10/08/2026
KUZEKA KWA MGONGO NI K**A MAKUNYANZI USONI AU NYWELE KUWA NA MVI /KIJIVU…
Ni mabadiliko ya kawaida yanayotokea kadri umri unavyoongezeka!
Si lazima iwe tatizo, na hakika si sababu ya kuishi na maumivu.
Hakuna kitu “kimeharibika” kwako.
Mgongo wako una nguvu na uwezo mkubwa wa kustahimili na kuendelea kufanya kazi.
HIVYO KUZEKA KWA MIFUPA SI LAZIMA KUJE NA MAUMIVU.”
“Unaweza kuzeeka, kuwa na mabadiliko ya mgongo au viungo, lakini ukaendelea kuishi bila maumivu