24/09/2020
Tumezoea neno kustaafu kumaanisha kufika umri wa miaka 55 kwa hiari au 60 kwa lazima na kutoka ofcn.
Hebu tutazame kwa upande wa wachezaji mpira wa miguu wao hustaafu soka mapemaa pale tuu uwezo unapopungua kulingana ufanisi unaotakiwa.
Tuwe positive maisha ni hatua
tuendelee kujifunza
Unastaafu kimoja unafanya kingine kwa ufanisi zaidi ili kuendana na hali na kufurahia maisha .
Tunaishi mara moja!!