ACID Reflux solution.

ACID Reflux solution. Tunawasaidia wenye changamoto za ACID NYINGI TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) kupitia mimea tiba na LISHE

BAADHI YA DALILI ZA ACID REFLUX (KUPANDA KWA ACID KOONI)1.πŸ”— Kuhisi kitu kukwama kooni.2.πŸ”— Moyo kwenda mbio (heart palpit...
07/09/2026

BAADHI YA DALILI ZA ACID REFLUX (KUPANDA KWA ACID KOONI)

1.πŸ”— Kuhisi kitu kukwama kooni.
2.πŸ”— Moyo kwenda mbio (heart palpitation)
3.πŸ”— Mwili kuwa na uchovu
4.πŸ”— Kuhisi Kizunguzungu na maumivu ya kichwa.
5.πŸ”— Kiungulia kikali
6.πŸ”— Tumbo kuwaka moto.
7.πŸ”— Masikio kupiga kelele/kuwa mazito.
8.πŸ”— Kupata ganzi kwenye vidole vya mikono au miguu.
9.πŸ”— Kuwa na wasiwasi na hofu kupita kiasi na kuwaza kufa mara kwa mara.
10.πŸ”— Kukata tamaa ya kuishi na kuhisi dunia imekutenga.
11.πŸ”— Kuhisi kuchanganyikiwa na kuhisi kichwa kina mambo mengi sana.
12.πŸ”— Kusahau mara kwa mara
13.πŸ”— Macho kupunguza uwezo wa kuona.
14.πŸ”— Kuota ndoto za kutisha mara kwa mara.
15.πŸ”— Kukosa hamu ya kula.

Utapata matibabu kamili ya ACID REFLUX kwa gharama ya shilingi 9,700/= (ELFU TISA NA MIA SABA TU).

MAWASILIANO:
+255 656 198 441
[email protected]
DAR ES SALAAM, ILALA.

02/06/2026
0656 198 441
02/06/2026

0656 198 441

SULUHISHO LA KUPANDA KWA ACID KOONI (ACID REFLUX-GERD)DALILI KUU ZA ACID REFLUX 1. Kiungulia kikali (Heart burn)2. Kuhis...
11/05/2026

SULUHISHO LA KUPANDA KWA ACID KOONI (ACID REFLUX-GERD)

DALILI KUU ZA ACID REFLUX
1. Kiungulia kikali (Heart burn)
2. Kuhisi kitu kukwama kooni
3. Kuhisi kuchanganyikiwa
4. Kusahau mara kwa mara
5. Tumbo kuwaka moto
6. Mapigo ya moyo kwenda mbio
7. Tumbo kujaa gesi
8. Kuhisi kukata tamaa
9. Kuota ndoto za kutisha
10. kupata gazi kwenye vidole vya mikono na miguu
11. Maumivu ya kichwa na Kizunguzungu
12. Macho kupunguza uwezo wa kuona
13. Kikohozi kisichoisha
14. Kuhisi kichefuchefu na kutapika wakati mwingine
15. Mawazo ya kutaka kujidhuru/kujiua
16. Kuhusi umerogwa
17. Masikio kuwa mazito/kupiga kelele
18. Kuhisi k**a homa na mwili kuchoka sana
19. nk

MADHARA MAKUU
1. Saratani ya koo (Oesophageal adenocarcinoma)
2. Ngiri ya Kifua (Hiatal hernia)
3. Matatizo ya kupumua (lung abscess)
4. Kukata tamaa ya kuishi
5. Fangasi kinywani (Oesephageal Candidiasis)

KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: ‡️
PANDEX HERBAL CLINIC
[email protected]
0656 198 441
DAR ES SALAAM, ILALA

DALILI ZA KUPANDA KWA ACID KOONI (ACID REFLUX-GERD)1.πŸ”— Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,...
11/05/2026

DALILI ZA KUPANDA KWA ACID KOONI (ACID REFLUX-GERD)

1.πŸ”— Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.πŸ”— Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.πŸ”— Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.πŸ”— Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.πŸ”— Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.πŸ”— Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.πŸ”— Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.πŸ”— Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.πŸ”— Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.πŸ”— Kupata kikokozi kisichoisha
11.πŸ”— Kuvimba Tonsils/mafidofido mara kwa mara.
12.πŸ”— Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.πŸ”— Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.πŸ”— Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.πŸ”—Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.πŸ”— Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.πŸ”— Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.πŸ”— Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.πŸ”— Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.πŸ”— Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.πŸ”— Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.πŸ”—Kichefuchefu na kutapika.
23.πŸ”— Sehemu za mwili kuchezacheza mfano chini ya macho
24.πŸ”— Masikio kuunguruma/kupiga kelele/kuwa mazito
25.πŸ”— Mwili kuwasha na ngozi kufifia rangi yake.
26.πŸ”— Kuhisi ganzi hasa kwenye vidole vya miguu na mikono.
27.πŸ”— Kupata kwikwi mara kwa mara.
28.πŸ”— Presha kupanda (temporary hypertension)
29.πŸ”— Kucheua majimJi machachu yenye rangi ya njano au kijani
30.πŸ”— Kuhisi jamii imekutenga na kukata tamaa ya kuishi.
31.πŸ”— Kuhisi vitu vinatembea mwilini.
32.πŸ”— Kuhisi umerogwa hali inayopelekea wengi kukimbilia kwa waganga wa mizimu.

KWA MSAADA NA USHAURI, WASILIANA NASI:‡️‡️

__________________________________
PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
[email protected]
DAR ES SALAAM.
ILALA-PANGANI & UTETE STREET.
__________________________________

Address

ILALA-PANGANI & UTETE Street
Dar Es Salaam
1000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ACID Reflux solution. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to ACID Reflux solution.:

Shortcuts

Share