DR MUMA

DR MUMA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DR MUMA, Doctor, ramadhanimustafa549@gmail. com, Dar es Salaam.

K**A ENEO LAKO LINA DALILI YA MADINI ILA HUPATI IWE DHAHABU AU MADINI YOYOTE YAPO MBALI AU KILA UKICHIMBA UNA PATA KIDOG...
01/05/2026

K**A ENEO LAKO LINA DALILI YA MADINI ILA HUPATI

IWE DHAHABU AU MADINI YOYOTE

YAPO MBALI AU KILA UKICHIMBA UNA PATA KIDOGO AU UNA AMBIWA YAPO ILA YAPO MBALI

NJIA HII ITAFANYA KAZI K**A KWELI YAPO ILA YAPO MBALI ITAFANYA KUJA JUU AU KUPATA KWA URAHISI

CHUKUA MAYAI MA NNE 4 ANDIKA IDHAAA JAAA MPAKA الناس UTA IKATA UTA ANDIKA ZAHABU KWA KIARABU مأل KISHA UTA ENDELEA PAKA MWISHO

KISHA UTA SWALIA RAKAA NNE SWALAT HAJAA

KISHA UTACHIMBA MASHIMO MA NNE AMBAYO YATAKUA MWANZO WA MPAKA WAKO WA KONA NNE

KWENYE MASHIMO WEKA DAWA YA MVUTO MWITA MRIPU KISHA CHINJIA MBUZI WA NNE WEUPE KILA SHIMO MOJA

UKIMALIZA FUKIA ILA MWENYE ENEO AU SHIMO ANA TAKIWA AANZE KUSOMEWA KISOMO CHA BARAKA NA DAWA ZA KUTIA WEPESI MALI IPATIKANE

WENU DR MUMA 0742 702 741

ATAE FANYA AKIFANIKIWA ASINISAHAU

01/05/2026

Furahia maadhimisho ya ufuasi kwa wafuasi wangu wazuri. Washukuru kwa msaada wako! Didaa Pretty Pretty Didaa

K**A UNA HISI KUCHANGANIKIWA KUPIGA PIGA KELELE HOVYO MOYO KWENDA MBIO MOYO KURIPUKA WASIWASI CHUKUA MIZIZI YA MPILIPILI...
27/04/2026

K**A UNA HISI KUCHANGANIKIWA

KUPIGA PIGA KELELE HOVYO

MOYO KWENDA MBIO

MOYO KURIPUKA WASIWASI

CHUKUA MIZIZI YA MPILIPILI KICHAA

CHEMSHA KUNYWA KISIO NI UBANI MAKA

HALI IYO ITA KWISHA ENDA ISIPO KWISHA JUA UNA JINI AU UCHAWI MKUBWA

USI PUUZIE HII NI DAWA NZURI IME SAIDIA WATU WENGI SANA

BY DR MATA

HUU NI MMEA HATARI SANA KUUA MAJINI NA UCHAWI NA TAKA TAKA ZOTE ULIZO FANYIWA WACHAWI NA WAGANGA WA MBEYA NA TUNDUMA NDI...
26/04/2026

