Jifunze elim ya tiba na Anko K

Jifunze elim ya tiba na Anko K Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jifunze elim ya tiba na Anko K, Therapist, Dar es salaam, Dar es Salaam.

FUATILIA KISA hiki chaajabu Binti aliekuwa sababu ya wachawi kugombana kwaajili ya urembo wake
16/12/2023

FUATILIA KISA hiki chaajabu Binti aliekuwa sababu ya wachawi kugombana kwaajili ya urembo wake

Naaam  NDUGU zangu ebu tupate faida hii chache k**a una kesi au mashauri ya vikaoNa huenda kikao kinakuhusu Wewe Kwa TAT...
12/02/2023

Naaam NDUGU zangu ebu tupate faida hii chache k**a una kesi au mashauri ya vikao
Na huenda kikao kinakuhusu Wewe Kwa TATIZO ulilofanya nawe umeonea ili kuziba midomo ya vihere here basi andika hii NA majina ya hao vihere here kisha vaa kofia au kilemda basi funga pamoja na icho kilemba kwa upande wa mbele tia nia nenda basi utasalimika kwa msaada wake mola mlezi wa viumbe shukran

MUME ANAYEKUPENDA 📌1. Hukwambia kuwa anakupenda kila siku. Wakati mwingine atakwambia anakupenda mara kadhaa ndani ya si...
05/12/2022

MUME ANAYEKUPENDA 📌

1. Hukwambia kuwa anakupenda kila siku. Wakati mwingine atakwambia anakupenda mara kadhaa ndani ya siku moja.

2. Ni muungwana na huishi na wewe k**a malkia. Hukushika mkono mnapotembea na kuvuka barabara.

3. Mume akupendaye atakupeleka matembezini angalau mara moja kwa wiki. Anajua umuhimu wa kukaa pamoja wewe tu bila watoto.

4. Mara zote hukuombea mema kwa Mwenyezi Mungu.

5. Mume anayekupenda kila siku anakuhamasisha kuendeleza vipawa na vipaji vyako. Na huwa anajivunia vipawa vyako.

6. Hachoki kukwambia anakupenda na unavutia hata zile nyakati ambazo unajihisi kuwa huna mvuto.

7. Akienda kwenye ibada hupenda uongozane naye.

8. Hasiti kukusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani k**a kufanya maandalizi ya kitanda nk.

9. Hukuamini kwenye matumizi ya fedha na amekuwa hivyo siku zote.

10. Daima amekuwa mwaminifu kwako. Kamwe hajawahi kutetereka katika kushik**ana na ndoa yenu, licha ya majukumu yake nje ya nyumbani.

11. Hupenda chakula upikacho na hajawahi kulalamikia mapishi yako, zaidi atakwambia uongeze juhudi.

12. Hasiti kukununulia zawadi yoyote hata k**a iwe ndogo kiasi gani, atakuletea.

13. Hatochoka kukusaidia kazi za nyumbani kipindi ambacho unaujauzito au unaumwa.

Mniombee Dua Niendelee kua hivihivi maana Tabia hii nilijifunza na kuiga Kwa kakaangu alhaji dokta suley nilivyosafiri nae baadhi ya mikoa kikazi nae akiwa na wake zake wawili mwanzo nilidhani anaekt mbele yetu ila siku zilivyozidi kwenda na kuishi zaidi ya miezi mitatu kikazi mikoa mbalimbali ndipo nikajua kua huyu ni mtu wa ajabu nikaiba hiyo tabia mpaka Leo mbali na kwamba anamapungufu yake lakini katika maisha ya ndoa nilijifunza makubwa mno

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze elim ya tiba na Anko K posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jifunze elim ya tiba na Anko K:

Shortcuts

Share

Category