Mwanamke Na Uzazi

Mwanamke Na Uzazi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwanamke Na Uzazi, Medical and health, Temeke Kisemvule, Dar es Salaam.

Dawa tiba asili za matatizo yote ya uzazi kama chango, dawa za kuzibua mirija iliyoziba,uvimbe kwenye kizazi, kuchelewa kushika ujauzito, Mimba kuharibika, hormones imbalance, PID, UTI sugu na Fangasi

pH ya Uke ni Nini?pH ya uke ni kiwango kinachoonesha uke wako una asidi kiasi gani au alkalini kiasi gani.Kwa kawaida uk...
25/05/2026

pH ya Uke ni Nini?

pH ya uke ni kiwango kinachoonesha uke wako una asidi kiasi gani au alkalini kiasi gani.Kwa kawaida uke wenye afya huwa na mazingira ya asidi kidogo ili kuzuia bakteria wabaya na fangasi kuzaliana.Kiwango cha kawaida cha pH ya uke
Kwa mwanamke mwenye afya, pH ya uke huwa kati ya 3.8 hadi 4.5 hiki kiwango husaidia uke kujisafisha wenyewe na kulinda afya ya uzazi.

PH YA UKE INAMLINDAJE MWANAMKE
pH ikiwa sawa inamsaidia mwanamke yafuatayo

📌Huzuia fangasi kuzaliana sana

📌Hupunguza uwezekano wa UTI

📌Hulinda dhidi ya baadhi ya maambukizi ya uke

📌Hupunguza harufu mbaya ukeni

📌Husaidia uke kuwa na unyevunyevu wa kawaida

📌Hupunguza miwasho na muwasho baada ya hedhi au kutumia pedi

DALILI ZA PH YA UKE KUHARIBIKA

Ukiona dalili hizi mara kwa mara, pH inaweza kuwa imevurugika:

🌟Miwasho ukeni

🌟Harufu kali au isiyo ya kawaida

🌟Fangasi kurudia rudia

🌟UTI za mara kwa mara

🌟Kuhisi kuungua wakati wa kukojoa

🌟Uchafu usio wa kawaida

🌟Ukavu au discomfort wakati wa tendo la ndoa

VITU VINAVYOWEZA KUHARIBU PH YA UKE

📌Kutumia sabuni kali ukeni
📌Kuosha ndani ya uke (douching)
📌Kutumia bidhaa zenye kemikali nyingi
📌Kubadili partners mara kwa mara bila kinga
📌Kutumia antibiotics mara nyingi
📌Kuvaa nguo za ndani zinazobana sana
📌Kukaa na pedi muda mrefu
📌Sukari nyingi mwilini

HII NDO NAMNA BORA YA KULINDA PH YA UKE

✅Osha uke kwa maji safi au bidhaa salama zisizo kali

✅Epuka kuosha ndani ya uke

✅Badili pedi mara kwa mara

✅Vaa nguo za ndani za pamba

✅Kunywa maji ya kutosha

✅Punguza sukari nyingi

✅Tumia kinga wakati wa tendo la ndoa na
Usitumie dawa bila ushauri wa daktari

K**a unapitia dalili yoyote kati ya hizi ambayo sio ya kawaida na shida ni pH kuharibika wasiliana nami Kwa tiba maalumu ya kurejesha pH Yako kwenye usawa +255763583254
❤️💞❤️

UNAJUA KWANINI HUPONI PID (Pelvic Inflammatory Disease) — yaani maambukizi kwenye viungo vya uzazi wa mwanamke. Sababu k...
18/05/2026

UNAJUA KWANINI HUPONI

PID (Pelvic Inflammatory Disease) — yaani maambukizi kwenye viungo vya uzazi wa mwanamke.

Sababu kuu zinazofanya PID ijirudie mara kwa mara ni hizi

1. Maambukizi hayakuisha kabisa
Wakati mwingine dawa hazimalizi bakteria wote, hasa k**a:
Dozi haikukamilika
Dawa haikuchukuliwa kwa wakati sahihi
Hivyo maambukizi hubaki mwilini na kurudi tena.

2. Kuambukizwa tena na mwenza
PID mara nyingi hutokana na magonjwa ya zinaa k**a Chlamydia au Gonorrhea.
K**a mwenza hakutibiwa, unaweza kupona halafu ukaambukizwa tena.

3. Kuwa na wapenzi wengi au ngono bila kinga
Hii huongeza uwezekano wa kupata maambukizi mapya kila mara.

4. Uharibifu wa viungo vya uzazi
PID ya awali inaweza kuacha:
Makovu kwenye mirija ya uzazi
Mabadiliko ya kinga ya mwili
Hivyo inakuwa rahisi kupata maambukizi tena.

