Mwezeshaji Tiba Lishe

Mwezeshaji Tiba Lishe Chakula Tiba Clinic

Zipo sababu nyinyi zinazo pelekea mtu kupata kipara katika umri mdogo wa kati na kuendelea.Mabadiliko HormoneUrifhi (Gen...
19/12/2025

Zipo sababu nyinyi zinazo pelekea mtu kupata kipara katika umri mdogo wa kati na kuendelea.
Mabadiliko Hormone
Urifhi (Genetic
Dawa
Msongo wa Mawazo
Matunzo mabaya ya nywele
Lishe
Umri
Magonjwa ya Kinga
Mazingira

Leo tutazungumzia kwa kifupi jinsi gani homoni inachochea kupata kipara na ndio mara nyingi vinatokana na kurithi.
Jinsia zote hubeba homoni ijulikanayo Testosterone, japo kwa mwanamke hupatikana kwa kiwango kidogo ukilinganisha na Mwanaume , japo kipara imezoeleka kwa wanaume.

Hormone ya Testosterone huchochea uzalishaji wa homone ya Androgen (DHT) kwa msaada wa kimeng'enyo (enzymes) ijulikanayo 5-alpha reductase.
Hii androgen homoni no zao la Testosterone kwa lugha nyepesi.

Kitendo cha mwili kuzalisha hormone hizi za uzazi, lakini wapo baadhi watu miili yao huzalisha kwa wingi Androgen (DTH) hormone.

Watu hawa wenye vinasaba vinavyo chochea uzalishaji mkubwa wa homoni hii ya Androgen ni rahisi kupata kipara katika umri wa mapema.

Homoni hii huchochea mtiririko mbaya wa damu kwenye mizizi ya nywele;
Hufupisha muda wanywele kukua
Hupunguza ukubwa wa vinyweleo
Hivyo nywele zinakuwa nyembamba fupi dhaifu , hatimaye huacha kukua na kipara kujitokeza.

Homa ya Ini ni tatizo linalosabishwa na matumizi ya dawa bila ushauri wa kitabibu  sambamba na  maambukizi ya  virusi vi...
04/12/2025

Homa ya Ini ni tatizo linalosabishwa na matumizi ya dawa bila ushauri wa kitabibu sambamba na maambukizi ya virusi vinavyo shambulia Ini .

Tatizo la virusi vinavyo shambulia Ini mara nyingi ndio huongoza kushambulia Ini kwa asilimia 99% kwa sababu njia hii ya maambukizi watu wengi wanakosa umakini kwa sababu pengine kwa kuaminiana kirahisi au pengine kwa usili ya njia yenyewe.

Moja kati ya njia za maambukizi ni kujamiaana , kuchangia sindano na vitu vyenye ncha kali na mama kwa mtoto na mtu mwenye tatizo la homa ya ini ,

Maambukizi ya homa ya ini huchangiwa zaidi na homa ya Ini B na C japokuwa kuna aina nyingine za homa ya tunapata kwa kunywa maji yaliyo chafuliwa na kinyesi cha mgonjwa wa homa ya Ini.

Tabizo hili hutibika kwa kuziwezesha kinga zako za mwili kupambana na virusi kwa kutumia Atrodia Mushroom herbal.

Uyoga huu unapatikana huko barani Asia katika nchi ya Taiwani , Uyoga huu huota katika Miti ya aina ya Mierezi inayostawi katika nchi hiyo.

Kazi kubwa za uyoga huu ni kuzuia enzymes anazotumia kirusi huyu kujizalisha virusi vipya,
Pia huzuia vinasaba vya virusi kutengeneza Protini kwa ajili kuendelea uzalishaji
Pia huchochea kuharibu seli zilizo shambuliwa na virusi hivyo.
Kwa ufasi wa mmea tiba huu huchochea mwili kutengeneza cell kinga mpya na kufanya uponyaji.

Kwa maswali zaidi na Tiba tuwasiliane kwa namba 0712808001

Address

Wazo Hill
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwezeshaji Tiba Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share