Linda health solution1

Linda health solution1 📌Punguza Uzito bila njaa wala mazoezi Magumu
📌Tokomeza Bawasiri bila Upasuaji
📌Anza maisha bila Vidonda Vya Tumbo sasa Inawezekana!

Whatsap / Call +255 685 585 508
Loc : Dar 🇹🇿

Luka 18:1[1]Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa. Happy sabbath🥰
05/09/2026

Luka 18:1
[1]Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa.

Happy sabbath🥰

ONE VOICE 27MISSION FOR ALLHAPPY SABBATH😻Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri
05/09/2026

ONE VOICE 27
MISSION FOR ALL

HAPPY SABBATH😻

Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri

AJI MKUU NI MUNGU! 🙏Tunamshukuru Mungu kwa ushuhuda wa MADAM WINFRIDA kutoka Mwanza ❤️Kwa MWAKA MMOJA, Madam Winfrida al...
03/09/2026

AJI MKUU NI MUNGU! 🙏

Tunamshukuru Mungu kwa ushuhuda wa MADAM WINFRIDA kutoka Mwanza ❤️

Kwa MWAKA MMOJA, Madam Winfrida alikuwa akisumbuliwa na changamoto ya ACID REFLUX

Baada ya kuanza dose yake, alichukua FULL DOSE YA SIKU 30 yenye thamani ya TSh 340,000 na kwa sasa anaendelea vizuri. 🙏❤️

SOMO MUHIMU: Usikate dose katikati kwa sababu umeanza kuona nafuu.

NA WEWE JE? Bado unasumbuliwa na Acid Reflux au Ulcers?

Tuambie hapa chini 👇
Umesumbuliwa na tatizo hili kwa muda gani?
👇👇👇

❤️ LIKE
💬 COMMENT
🔄 SHARE — huenda ukamfikia mtu anayehitaji msaada.

Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri

Unakaa muda mrefu bila kula halafu tumbo linaanza kuuma, kuwaka au kujaa gesi? Hizi zinaweza kuwa dalili zinazohitaji ku...
03/09/2026

Unakaa muda mrefu bila kula halafu tumbo linaanza kuuma, kuwaka au kujaa gesi?

Hizi zinaweza kuwa dalili zinazohitaji kuchunguzwa.
Usizoe maumivu ya tumbo kila siku.

K**a hali hii inakupata mara kwa mara, tupigie/tuandikie ujumbe WhatsApp kwenda namba +255 685 585 508

Wewe tumbo linakuuma zaidi ukiwa na njaa au baada ya kula? 👇

N:B: Our Whatsap group link on bio👆

Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri

Unapata kiungulia, moto kifuani au chakula kurudi juu baada ya kula? 😣🔥Epuka kulala mara tu baada ya kula.👉 Subiri angal...
03/09/2026

Unapata kiungulia, moto kifuani au chakula kurudi juu baada ya kula? 😣🔥

Epuka kulala mara tu baada ya kula.

👉 Subiri angalau masaa 2–3 baada ya kula kabla ya kulala.

Hii inaweza kusaidia kupunguza kiungulia kwa baadhi ya watu. ❤️

Je, kiungulia kinakusumbua zaidi mchana au usiku? 👇

N:B: Our Whatsap group link on bio👆

Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri

DALILI YAKO NI IPI?✅️Maumivu ya tumbo✅️Kiungulia✅️Choo kigumu✅️Maumivu makali wakati wa kwenda chooniANDIKA DALILI MOJA ...
03/09/2026

DALILI YAKO NI IPI?

