Mahusianobora

Call Directions Website

Mahusianobora Relationship counselor
mental health l inspire l connect ✨
whatup/call 📲 0792716849
⬇️⬇️⬇️

30/08/2026

kutokuwa tayari leo hakumaanishi hatakuoa kesho. Lakini k**a hataki kuzungumza kabisa kuhusu mwelekeo wa uhusiano, ni muhimu ujue unachosubiri.

Je Uko kwenye uhusiano ambao umekuwa ukisubiri ndoa kwa muda mrefu bila kuona hatua?

30/08/2026

Uhusiano usio na malengo, ni safari isiyo na ramani.
Haijalishi unaendaje.

26/08/2026

Wewe unaonaje: s*x kabla ya ndoa hujenga au huharibu mahusiano?

15/08/2026

MWANAMKE AKISHAPATA KAZI
TU JIANDAE KUYAONA MENGI KAKA.

08/08/2026

Jinsi ya kuishi na mke mwenye kipato kikubwa kuliko wewe

06/08/2026

Maswali ya kumuuliza mpenzi wako magumu.
Lakini yana faida muulize leo...

05/08/2026

Wewe unaona ni dalili ipi inaonyesha wazi kwamba mtu hana malengo ya ndoa? Andika kwenye comments.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mahusianobora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category