HUU NI MMEA HATARI SANA KUUA MAJINI NA UCHAWI

NA TAKA TAKA ZOTE ULIZO FANYIWA

WACHAWI NA WAGANGA WA MBEYA NA TUNDUMA NDIO WANAO UTUMIA SANA

KITU NILICHO JIFUNZA KATIKA ZIARA YANGU YA TUNDUMA NA MBEYA

NI KUA MGANGA NDIO MCHAWI NA MCHAWI NDIO MGANGA

ALAFU KAFARA ZA WATU WA KULE NI KUTAKA UTAJIRI

MACHIZI NI WENGI SANA WALIO KOSEA MASHART

HUU MTI ACHA NIWAPE FAIDA

CHUKUA MAJANI YAKE NA MKALI MIMI MAJANI YAKE

NA UNGA WA MABAMBAA

HII NI KIBOKO SIKUTAKA KUWAPA FAIDA KABLA YA MIMI KUJARIBU

NIMESHA IFANYIA KAZI NA NYIE IFANYIENI KAZI MUONE BALAA LAKE

TAHADHARI HII INAUA KINGA NZURI PIA MWILINI INA TAKIWA UKIMALIZA KUJIFANIA UJIKINGE

WENU DR MATA MATA

TWANGA CHANGANYA OGA NA KUNYWA SIKU 7

26/04/2026

Furahia maadhimisho ya ufuasi kwa wafuasi wangu wazuri. Washukuru kwa msaada wako! Ab'bakary Mndeme

14/04/2026

JITAMBUE K**A UNA TUMIWA KICHAWI
Je, unaishi na mume, mke, au ndugu… lakini maisha yako kwa muda mrefu yamekuwa k**a mfanyakazi au mtumwa wake?
Kila unapojaribu kujitegemea au kuondoka, moyo unakuwa mzito na unashindwa kuchukua hatua?
Ukiamua kuondoka na kuanza biashara au kazi zako, mambo yako yanakwama… na unajikuta unarudi kwake tena?
Unaishi naye, lakini hakuhudumii chochote.
Hakupi mahitaji yako muhimu.
Kazi zako hazifanikiwi, lakini zake zinaendelea vizuri.
Anapata pesa na mafanikio, lakini anawapa wengine — sio wewe.
Ukiona hali hii, tambua kuna kitu hakiko sawa.
Inawezekana kabisa mtu huyo ananufaika na juhudi zako, bahati yako, na riziki yako… huku wewe ukiendelea kuishi kwenye tabu.
Ndio maana unakuta ni vigumu sana kujitenga naye — kuna nguvu inayokurudisha nyuma kila mara.
Na wapo wanaosema:
“Mimi nachukia wanaume” au “Ninaishi tu kwa ajili ya watoto.”
😂 Ukweli ni huu: huenda tayari ulishaathirika… bila hata kujua.
📞 Mawasiliano: 0742 702 741
📍 Tunapatikana: Chanika na Gongolamboto
👤 Dkt. Muma

06/03/2026

MATATIZO YA PUA KUZIBA NA NYAMA ZA PUA
:
IKIWA UNA TATIZO LA KUZIBA PUA NA NYAMA ,

LEO NA KUELEKEZA

DAWA YA ASILI YA MAJANI YA MBAAZI NA MGALAGALA NA PAKA
🍃

JINSI YA KUTUMIA:
👃👃👃👃👃👃👃

CHUKUA MAJANI YA MBAAZI NA MGALAGALAPAKA.

FIKICHA KWA MIKONO AU TWANGA KWA KINU ILI UPATE MAJI YAKE.
💦💦💦💦💦💦💦

KAMULIA TONE MOJA MOJA KWENYE TUNDU ZA PUA ILIYOZIBA

(USIZIDISHE).

ANZA NA PUA ILIYOATHIRIKA ZAIDI.
👃👃👃👃👃👃👃

ONYO: USITUMIE KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 7.

KUMBUKA, HII NI KALI LAKINI NI DAWA YENYE MANUFAA!

RUDIA BAADA YA MIEZI MITATU NA UTAONA MATOKEO!

HII NI DAWA BORA

UKI IFANYA MUDA HUO HUO NYAMA ZA PUA ZITA TOKA

NA UTAKUA SAWA

DR. MUMA.

0742 702 741.

ASALI FEKI HAIWEZI KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO, ACID REFLUX WALA URIC ACIDAsali ni chakula kinachojulikana kuwa na faida ny...
26/02/2026

ASALI FEKI HAIWEZI KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO, ACID REFLUX WALA URIC ACID

Asali ni chakula kinachojulikana kuwa na faida nyingi kiafya pale inapokuwa asali halisi (natural honey).

