Dr.David

Dr.David Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr.David, Doctor, Dar es Salaam.

Watu husema  sio lazima kupiga mswaki meno ya utotoni(milk teeth) UKWELI:Hata k**a meno ya utotoni yatang'olewa,  yanapa...
19/05/2022

Watu husema sio lazima kupiga mswaki meno ya utotoni(milk teeth)

UKWELI:
Hata k**a meno ya utotoni yatang'olewa, yanapaswa kusuguliwa. Tabia nzuri k**a hii itamsaidia mtoto kujenga fikra njema ya usafi wa kinywa kwa maisha yake ya badae.
Hivyo inashauriwa kupiga mswaki mara mbili kwa siku. Ingiza tabia hii kwa mtoto anapopata meno yake ya awali.

Zungumza nasi kwa ushauri/ elimu zaidi na pia utatuzi wa changamoto yoyote kiafya kupitia Whatsapp no. 0687750081.......... .davidtz

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.David posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category