5. Kinga ya mwili kuwa dhaifu
Mwili ukiwa dhaifu (kwa msongo, lishe duni, au magonjwa mengine), hupambana vibaya na maambukizi.
Dalili za PID inayojirudia
Maumivu ya tumbo la chini
Kutokwa na uchafu usio wa kawaida
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Homa wakati mwingine
Nini cha kufanya

Hakikisha unamaliza dozi yote ya dawa
Mwenza na yeye apate matibabu
Tumia kinga (kondomu)
Fanya uchunguzi hospitalini mara kwa mara
Epuka kujitibu bila ushauri wa daktari

Kwa mawasiliano na msaada zaidi piga: 0763583254 ゚viralシfypシ゚

🙄 Watu wengi hudhani "UTAMU" wa mwanamke upo kwenye madawa📌lakini ukweli ni kwamba afya ya asili ndiyo kila kitu.  Hizi ...
15/05/2026

🙄 Watu wengi hudhani "UTAMU" wa mwanamke upo kwenye madawa

📌lakini ukweli ni kwamba afya ya asili ndiyo kila kitu.

Hizi hapa ni sifa kuu:

1️⃣ Usafi wa kawaida (harufu ya asili)
Uke wenye afya hauhitaji manukato
👉 Unakuwa na harufu yake ya kawaida isiyokera

Kosa kubwa:
Kuosha ndani kwa sabuni kali au dawa

👉 Safisha nje tu kwa maji ya Kawaida ama ya uvuguvugu, inatosha kabisa

2️⃣Ute wa kawaida (unyevu wa asili)
K**a uke wako unatoa ute mweupe au ambao upo na Muonekano k**a wa Yai bichi

👉 Hii ni nzuri, inaonyesha uko sawa

👉 Ute huu hulinda uke na kuzuia maumivu wakati wa tendo

Fanya hivi:
Zingatia lishe Bora, na Kunywa maji ya kutosha kila siku (angalau lita 2)

3️⃣ Misuli ya uke kuwa imara
Sio lazima uke uwe mdogo/ Kubana sana mpaka Naninii inapitisha Kwa shida😊…

👉 Muhimu ni uwe na nguvu na uwezo wa kubana na kuachia

🙄 Njia rahisi:
Fanya mazoezi ya kubana na kuachia uke (Kegel) kila siku

4️⃣Chakula unachokula
Ndiyo, chakula kinaathiri hata afya ya uke wako

👉 Kula:
– Matunda (nanasi, tikiti maji)
– Mtindi
– Mboga za majani

📌Husaidia Kujenga Kinga ya Kusaidia kuzuia fangasi na kuweka uke wako fresh kwa asili

5️⃣ Akili yako ikoje?
Mwanamke mwenye stress nyingi…
👉 Homoni zake zinavurugika

Lakini ukiwa na utulivu na kujiamini
👉 Mwili wako unafanya kazi vizuri zaidi

Jifunze kitu kimoja…
👉 Uke hauhitaji kemikali nyingi, Wakati Mwingine unahitaji utunzaji sahihi tu

Ukianza kurekebisha haya mambo 5
utaona mabadiliko makubwa sana

Swali langu kwako:
Ni lipi kati ya haya ulikuwa hulijui kabisa? 🤔

Niambie kwenye comment 👇

Na k**a unahitaji msaada wa kutibu fangasi au changamoto za uzazi wasiliana nami (+255)0763583254

🥰Usikate tamaa. Safari yako ya kuwa mama bado inawezekana.

🧏Usidharau PERIOD yako — inaweza kuwa sababu halisi ya kwa nini hujashika mimba hadi leo.👉Uwa ninakutana na wanawake wen...
04/04/2026

🧏Usidharau PERIOD yako — inaweza kuwa sababu halisi ya kwa nini hujashika mimba hadi leo.

👉Uwa ninakutana na wanawake wengi wanaoniambia:
Dokta, ninapata period, lakini bado sipati mimba

👉Na Kati Yao asilimia Kubwa Hawajui UKWELI HUU:
👉 Siyo kila period ni ishara ya uzazi wenye afya.

👉Mzunguko usioeleweka, maumivu makali, hedhi yenye period ya Damu nzito ama Mabonge bonge,

📌... au kukosa ovulation ni dalili kwamba mfumo wako wa uzazi unapambana kimya kimya Bila Kupata Msaada Wako.