Lakini siku hizi kumekuwa na tatizo la kuwepo kwa asali feki ambayo mara nyingi hutengenezwa kwa kuchanganya sukari, glucose syrup au kemikali ili ifanane na asali ya kweli. Asali ya aina hii haina virutubisho muhimu vya asali halisi, hivyo haiwezi kuwa dawa ya maradhi ya tumbo wala magonjwa mengine.

1. Asali Feki na Vidonda vya Tumbo
Vidonda vya tumbo (gastric ulcers) mara nyingi husababishwa na bakteria k**a H. pylori au matumizi ya dawa kali za maumivu. Asali halisi ina sifa za kuua bakteria (antibacterial) na kupunguza uvimbe.
Lakini asali feki:
Haina viambata vya kuua bakteria
Ina sukari nyingi iliyoongezwa
Inaweza kuongeza asidi tumboni
Hivyo, haiwezi kusaidia kuponya vidonda vya tumbo. Badala yake, inaweza kuongeza muwasho wa tumbo na kufanya maumivu yaongezeke.

2. Asali Feki na Acid Reflux
Ugonjwa wa Gastroesophageal Reflux Disease (GERD) hutokea pale asidi ya tumbo inaporudi juu kwenye koo. Asali halisi wakati mwingine husaidia kulainisha koo na kupunguza muwasho.
Lakini asali feki:
Huwa k**a sukari ya kawaida
Huongeza uzalishaji wa asidi tumboni
Huchochea hali ya reflux kuwa mbaya zaidi
Kwa hiyo haiwezi kutibu acid reflux, na kwa baadhi ya watu inaweza kuongeza dalili.

3. Asali Feki na Uric Acid
Uric acid nyingi mwilini husababisha maumivu ya viungo (gout). Hakuna ushahidi wa kitabibu unaothibitisha kuwa asali ni tiba ya moja kwa moja ya uric acid.

Asali feki ikiwa na sukari nyingi:
Huongeza kiwango cha fructose mwilini
Fructose huongeza uzalishaji wa uric acid
Inaweza kuongeza mashambulizi ya gout
Hivyo, asali feki haiwezi kutibu uric acid bali inaweza kuifanya iongezeke.

4. Kwa Nini Wagonjwa wa Kisukari Hukatazwa Sukari?
Wagonjwa wa kisukari (diabetes) hukatazwa kutumia sukari nyingi kwa sababu:
Sukari huongeza kiwango cha glucose kwenye damu
Huchelewesha kupona kwa vido

🔬 KWA NINI MAFUTA YANAWEZA KUFANYA DAWA ZISIONEKANE KUSHIKA?ACID REFLUX & VIDONDA VYA TUMBOMafuta huchelewesha tumbo kum...
19/02/2026

🔬 KWA NINI MAFUTA YANAWEZA KUFANYA DAWA ZISIONEKANE KUSHIKA?
ACID REFLUX & VIDONDA VYA TUMBO

Mafuta huchelewesha tumbo kumaliza chakula

(gastric emptying).
Hivyo, asidi hukaa tumboni muda mrefu.
Mafuta hulegeza valve ya juu ya tumbo (LES).

Kwa hiyo, asidi hurudi juu kwenye koo.
Hivyo, hata k**a mtu anatumia dawa za kupunguza asidi,

mazingira ya asidi yanaendelea kuchochewa mara kwa mara.

👉 Sio kwamba mafuta yanazuia dawa kugusa kidonda.
Bali yanaunda mazingira yanayopingana na kazi ya dawa.

💊 2️⃣ DAWA ZA TUMBO ZINAFANYAJE KAZI?

Dawa za tumbo kwa kawaida hufanya kazi kwa kupunguza uzalishaji wa asidi tumboni.

Pia husaidia kulinda ukuta wa tumbo dhidi ya asidi.

Vilevile husaidia kidonda kupona taratibu.

Hazifanyi kazi kwa “kufunika” kidonda k**a mafuta yanavyoweza kufunika kitu juu juu.

Dawa nyingi zinahitaji kumezwa kabla ya kula.
Hii husaidia zianze kufanya kazi vizuri.

