UZITO TIPS

UZITO TIPS C9 ni program ya siku 9 ambayo imetengenezwa kwa lengo la kusafisha mwili na kupunguza uzito

11/05/2023

Clean 9 ni package ambayo inasaidia katika kupunguza uzito,nyama zembe,kitambi ndani ya siku 9 tuu. sababu kitu ni; kuondoa sumu mwilini,taka mwili, na kusafisha mwili. package hii ina products 5 ndani yake ambazo ni; aloe vera gel;inaondoa sumu mwilini, forever lite ultra;ina protein,inasaidia ujiskie umeshiba,inakupa virutubisho vya kutosha vinavyohitajika mwilini. forever fiber;pia ina kifanya ujihisi umeshiba mda mrefu. forever therm;inazalisha joto ,inakupa nguvu na stamina. forever garcinia;inasaidia kupunguza /kuyeyusha/kuchoma mafuta mabaya katika mwili wako. mawasiliano zaidiCall karibuni sana

HII NDIYO SABABU INAYOKUFANYA UNENEPA Sasa Baada ya Mwili Kutengeneza Mafuta Mwilini,Wengi Wetu ndipo Tunashtuka na kuse...
24/12/2022

HII NDIYO SABABU INAYOKUFANYA UNENEPA Sasa Baada ya Mwili Kutengeneza Mafuta Mwilini,Wengi Wetu ndipo Tunashtuka na kusema "Nimenenepa Ngoja nianze Diet au Niende Gym" Yes Gym inasaidia sana kupunguza Calories lakini Kumbuka Ukiburn Calories utakua Unaondoa tu Mafuta lakini haundoi Chanzo cha Kuleta yale Mafuta kwa Kasi(ambayo ni Sumu/Takamwili/Toxins). Sasa ikitokea tu umeacha mazoezi basi mwili unatambua kwamba hakuna tena kuweza kujifadhi sumu so inarudia ile kazi ya kukusanya mafuta upya tena,tena sasahivi itakua kwa kasi sana na ndo maana utaskia watu wengi wanasena "Mimi nilienda Gym miezi miwili nikapungua 2kg lakini nilipoacha nikarudia kwenye Unene".
Call +255 682 927 838

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Telephone

+255682927838

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UZITO TIPS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share