😢 Na mara nyingi, chanzo chake ni:

1️⃣Homonal imbalance

2️⃣PCOS, cyst au fibroids

3️⃣PID na maambukizi sugu

4️⃣Stress ya muda mrefu

5️⃣Mayai kutokomaa vizuri

6️⃣Ndiyo maana unajaribu njia nyingi bila mafanikio.

🥰Utapata tiba ya kusaidia wanawake k**a wewe

👉 kurekebisha chanzo halisi cha tatizo, siyo kufunika ama Kutuliza dalili Kwa muda mfupi...

📌Nitumie neno “ *UZAZI* ” DM Kupata Msaada Sahihi 0763583254

📌Nikuelekeze hatua sahihi ya kuanza safari ya kurejesha afya ya uzazi wako kwa njia salama, ya kitaalamu, na ya kudumu.

Tofauti kati ya ute wa ovulation na ute unaosababishwa na PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni mkubwa.Hapa kuna maelezo ...
31/03/2026

Tofauti kati ya ute wa ovulation na ute unaosababishwa na PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni mkubwa.
Hapa kuna maelezo kwa urahisi:

🌸 Ute wa Ovulation
Huu ni ute wa kawaida unaotokea wakati wa siku za rutuba.
Sifa zake:
Rangi: wazi au mweupe k**a yai bichi
Muundo: unateleza, unanyumbulika (unavutika k**a gundi)
Harufu: hauna harufu mbaya
Maumivu: hakuna au maumivu madogo ya tumbo
Muda: hutokea katikati ya mzunguko wa hedhi
Maana: huonyesha siku za kupata mimba
✅ Huu ni ute mzuri na wa afya.

⚠️ Ute wa PID
PID ni maambukizi kwenye via vya uzazi (mfuko wa uzazi, mirija ya uzazi, ovari).
Sifa zake:
Rangi: njano, kijani, kijivu au mchanganyiko
Muundo: mzito, wa usaha au majimaji
Harufu: mbaya au kali
Maumivu: maumivu ya tumbo la chini, mgongo au wakati wa tendo la ndoa

Dalili zingine:
Homa
Kutokwa damu bila mpangilio
Maumivu wakati wa kukojoa
Maana: ni ugonjwa, huhitaji matibabu ya haraka

❌ Ukichelewa kutibiwa, PID inaweza kusababisha utasa (kushindwa kupata mimba)

Wasiliana nami Kwa matibabu 0763583254
❤️💞❤️

✍️ Mwongozo wa Kila Siku kwa Mwanamke Anayetafuta Ujauzito ❤️👇K**a unatamani kupata mimba Ndani ya Siku 30 Mpaka 90 Peke...
20/03/2026

✍️ Mwongozo wa Kila Siku kwa Mwanamke Anayetafuta Ujauzito ❤️👇

K**a unatamani kupata mimba Ndani ya Siku 30 Mpaka 90 Pekee,

Fahamu hili:
Ujauzito hutokea pale mwili wako ukiwa kwenye hormonal balance sahihi (Maandalizi Sahihi)

✅ 1. Lishe Bora Kila Siku
Anza siku na chai ya viungo.
Kula mboga za majani kila siku.
Matunda yenye Vitamin C (machungwa, papai, maembe) na usisahau parachichi.

Ongeza protini safi: mayai, samaki, maharagwe, dengu.
Zinc & folic acid: karanga, korosho, mbegu za maboga, viazi vitamu.

⚠️ Punguza chips, vyakula vya kukaanga sana, sukari na maandazi — huvuruga homoni na kuathiri ovulation.

✅ 2. Kunywa Maji ya Kutosha
Lita 1–2 kwa siku kusaidia mzunguko wa damu na usawa wa homoni.

✅ 3. Badilisha Mtindo wa Maisha
Mazoezi mepesi k**a kutembea au yoga.
Epuka stress — omba, tafakari, fanya kinachokupa amani.
Lala masaa 6–8.

Usingizi hujenga homoni za uzazi, na Afya ya Uzazi.

✅ 4. Fuatilia Mzunguko wa Hedhi
Andika tarehe zako.
Tambua ovulation window (siku 2 kabla ya yai kupevuka hadi siku 1 baada).

Fanya tendo mara 3–4 kwa wiki kipindi hicho.
Epuka vilainishi vyenye kemikali kali — vinaweza kuharibu mbegu.

✅ 5. Fanya Vipimo Muhimu
Pima homoni, mirija ya uzazi, na mbegu za mume. Usibahatishe.

Lakini k**a una PCOS, cysts, fibroids, PID au hormonal imbalance — LISHE PEKEE HAITOSHI.