K**a mtu anakunywa dawa vibaya, kwa mfano baada ya kula, athari hupungua.

Pia, k**a anaendelea kula mafuta mengi mara kwa mara, kichocheo kinaendelea kuwepo.

👉 Ndiyo maana matokeo yanakuwa hafifu au ya polepole.

🦶 3️⃣ KWA URIC ACID (GOUT)
Mafuta mengi huchangia uzito kupita kiasi.
Huongeza usumbufu wa homoni za mwili (insulin resistance).

Huathiri jinsi figo zinavyotoa taka mwilini, ikiwemo uric acid.

Dawa za kushusha kiwango cha uric acid husaidia kupunguza tatizo.

Lakini k**a lishe inaendelea kuwa na mafuta mengi na vyakula vinavyochochea uric acid, mafanikio yanakuwa ya polepole.

🧠 MFANO SAHIHI ZAIDI
Ni k**a unamwaga maji kuzima moto.
Lakini bado unaendelea kumimina petroli kidogo kidogo.

Dawa inapunguza tatizo.

0742 702 741

🔥 JE, UNASUMBUKA NA ACID REFLUX AU URIC ACID NA VIDONDA VYA TUMBO? 🔥❌ Kiungulia❌ Moto kifuani❌ Kichefuchefu❌ Gesi tumbon...
13/02/2026

🔥 JE, UNASUMBUKA NA ACID REFLUX AU URIC ACID NA VIDONDA VYA TUMBO? 🔥

❌ Kiungulia
❌ Moto kifuani
❌ Kichefuchefu
❌ Gesi tumboni
❌ Maumivu ya tumbo
❌ Kutapika tindikali
❌ Kukosa hamu ya kula
❌ Gesi kupanda hadi kooni
❌ Maumivu makali unapokula au ukiwa na njaa

👉 Hizi ni dalili za ACID REFLUX au VIDONDA VYA TUMBO.

🌿 SULUHISHO LA ASILI LIPO!
Tunayo dawa ya asili inayosaidia: ✅ Kupunguza tindikali tumboni
✅ Kutuliza moto wa kifua
✅ Kusaidia kupona kwa vidonda vya tumbo
✅ Kurekebisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
✅ Kuondoa gesi na kichefuchefu

⏳ DOZI YA KWANZA NI SIKU 10

HII USAIDIA KUONDOA SUMU KUPONYA ATHARI ZA ACID REFLUX AU URIC ACID
KUTIBU FIGO KUSAFISHA MAPAFU KUONDOA KILA UCHAFU SUMU MWILINI KUFUNGUO CHOO KWA WALE HAJA KUBWA NI MTIHANI KUPATA KIBOFU CHA MKOJO YANI KOJO KUTOKA KIDOGO KIDOGO

DOZI YA PILI NI MWEZI 1

UTA KUNYWA LITA MOJA KWA SIKU MOJA TU KWA WIKI
JUMLA NI CHUPA NNE KILA WIKI UTAKUNYWA CHUPA MOJA

💚 Imetengenezwa kwa viambato asilia, salama na imewasaidia watu wengi.

Kwa wale wagonjwa wangu ambao walisha wai tumia dawa zangu wakapona Mungu awajalie zaidi