✅️Maumivu ya tumbo
✅️Kiungulia
✅️Choo kigumu
✅️Maumivu makali wakati wa kwenda chooni

ANDIKA DALILI MOJA KWENYE COMMENT

Tuko hapa kukusikiliza.♥️

N:B: Our Whatsap group link on bio👆

Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri



Huyu amesema: ‘Dawa inanisaidia, naendelea mpaka nimalize dozi.’ 👏🏾 Sasa wewe uliyeacha baada ya kopo la 1, TUAMBIE KWA ...
01/09/2026

Huyu amesema: ‘Dawa inanisaidia, naendelea mpaka nimalize dozi.’ 👏🏾

Sasa wewe uliyeacha baada ya kopo la 1, TUAMBIE KWA NINI? 👇🏾

N:B;Our whatsap group link on bio👆

Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri


01/09/2026

Baada ya kupona bawasiri, ni muhimu kuendelea na tabia zinazosaidia kuzuia zisirudi tena:

✅️Endelea kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi k**a matunda, mboga, kunde, na nafaka zisizokobolewa.

✅️Kunywa maji ya kutosha kila siku.
Usikawie kwenda chooni unapohisi haja; kuchelewesha kunaweza kufanya choo kigumu.

✅️Epuka kujikaza wakati wa kujisaidia.
Usikae chooni muda mrefu, hasa ukiwa unatumia simu au kusoma.

✅️Fanya mazoezi mara kwa mara ili kusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kufanya kazi vizuri.

✅️Dhibiti uzito wa mwili ikiwa una uzito uliopitiliza, kwani unaweza kuongeza shinikizo kwenye mishipa ya eneo la haja kubwa.

✅️Epuka kukaa au kusimama muda mrefu bila kubadilisha mkao, hasa k**a kazi yako inakulazimisha kufanya hivyo.

✅️Dumisha usafi wa eneo la haja kubwa na epuka vitu vinavyoweza kusababisha muwasho.

✅️Ikiwa dalili k**a maumivu, kuwashwa, uvimbe au kinyama eneo la haja kubwa ,unaona damu wakati wa kujisaidia zitarudi.

Ni vema kuanza tiba mapema.

N:B ; Our whatsap group link on bio👆

Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri

01/09/2026

Nusu saa kabla ya mlo mkubwa
AU
Masaa 2 baada ya mlo mkubwa

Kula matunda haya:
👉Parachichi🥑
👉 Tikitimaji🍉
👉 Papai
👉Tango🥒

Husaidia:
✅ Kuweka mfumo wa chakula sawa
✅ Kuepuka kiungulia
✅ Kuzuia tumbo kujaa gesi
✅ Kusaidia kwenda chooni kwa urahisi

N:B: Our whatsap group link on bio👆

Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri

01/09/2026

Jinsi Acid Reflux Inavyoathiri Ulimi

Tindikali inapofika mdomoni:

Wakati valve kati ya tumbo na umio (esophagus) haifanyi kazi vizuri, tindikali hupanda juu.

Tindikali hii inaweza kufika kwenye koo na hata kwenye mdomo, ikiunguza tishu laini ikiwemo ulimi.

Athari kwenye ulimi:

Ulimi unaweza kuwashwa au kuungua (burning sensation).

Unaweza kuhisi ladha ya chuma au uchungu mdomoni.

Rangi ya ulimi inaweza kubadilika — ukawa mwekundu zaidi, au wakati mwingine na utando mweupe.

Ulimi unaweza kuwa mkavu kutokana na kupungua kwa mate.

Wengine hupata vidonda vidogo au hisia ya ulimi “kuungua” (glossitis).

Kwa muda mrefu👇

✅️ Tindikali ikijirudia mara kwa mara inaweza kuharibu ladha (taste buds)

✅️ Inaweza kusababisha harufu mbaya ya mdomo kwasababu tindikali hubadilisha mazingirq bacteria mdomoni

Tatizo la Acid reflux linatibika , Fanya maamuzi leo na Uanze Tiba mapema

Ushauri & Tiba
+255 685 585 508 (Whatsap /Call)

N:B; Our Whatsap group link on bio👆

Ulcers | Acid reflux | Uzito | Constipation | Bawasiri

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Linda health solution1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Linda health solution1:

Shortcuts

Share