Ndiyo maana nashauri Utumie tiba ya kurejesha uzazi kutoka ndani.

Inasaidia:
✔ Kusawazisha homoni
✔ Kuimarisha ovulation
✔ Kupunguza maambukizi ya muda mrefu
✔ Kuongeza nafasi ya kushika mimba

Wanawake wengi huanza kuona mabadiliko ndani ya siku 30–90 kwa kushughulikia chanzo halisi una changamoto ya Uzazi wasiliana nami kupata suluhisho lako mapema 0763583254 😍

❓Umeanza kuhisi uke wako unakuwa mkavu?Maumivu wakati wa tendo, hamu kupungua, au unajikuta unakosa ute kabisa? 😣🙄 USIOG...
17/03/2026

❓Umeanza kuhisi uke wako unakuwa mkavu?
Maumivu wakati wa tendo, hamu kupungua, au unajikuta unakosa ute kabisa? 😣

🙄 USIOGOPE — HAUKO PEKE YAKO.

📌Ukavu wa uke ni tatizo linalowakumba wanawake wengi hasa baada ya miaka 25, au kwa wanaopitia mabadiliko ya homoni, msongo wa mawazo, au lishe duni.

📌Lakini ukweli mchungu ni huu 👉 ukavu ukeni huathiri hata uwezo wako wa kushika mimba.

📌Ute wa uke ni k**a daraja la siri — ndilo linalosaidia mbegu za kiume kusafiri hadi kwenye yai.

📌Ukikosa ute, mbegu hushindwa kufika, na nafasi ya kushika mimba hupungua sana 💔

🤷‍♂️Lakini hapa kuna habari njema, dada yangu 💕
Unaweza kurejesha ute wako wa asili bila dawa kali, kwa kutumia tiba asilia zinazosaidia homoni kufanya kazi ipasavyo.

✨ Vyakula hivi vya asili vinaweza kusaidia:

1️⃣Kunywa Maji safi ya kutosha (angalau lita 2 kwa siku 💧)

2️⃣ Matunda yenye maji k**a tikiti, nanasi, machungwa 🍉🍍

3️⃣ Mboga za kijani k**a spinach na broccoli 🌿

4️⃣ Samaki wenye mafuta (salmon, sardine, tuna) na mbegu za chia 🐟

5️⃣ Karanga, almonds, na mbegu za maboga 🥜

6️⃣ Mchanganyiko wa asali na mdalasini asubuhi 🧡

7️⃣ Parachichi na mtindi wa asili 🥑🥛

👉Haya yote husaidia mwili wako kuzalisha ute wa kutosha, kurejesha uhai wa uke, na kuondoa maumivu wakati wa tendo.

👉Na muhimu zaidi — yanaboresha nafasi yako ya kushika mimba kwa njia ya asili.

🌿 Lakini k**a tatizo limekuwa la muda mrefu — umewahi kutumia dawa bila mafanikio, au unahisi homoni zako zimevurugika — basi huu ndio muda wako kuchukua hatua sahihi.

📌Nimekuwa nikisaidia wanawake wengi k**a wewe kupitia tiba ya siku 7 inayosaidia: ✅ Kurejesha uwiano wa homoni
✅ Kuongeza ute wa uke
✅ Kuboresha mzunguko wa hedhi
✅ Na kuongeza nafasi ya kushika mimba kwa njia ya asili 🤰🏽

Hii ni tiba asilia kabisa — imetengenezwa kwa mimea, matunda, na virutubisho vya lishe salama kwa mwili wako.

Wasiliana nami Leo au andika neno "tiba " kwenda namba 0763583254 kuanza matibabu

🧏Iba Siri Hii Jinsi PID Inavyo mumunya Ndoto za Uzazi wako..📌Kuna ugonjwa mmoja ambao unatembea kimya kimya...📌Unakula n...
15/03/2026

🧏Iba Siri Hii Jinsi PID Inavyo mumunya Ndoto za Uzazi wako..

📌Kuna ugonjwa mmoja ambao unatembea kimya kimya...

📌Unakula ndoto za ndoa, Unavunja tumaini la uzazi, na kugeuza furaha kuwa machozi...

🤷‍♂️Umesikia nini kuhusu PID..!? (Pelvic Inflammatory Disease)🤔

😭Naam..! PID, Ni adui wa uzazi wa wanawake, Lakini cha kushangaza zaidi Wanawake wengi wako kimya na wananyamaza uku wakiendelea kuumia Ndani kimya kimya 😭

🚨Ipo hivi.....
PID (Pelvic Inflammatory Disease) Ni ugonjwa unaomchoma mwanamke —Si mwanaume.📌

👉Kwa sababu PID ni maambukizi yanayopanda juu kupitia njia ya uzazi ya mwanamke na kuathiri kizazi, mirija ya fallopian, na ovari...

