05/02/2022
Kuku ni fursa ambayo inaweza kukupatia faida kubwa kwa gharama kidogo bila kuathiri ratiba zako.
Unachotakiwa kufanya ni kuamua kuanza kufuga na kufuata ushauri wa kitaalam.
Haihitaji mtaji mkubwa ili kuanza kufanya biashara hii.
Piga simu namba 0765760629.