Ishi Foundation

Ishi Foundation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ishi Foundation, Meditation Center, Dar es Salaam.

Non-profit Organization which help Human being to Understand their potential and Explore the profoundness of their life so they can live a Conscious and a healthy life.

13/01/2025

Mali na vyote unavyomiliki ni mali zako lakini haziwezi kuwa wewe.
Mke au Mume ulienae ni wako lakini Hawezi kuwa wewe.
Mtoto ulienae ni mtoto wako lakini hawezi kuwa wewe.
Mwili ulionao ni mwili wako lakini hauwezi kuwa wewe.
Akili uliyonayo ni akili yako lakini haiwezi kuwa wewe.
Kwamaana hiyo. Vyote vyawezakuwa vyako lakini haviwezikuwa wewe.
Hivyo basi, Wewe ni nani?

Gusa link www.ishifoundation.org/blog uweze kusoma zaidi



https://www.instagram.com/p/DEkQYk0smq4/?igsh=NnhkMGUzaTV1YzV5

Address

Dar Es Salaam
16103

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ishi Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ishi Foundation:

Share