16/07/2026
Umepewa diagnosis ya saratani na hujui hatua inayofuata?
Baada ya diagnosis, familia nyingi huwa na maswali kuhusu aina ya matibabu, hospitali inayofaa, gharama, muda wa matibabu na uwezekano wa kupata maoni ya daktari bingwa mwingine.
MedIncredi inaweza kusaidia kuratibu mapitio ya ripoti zako na kukuunganisha na daktari bingwa au hospitali inayofaa nchini India.
Unaweza kutuma:
• Biopsy report
• CT Scan, MRI au PET Scan
• Blood tests
• Ushauri wa awali wa matibabu
• Ripoti nyingine za hospitali
📲 Tuma ripoti zako WhatsApp: +255 786 524 323
MedIncredi husaidia katika uratibu wa maoni ya daktari bingwa, chaguo za hospitali, makadirio ya matibabu, miadi, safari na ufuatiliaji baada ya matibabu.
MedIncredi ni mratibu wa safari za matibabu, si hospitali. Uamuzi wa mwisho kuhusu diagnosis, matibabu, gharama, muda na matokeo hutegemea tathmini ya daktari au hospitali inayotibu.