Na kwa wale ambao labda walitumia alafu ilirudi tena waje wanijulishe

Hakuna gharama tena kwao lengo ni kuhakikisha pesa yao haiendi bure

ACID REFLUX NA URIC ACID INA TIBIKA

📞 Wasiliana nasi: 0742 702 741

09/02/2026

ZIKA KILA BAYA MWILINI MWAKO

HII NDIO NJIA AMBAYO WAZEE WENGI WALIKUA WANA TUMIA ZAMANI

K**A UME ROGWA UNA JINI AMBAE UME ZUNGUKA KWA WAGANGA AU JINI WA KURISI WA UCHAWI

HII NDIO NJIA AMBAYO ILIKUA INA TUMIWA

CHUKUA KARFUL MAITI

MISKI NYEUPE

DALIA

SANDA KUBWA

ROSE 🌹 WATER 💧

KISHA TAYARISHA KABURI

WEKA MSALABA AU NIA YA KUA UNA ZIKA UADUI MAJINI VIFUNGO UCHAWI MIZIMU MAGONJWA YASIO ISHA

N.K KISHA MFANYIE TARATIBU ZA KUMFUNGA SANDA

KISHA MWILI WOTE UNYUNYUZIE MAJI KIASI

ULIO CHANGANYA NA KARFUL MAITI DALIA ROSE 🌹 WATER
ILE MISKI IWE YA MAFUTA UNA NYUNYUZIA

KISHA

Kumswalia maiti (Swala ya Janaza)
Hufanywa bila rukuu wala sijda
Ni fardhi kifaya

UKIMALIZA HAPO MFUNGUE VITU VYOTE ASITOKE ATA NA CHUPI

AKITOKA KATIKA SHIMO FUKIA VITU VYOTE NA NIA NAMFUKIA FULANI BIN FULANI AU BINT FULANI

RUDI NAE NYUMBANI KISHA FANYA DUA YA KUREHEM JINA LAKE NA NDUGU ZAKE SIKU IYO IYO

ANAWEZA KWENDA KAZI INAKUA IME KWISHA

KILA KILICHO MGANDA KITA MUACHIA SABABU ITAKUA ISHA ONESHA KUA AME KUFA

MIZIMU MAJINI UCHAWI N.K ATA WACHAWI WALIO MUANDAMA AU KUTAKA KUMCHUKUA WATA SHINDWA

ILI KURUDISHA NYOTA RIZKI MAFANIKIO YAKE BAHATI ZAKE

MSOMEE HUYO MTU AYA HII

Qur’an – Suratul An‘aam (6:122)
﴿أَوَمَن كَانَ مَيْتًا فَأَحْيَيْنَاهُ وَجَعَلْنَا لَهُ نُورًا يَمْشِي بِهِ فِي النَّاسِ﴾
Maana yake kwa Kiswahili:
“Je, yule aliyekuwa maiti (amekufa), kisha Tukampa uhai na Tukampa nuru anayokwenda nayo miongoni mwa watu

MARA 3330 SIKU YA JUMA PILI SAA 6 MCHANA

WENU DOKTA MUMA +255742702741

08/02/2026

USHIKI MIMBA ??

🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿
UNA SUMU NYINGI
MWILINI
🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀

TUMIA HARYA 2

🌹🌹🌹🌹🌹

NI DAWA NZURI KWA KINA MAMA NA DADA

💮🌹🌺🌷🌺🌷🌺🌷🌺🌷

K**A ULITUMIA DAWA ZA UZAZI WA MPANGO NA SUMU ZIKAWA NYINGI MWILINI NA KUSABABISHA USHIKI MIMBA

🌾🌹🌾🌹🌾🌹🌾🌹🌾🌹

1..K**A MIRIJA IME ZIBA 🌿

2..K**A UKE MKAVU 🍀

3..K**A UKE BARIDI 🌷

4..CHANGO KALI 🌻

(HORMONE BALANCE)
TUMIA HARYA 2 🌼

5..MAUMIVU YA SIKU ZA HEDHI🌹

NA UWEKE SAWA MFUMO WAKO

6 UONI SIKU ZAKO MIEZI KADHAA

MATUMIZI

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌷🌷🌷🌷🌷🌹🌹🌹🌹🌹🌹

UTACHUKUA DAWA YAKO
UCHEMSHE NA KARAFUU KWENYE MAJI YA UJAZO WA VIKOMBE 5 PAKA VIBAKI 3

🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

UTA KUNYWA KUTWA MARA TATU ASUBUHI MCHANA NA JIONI SIKU 3 PAKA 7

WENU DR MUMA 0742702741

DAR ES SALAM 💞💞💞💞💞💞💞💞💞

Address

Ramadhanimustafa549@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DR MUMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category