Elidad Hospital

Call Directions Website Contact the practice

Elidad Hospital A hospital in Boko Basihaya, Dar es Salaam that provides general and specialised healthcare services.

Elidad Hospital is a newly established, state-of-the-art general hospital located at Boko, Kinondoni District, Dar es Salaam. We offer various medical services including emergency services and general medical services. Our hospital’s philosophy is that optimal health and performance can be attained through appropriate and on-time received proper medical care and balance with proper nutrition and exercises. Our goal is to educate our patients, and the society as well, to treat them.

Kampeni ya AfyaCheck imehitimishwa leo kwa mafanikio makubwa!Timu yetu inashukuru kwa fursa hii ya kuwahudumia wananchi ...
08/07/2026

Kampeni ya AfyaCheck imehitimishwa leo kwa mafanikio makubwa!

Timu yetu inashukuru kwa fursa hii ya kuwahudumia wananchi wengi kwa huduma ya afya bure. Tunawashukuru pia wadhamini na waandaaji wa programu hii kuu kwa kutualika kushiriki katika juhudi hii ya kuisaidia jamii.

Tunatazamia kushiriki tena katika kampeni k**a hii siku zijazo, na tunaendelea kuwakaribisha wote kwenye hospitali yetu iliyoko Boko Basihaya kwa uchunguzi na ushauri wa kitaalamu.

🇹🇿

Siku ya nne ya kampeni ya AfyaCheck!Hospitali ya Elidad imeendelea na huduma zake katika uwanja wa Tanganyika Packers, K...
08/07/2026

Siku ya nne ya kampeni ya AfyaCheck!

Hospitali ya Elidad imeendelea na huduma zake katika uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe, kwa kutoa ushauri wa matibabu ya mifupa bure kwa wagonjwa wote waliojitokeza.

Huduma bora inaendelea. Asante kwa mwitikio mzuri!

AfyaCheck Day 2, Chamazi, Mbagala, July 2026.    📸: Larry Matoyo
07/07/2026

AfyaCheck Day 2, Chamazi, Mbagala, July 2026.



📸: Larry Matoyo

Kampeni ya AfyaCheck imeanza kwa mafanikio makubwa!Dk. Harry Matoyo, daktari wetu mtaalamu wa mifupa, pamoja na timu yet...
05/07/2026

Kampeni ya AfyaCheck imeanza kwa mafanikio makubwa!

Dk. Harry Matoyo, daktari wetu mtaalamu wa mifupa, pamoja na timu yetu ya wataalamu, walijitolea kwa dhati kutoa ushauri na elimu kuhusu magonjwa ya mifupa.

Tunashukuru kwa fursa ya kuwahudumia wakaazi wa Chamazi, Mbagala, na tunatazamia kuendeleza huduma hii pia huko Kawe.

📸: Larry Matoyo

Karibuni Elidad Hospital kwa matatizo ya kimwili.
03/07/2026

Karibuni Elidad Hospital kwa matatizo ya kimwili.

02/07/2026

Mara nyingi tunakumbuka thamani ya afya tu wakati magonjwa yanapoanza. Lakini daktari wetu anashauri: Usingoje dalili zionekane; fanya uchunguzi wa mara kwa mara ili ujue hali yako halisi na uchukue hatua mapema.

Kwa bahati nzuri, Hospitali ya Elidad imejiunga na Kampeni ya Afya Check kukupa fursa ya kuchunguza afya yako bure kabisa!

Tutakupimia:

· Shinikizo la damu
· Kiwango cha sukari
· Uzito na afya ya mwili

Pia, utapata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wetu waliohitimu.

Kesho ndiyo siku! Kampeni itaendela hadi tarehe 8 Julai.

30/06/2026
Pima Bure!Hospitali ya Elidad ipo kwenye Kampeni ya Afya Check.Unachopaswa kufanya? Njoo, tupime presha, sukari, na afya...
30/06/2026

Pima Bure!

Hospitali ya Elidad ipo kwenye Kampeni ya Afya Check.

Unachopaswa kufanya? Njoo, tupime presha, sukari, na afya yako kwa ujumla, bure kabisa.

Wataalamu wetu wanakusubiri. Usikose nafasi ya kujijua na kupata ushauri wa kitaalamu.

Hospitali ya Elidad inajivunia kushiriki katika Kampeni ya Afya Check, fursa ya dhahabu kwako kupima afya yako bila kuli...
30/06/2026

Hospitali ya Elidad inajivunia kushiriki katika Kampeni ya Afya Check, fursa ya dhahabu kwako kupima afya yako bila kulipa hata shilingi!

Tutakupimia:
✅ Shinikizo la damu (Presha)
✅ Kiwango cha sukari
✅ Uzito na afya ya mwili kwa ujumla

Wataalamu wetu watakupa ushauri wa kitaalamu na kukujibu maswali yako yote. Usingoje ugonjwa ukukuje. Njoo sasa, pima, na upate ushauri bure!

Katika harakati zetu za kuleta afya kwa wote, Hospitali ya Elidad imejiunga rasmi na Kampeni ya Afya Check ili kuwapatia...
30/06/2026

Katika harakati zetu za kuleta afya kwa wote, Hospitali ya Elidad imejiunga rasmi na Kampeni ya Afya Check ili kuwapatia uchunguzi wa afya bila gharama yoyote.

Je, unajua shinikizo lako la damu? Je, unajua sukari yako iko salama? Sasa una fursa ya kujua yote haya kwa urahisi na usahihi, kwa mikono ya wataalamu wetu waliohitimu.

Usikose fursa hii! Njoo nasi, jipime, na uanze safari yako ya afya bora.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00
Sunday 08:00 - 20:00

Telephone

+255747245151

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elidad Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Elidad Hospital:

Shortcuts

Share

Category