360 Wellness Centre

360 Wellness Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from 360 Wellness Centre, Medical and health, +255650289985, Dar es Salaam.

Karibu 360 WELLNESS CENTRE πŸ₯

Tunatoa elimu na ushauri kuhusu:
βœ”οΈ Vidonda vya tumbo
βœ”οΈ Bawasiri
βœ”οΈ Afya ya ini
βœ”οΈ Mmeng'enyo wa chakula

Lengo letu ni kukusaidia kupata maarifa sahihi ya afya kwa maisha bora.

πŸ“ž WhatsApp: +255 650 289 985

21/08/2026

Tumbo lako likiwa linakusumbua mara kwa mara, usipuuzie. 🚨
Jifunze kuuelewa mwili wako na kuchukua hatua mapema. ❀️
Afya yako ni mtaji.

20/08/2026
20/08/2026

Maumivu ya tumbo yanayojirudia si jambo la kupuuzia. ⚠️

Vidonda vya tumbo vinaweza kusababisha kutokwa na damu, kutapika damu, kinyesi kuwa cheusi na matatizo mengine makubwa.

πŸ‘‰ Usipuuze dalili.
πŸ“© Nitumie ujumbe kwa elimu zaidi kuhusu afya ya tumbo.

Afya yako ni mtaji πŸ’š

17/08/2026

Maumivu au kuwaka sehemu ya juu ya tumbo, kichefuchefu na kushiba haraka vinaweza kuonekana kwa mtu mwenye kidonda cha tumbo.
Usipuuze dalili zinazojirudia. ❀️
πŸ“² Kwa elimu zaidi kuhusu afya ya tumbo, nitafute kupitia DM/WhatsApp.
360 WELLNESS CENTRE 🌿
AFYA YAKO NI MTAJI πŸ’š

13/08/2026

β€œKukosa choo kunaweza kuhusishwa na mambo mbalimbali katika maisha ya kila siku. πŸ’§πŸ₯—πŸƒβ€β™€οΈ Je, wewe huwa unapata changamoto hii mara kwa mara?”wasiliana.nas kwa ushauri zaidi kupitia whatsapp number +255650289985

08/08/2026

Afya ya tumbo ni msingi wa afya ya mwili mzima. 🌿

Ili kulinda afya ya tumbo:
βœ… Kula chakula chenye lishe bora
βœ… Kunywa maji ya kutosha
βœ… Epuka kuruka milo
βœ… Punguza vyakula vinavyokusumbua
βœ… Dhibiti msongo wa mawazo

Kumbuka, tumbo lenye afya huchangia mwili wenye nguvu na maisha yenye furaha.

Afya yako ni mtaji. πŸ’š

06/08/2026

Afya njema huanza na kile unachokula na kunywa kila siku.
Je, unajua kuwa smoothie yenye virutubisho inaweza kusaidia kuupa mwili nguvu, kuongeza kinga ya mwili, kuboresha mmeng'enyo wa chakula na kukupa afya bora kwa ujumla?
πŸ₯€ Badala ya vinywaji vyenye sukari nyingi, jaribu kujenga tabia ya kunywa smoothie yenye matunda na mboga za majani. Mwili wako utakushukuru!
πŸ’š Kumbuka: Hakuna chakula kimoja kinachotibu magonjwa, lakini lishe bora ni sehemu muhimu ya maisha yenye afya.
πŸ“© Ukiwa na maswali kuhusu afya au unahitaji ushauri wa lishe, andika kwenye group au nitumie ujumbe binafsi. Tuendelee kujifunza pamoja.

06/08/2026

Je, ulikuwa unayajua haya? Anza kuyazingatia leo na shiriki video hii na wengine. 🌿

Address

+255650289985
Dar Es Salaam

Telephone

+96898576175

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 360 Wellness Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share