05/09/2021
Fahamu umuhimu wa kutumia ARG PLUS AFYA YA TENDO LA NDOA, MOYO,BLOOD PRESSURE MUSCLES GROWTH,MISHIPA YA DAMU,RUTUBA YA MWILI.
Muhimu kwa afya yako fahamu sababu 10
Ina 5grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja,na vitamin mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu.L-Arginine ina amino acid muhimu sana kwa afya kiujumla.Miili yetu inabadilisha kuwa Nitric oxide,ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na kuruhusu damu kupita.ARG+ pia ina viondosha sumu k**a pomegranate.
Faida 10 za ARGI+ (1). Ni kirutubisho asilia muhimu sana kutumia kila siku kwa ajili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizuri zaidi (2): ina mfumo wa kinga ya mwili kutokana na Nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuuwa bacteria.hivyo kuupa mwili uwezo zaidi na kupigana na magonjwa. (3) inasaidia kurekebisha kiwango cha Blood pressure kiwe sahii na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla (4):inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni vizuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa dhaifu. (5):Nitric oxide inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili na hivyo inasaidia kuongeza nguvu za kiume. (6):inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi. (7): ina "promegrant" na vimelea vya matunda ambavyo ni viosha sumu inasaidia kuondoa madhara ya free radicals mwilini. (8):Ina vimelea vitokanavyo na "RED WINE" ambayo inasaidia kushusha kiasi cha "CHOLESTROL" mwilini. (9):inaongeza uwezo wa mwili kutumia Insuline(insuline sensitivity) hivyo inafaa sana kuweka uwiano wa sukari mwilini (10): inasaidia kupunguza kasi ya uzee kwa kuzalisha seli mpya kila siku
Kwa mawasiliano
Ushauri