👉Hapa ndipo siri ilipo…👇
Mwanaume hauguwi PID, ila anaweza kuwa mhifadhi na msambazaji wa vimelea (bacteria k**a Chlamydia trachomatis na Neisseria gonorrhoeae)... Mwanaume wako akiumwa UTI Atibiwe haraka sana bila kuchelewa.

📌Kwa sababu Bila dalili, bila maumivu, mwanaume anajiona mzima lakini anabeba kifurushi kisichoonekana ambacho kwa kila tendo la ndoa, kinasafiri hadi kwa mke wake..🤒

🧏Na matokeo yake..?
❌Mirija inaziba kabisa, Yai haliwezi tena kusafiri...

❌Hormone imbalance, Mfumo mzima wa mwili wa mwanamke unavurugika...

❌Maisha Bila mtoto, Familia inageuka uwanja wa lawama, na maumivu ya kimya...

🤷‍♂️Sasa, jiulize swali hili....
➡️Kwa nini wanawake wengi wakitibu PID hawaponi kabisa..?

😭Jibu ni gumu, lakini ukweli ni huu… 👇
➡️Sio PID pekee inayokuumiza, Ni usugu wa vimelea unaosababishwa na matumizi mabaya ya dawa..( ANTIBIOTICS)

🚨Dawa za kuweka ukeni ovyo ovyo kila unapohisi miwasho au Uchafu zinakumaliza kimya kimya

🚨Sindano za mara kwa mara, Wengine wamechomwa hadi 7 days bila mafanikio...

🚨Kutumia dawa bila kufuata mpango kamili wa tiba sahihi...

😭Matokeo yake?
➡️Vimelea vinakuwa sugu, vinakataa dawa, na ugonjwa unarudi mara kwa mara huku ndoto za uzazi zikizidi kufifia...

🚨Siri ya ukombozi ipo hapa...👇
➡️Kupima kwa usahihi, Bila vipimo sahihi, tiba itakuwa ni kubahatisha.

➡️Kufuata ushauri wa daktari, Sio kujitibu ovyo ovyo kwa kununua dawa.

👉 Wanaume kushiriki matibabu, Kwa sababu chanzo mara nyingi kiko upande wao..

NB: MLINDE MWENZA WAKO

12/03/2026

🌸 UZAZI PACKAGE 🌸

Je, unatamani kuwa na afya bora ya uzazi au kuongeza nafasi ya kupata mtoto?

Uzazi Package imeandaliwa kusaidia:
✔ Kuimarisha afya ya uzazi kwa mwanamke
✔ Kusawazisha homoni za mwili
✔ Kuimarisha kizazi (uterus)
✔ Kuongeza nafasi ya kupata ujauzito
✔ Kuongeza nguvu na afya ya mwili

✨ Ofa kubwa leo kwa wanawake!

📞 Wasiliana nami leo Dr.Maryam kupata ofa Yako 0763583254
❤️💞❤️

🧏 MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA K**A HUPATI UJAUZITO.👉K**a unataka kujua kwanini hupati ujauzito kirahisi, basi usihangaik...
11/03/2026

🧏 MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA K**A HUPATI UJAUZITO.

👉K**a unataka kujua kwanini hupati ujauzito kirahisi, basi usihangaike kujua ufanye uchunguzi Gani. Jiulize Mambo Haya Arafu Chukua HATUA Haraka:

1️⃣Jiulize Una Umri Gani?

2️⃣ Jiulize Unapata hedhi Kila mwezi Na Mara ngapi?

3️⃣ Jiulize Mayai mayai yanapevuka na unaona Ute wa uzazi?

4️⃣ Jiulize unatokwa uchafu ukeni?

5️⃣ Jiulize unashiriki tendo la ndoa?

6️⃣ Jiulize una Uvimbe kwenye Kizazi au la?

7️⃣ Jiulize mfumo wako wa homoni uko vizuri?

📌Chunguza Hayo k**a Utachunguza kwa makini utaiona shida. Kisha wasiliana Nami Upate Tathmini Kamili na Tiba Ya Upone Kabisa Na Upate Ujauzito ndani ya siku 30 pekee

Address

Temeke Kisemvule
Dar Es Salaam

Telephone

+255688480423

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanamke Na Uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share