uzazi_familly

uzazi_familly Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from uzazi_familly, Women's Health Clinic, Dar es Salaam.

Soma hii Ni Takwimu zinaonyesha kuwa    idadi ya Ndoa Nyingi Hupitia Changamoto ya kuchelewa Kupata watoto  kutokana na ...
18/09/2022

Soma hii Ni

Takwimu zinaonyesha kuwa idadi ya Ndoa Nyingi Hupitia Changamoto ya kuchelewa Kupata watoto kutokana na Wasichana wengi kutumia njia za uzazi wa mpango Zenye kuwaongezea Vichocheo katika miili yao Ambayo Huwa ndo chanzo cha Mvurugiko wa Homon's.

Lakini pia Takwim zinaonyesha kuwa wasichana wengi kwa sasa katka Maisha yao Hutoa mimba zaidi ya1.
Na hii kuchukua Asilimia tisini ya wasichana wanaokua kwenye mahusiano na wanaume zaidi ya mwaka mmoja kabla ya ndoa hutoa mimba na asilimia tano tu ya wote ndio wanaamua kuzaa
Naomba Nikwambie jambo Ambalo wenda hulijui kwa sasa Ni swala la kawaida kusikia mwanamke ameolewa akiwa ametoa mimba nne mpaka tano.

Ukiachana na Madhara mengine Anayoweza kuyapata mwanamke Ni .
Utoaji wa mimba kimsingi Uharibu mlango wa mfuko uzazi na kufanya mimba kutoka kabla ya muda wake endapo mwanamke atabahatika kunasa tena!!!!

Lakini kutokana na kurazimisha kutoa kiumbe hicho kwa nguvu Husababisha michubuko katika via vya uzazi hivyo kufanya mwanamke kushambuliwa na bacteria korofi Ambao kimsingi huweza kusababisha Mwanamke kutokwa na uchafu ukeni Au kuwa na maambukizi katika via vya uzazi .
Njoo tuanze dozi mapema kabla ya madhara haya
Call: wtsp.

ILI UPATE UJAUZITO FANYA HAYAπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’š   Wewe Ni mwanamke Unahitaji kupata mtoto basi Nikwambie kuwa  kufanya tendo la ndoa n...
11/04/2021

ILI UPATE UJAUZITO FANYA HAYAπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ’š Wewe Ni mwanamke Unahitaji kupata mtoto basi Nikwambie kuwa kufanya tendo la ndoa ni Njia ya kwanza Inayoaminika tendo kimsingi hutakiwa kufanyika wakati wa ovulatuon watu wengi huuliza
πŸ’š NI Lini Ushiriki Tendo la Ndoa ili Kuongeza Uwezekano wa Kushika Ujauzito? Nataka nikujibu

πŸ’š kuwa ️Siku nzuri kwa mwanamke kushirki tendo la ndoa ili uongeze uwezekano wa kushika ujauzito ni ile siku za hatari (window period).
Siku hizi zinajumuisha na siku 3 kabla ya siku ya 14 ambapo yai hutolewa,na siku zaidi ya moja baada ya siku ya 14 kwa mwanamke mwenye Afya bora

πŸ’š Kumbuka ili kupata siku ya 14 unahesabu kuanzia pale ulipopata hedhi Siku ya 14 ni siku ambapo yai hutolewa kwenye ovari na kwenda kusubiri mbegu kwenye mirija ya uzazi hivyo kushiriki tendo kabla ya siku hiyo bado kunakupa nafasi ya kupata Ujauzito sababu mbegu inaweza kuishi masaa72 bila kufa endapo mwanamke Anapata ute ute wa uzazi.

πŸ’š anakushauri kuwa hakikisha unafanya tendo zaidi kwenye kipindi hiki wakati Yai linapotolewa kwenye ovari hata pia yai linaweza kusubiri kwa masaa 48, lakini mbegu ya kiume yenyewe inaweza kukaa kwenye kizazi zaidi ya masaa 72 kusubiri yai liweze kutolewa.

πŸ’š Lengo ni mbegu ya kiume ikutane na yai la mwanamke ili urutubishaji ufanyike na mimba itungwe wewe
Utajuaje k**a yai hili limetolewa kwenye mfuko wa mayai? Follows Anauliza

πŸ’š ⏺️Njia ya kwanza ni kuhesabu mpangilio wako wa hedhi hii itakusaidia sana kufahamu siku ya kwanza na kumaliza kupata hedhi

πŸ’š Tumia kalenda kufatilia siku zako Angalia mzunguko wako k**a unachukua siku 28 basi yai hutolewa siku ya 14.
Kumbuka siyo kila mwanamke anapata yai siku ya 14, wengine huwa na mzunguko mrefu zaidi Au mfupi chukua huo mzunguko wako gawanya mara2 ndo siku ya ovulation then toa siku4 na ongeza siku4 mbele bado utakuwa na nafasi

πŸ’š Hatua nyingine ni ute hili nalo la kuzingatia sana lazima upate ute wa ovulation ute husaidia sana kusafirisha mbegu Kuilinda na kuondoa/kuzuia mbegu isife haraka.

Je unatatizo la kutobeba ujauzito kwa wakati?????
Call: wtsp

Mtoto ni Baraka katika Ndoa Je Nawewe Ndoa yako imeanza kuwa na misukosuko kwa sababu ya kutoshika ujauzito kwa mda mref...
09/04/2021

Mtoto ni Baraka katika Ndoa
Je Nawewe Ndoa yako imeanza kuwa na misukosuko kwa sababu ya kutoshika ujauzito kwa mda mrefu sasa.
Njoo tuanze dozi Utaitwa Mama.
Call: wtsp.

Kimeumana sasa yaani Hata yeye Haelewi Mimba Imeingia lini Anashangaa Mwenyewe Kikubwa Mimba ishaingia Sina maneno mengi...
09/04/2021

Kimeumana sasa yaani Hata yeye Haelewi Mimba Imeingia lini Anashangaa Mwenyewe Kikubwa Mimba ishaingia Sina maneno mengi pesa yako haijapotea bureeπŸ€—πŸ€—πŸ€—

Haya karibuni Tuanze dozi K**a unapitia changamoto yoyote ya uzazi
Call: wtsp.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when uzazi_familly posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share