuli, ukuuaji wa uume, uwezo wa kushiriki tendo la ndoa na afya ya moyo kushindwa kufanyika kiufasaha kwa sababu hormone ya kiume inakuwa inazalishwa kwa kiwango cha chini.

2. Uwepo wa nyama zembe katikati ya mapaja hufanya korodani ziwe kwenye joto kubwa zaidi ya 35C ambalo sio salama kwa uzalishwaji wa mbegu.
Hivyo mbegu kuzalishwa ndogo,nyepesi na hafifu na kushindwa kutungisha mimba.

3. Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume mnene zaidi ya inch 40 kiuoni wapo kwenye hatari zaidi ya kupata tatizo la utanukaji wa tezi dume na kansa yake.
Maana uzito wa mafuta huleta shida kwenye tezi.
Na katika uhalisia tezi ikishaanza tu kutanuka mwanaume hushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi.

4. Kitambi kinaenda bega kwa bega na upungufu wa nguvu za kiume.
Kwa nini? Kwa sababu kitambi huharibu mzunguko wa damu. Tunahitaji mzunguko wa damu wenye afya kwa ajili ya damu hiyo kuingia ndani ya uume na kujaa.
K**a damu haingii ya kutosha kwenye uume nguvu za kiume pia hupotea. Uume hauwezi kusimama vizuri na huwezi kuwa na ufanisi mzuri wakati wa tendo.

5.Pia uzito wa mafuta ya kwenye kitambi hudhuru misuli iitwayo "*pelvic floor muscles*". Hii ni misuli muhimu sana, iko chini ya nyonga. Inafanya kazi nyingi, baadhi ya kazi zake ni kusaidia kusimamisha uume kuwa imara kabisa, na pia kuzuia kufika kileleni haraka.
Mafuta ya kwenye kitambi huidhikisha na kuidhoofisha misuli hii na hivyo kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

*Tunaposema mtu ana upungufu wa nguvu za kiume tunamaanisha vitu vifuatavyo:*

1. Uume wa mwanaume kushindwa kusimama kabisa au kuwa legelege.
2. Mwanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa.
3.Mwanaume kushikiriki tendo mala moja tu na kushindwa kurudia tendo.
4. Mbegu za mwanaume kuwa nyepesi na kushindwa kutungisha mimba.
5. Kufika kileleni mapema na kushindwa kurudia mpaka mda fulani upite..

*Hivyo basi kuna ulazima wa mtu wa namna hiii kupata virutubisho pamoja na mazoezi ili kuweza kuondokana na changamoto hizi.*

*KUMBUKA:*
Program zetu zote za kupunguza uzito na kumaliza tatizo la nguvu za kiume ni za virutubisho, hivyo zina faida nyingi sana kwako mtumiaji na ni guaranteed.

*UNAPATA CHANGAMOTO HII !??.*
*NJOO TUZUNGUMZE.*

*MAWASILIANO:*
*0787813243.*

Epuka fedheha dhibiti kutanuka kwa tezi dume,Boresha uwezo wa Tendo,uwezo wa kurudia,Hamu ya tendo Nguvu na stamina.
17/05/2021

Epuka fedheha dhibiti kutanuka kwa tezi dume,Boresha uwezo wa Tendo,uwezo wa kurudia,Hamu ya tendo Nguvu na stamina.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share