oasishealth_tz

oasishealth_tz Vision is to provide high quality healthcare services that are easily accessible, convenient and affordable.

Tunapokea Kadi za BIMA YA AFYA kwa huduma bora, salama na za uhakika. Karibu upate matibabu kwa urahisi zaidi bila usumb...
28/05/2026

Tunapokea Kadi za BIMA YA AFYA kwa huduma bora, salama na za uhakika. Karibu upate matibabu kwa urahisi zaidi bila usumbufu.

Afya njema huanza na hatua sahihi β€” tufikie leo!
Tunapokea NHIF, BRITAM, JUBILEE na GA,

Tunapatikana
Ubungo-Makuburi
Mkabara na Barabara ya Mandela kituo cha daladala 🚌 Gereji
Mkabara na Barabara ya Majichumvi Kituo cha daladala 🚌 Makuburi uwanjani

Wasiliana nasi 0687522222

25/05/2026

Huduma ya tohara salama na yenye faraja kwa watoto wako au wewe MTU mzima.
Tunajali afya na ustawi kwa huduma bora kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu.



Tunapatika Ubungo Makuburi
Mkabara na Barabara ya Mandela kituo cha daladala 🚌 Gereji
Mkabara na Barabara ya Majichumvi Kituo cha daladala 🚌 uwanjani kanisani

Wasiliana nasi 0687522222

22/05/2026

Karibu ukutane na Daktari Bingwa wa Mfumo wa Mkojo mwenye uzoefu na huduma bora kwa afya yako. Tunatibu matatizo ya figo, kibofu cha mkojo, maumivu wakati wa kukojoa, UTI, tezi dume na changamoto nyingine za mfumo wa mkojo kwa usiri na uangalifu mkubwa. Afya yako ni kipaumbele chetu. 🩺✨



🚩
Tunapatika Ubungo Makuburi
Mkabara na Barabara ya Mandela kituo cha daladala 🚌 Gereji
Mkabara na Barabara ya Majichumvi Kituo cha daladala 🚌 Makuburi uwanjani

πŸ“žWasiliana nasi 0687522222

20/05/2026

Uzazi salama, huduma bora, tabasamu la mama na mtoto ndiyo furaha yetu kubwa πŸŒΈπŸ‘Ά


Tunapatika Ubungo Makuburi
Mkabara na Barabara ya Mandela kituo cha daladala 🚌 Gereji
Mkabara na Barabara ya Mandela kituo cha daladala 🚌 Makuburi uwanjani

Wasiliana nasi 0687522222

13/05/2026

Katika mikono salama, afya yako ni kipaumbele chetu.
Tunajivunia mafanikio ya upasuaji mkubwa uliofanyika kwa ustadi na mafanikio makubwa katika Oasis Health Center.

Huduma bora, madaktari wenye weledi, na uangalizi wa karibu β€” ndiyo sababu ya tabasamu la wagonjwa wetu.
Afya yako, matumaini yetu. πŸ’™πŸ₯



*******************************
Tunapatikana Ubungo-Makuburi
Mkabara na Barabara ya Mandela kituo cha daladala 🚌 Gereji
Mkabara na Barabara ya Majichumvi kituo cha daladala 🚌 Makuburi uwanjani

********************************

Wasiliana nasi 0687522222

10/05/2026

Normal delivery testimony πŸ™
A beautiful reminder that God is faithful and mothers are truly strong.
Blessed be all mothers for their courage, patience, and endless love.
Every safe delivery is a testimony of strength, hope, and grace. β€οΈπŸ‘Άβœ¨



Our location
Ubungo-Makuburi
Along Mandela road Garage bus 🚌 stand
Along Majichumvi Road Makuburi uwanjani bus 🚌 stand

Contact us
0687522222

Happy birthday πŸŽ‰ πŸ₯³ Your first point of careβ€”welcoming, guiding, and supporting every patient with professionalism and co...
03/05/2026

Happy birthday πŸŽ‰ πŸ₯³
Your first point of careβ€”welcoming, guiding, and supporting every patient with professionalism and compassion.”




01/04/2026

A new month is a reminder that every day is another opportunity to serve, heal, and make a difference.

As a healthcare team, we are grateful for the trust our community continues to place in us. Thank you for allowing us to be part of your health journey.

May this new month bring health, hope, and renewed strength to every family in our community.

Happy New Month! ✨





27/03/2026

For 17 years, this young woman lived with a painful foot tumor that made it impossible for her to walk freely or even wear shoes.

Her mother watched her daughter suffer day after day β€” through pain, limitations, and uncertainty. Yet through it all, they held on to one thing: faith that God would make a way.

Last year, that prayer was answered when God directed them to Health Center Through a successful surgery performed at our facility, the tumor was removed β€” and today, her health has been restored.

What once looked like a lifelong burden has become a testimony of faith, perseverance, and healing.

Today she walks again.
Today she smiles again.
Today she lives free from the condition that held her captive for nearly two decades.

We give all glory to God for the healing, and we remain committed to serving our community through compassionate and life-changing medical care.

Your story is not over. Your miracle may be closer than you think.

https://www.instagram.com/reel/DWGDSkSiqav/?igsh=Y21nOXBja2Vramo2

Happy Birthday to our dedicated Pharmacy Technician! Your precision, care, and commitment play a vital role in patient s...
22/03/2026

Happy Birthday to our dedicated Pharmacy Technician! Your precision, care, and commitment play a vital role in patient safety and healing. Wishing you a wonderful year ahead.

Address

Mwongozo Street, Makuburi Graveyard, Makuburi-Ubungo, Dar-es-Salaam
Dar Es Salaam
BARABARAYAMANDELAKITUOGARAGE,KARIBUNABETHELMISSION

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when oasishealth_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to oasishealth_tz:

Shortcuts

Share

Category