The desert root products

The desert root products The spirit of healing🕊
call/whatsapp mda wowote
0784925998
0616854995
0779797320
0747925989

02/07/2026

‎🌺🌺🌺 DALILI ZA UTI 🌺🌺🌺

‎1.Uvivu wa kuamka asubuhi;yaani Kuhisi uchovu nakutaka kuendelea kulala kidogo unapotaka kuamka asubuhi

‎2.Maumivu ya kiuno

‎3.Kupata maumivu makali
‎ wakati wa kukojoa

‎4.Kujisikia hali ya
‎ kuchomachoma kwenye
‎ kibofu wakati wa kukojoa

‎5.Kujisikia kukojoa mara
‎ kwa mara au kupata
‎ mkojo kidogo sana

‎6.Kupata maumivu ya
‎ misuli

‎7.Maumivu ya tumbo
‎ la chini

‎8.Mkojo kuwa mwekundu au
‎ pink(dalili ya damu
‎ kwenye mkojo)

‎9.Mkojo kutoa harufu kali

‎10.Maumivu ya nyonga
‎ kwa mwanamke

‎11.Wakati mwingine
‎ kushindwa kujizuia mkojo
‎ kutoka

‎🔥Sababu na Vihatarishi vya Kawaida🔥

‎💥Usafi duni wa sehemu za siri💥

‎✍️ Kutokujisafisha vizuri baada ya haja kubwa (k**a kufuta kuelekea mbele badala ya nyuma) kunaweza kuhamisha bakteria kutoka eneo la haja kubwa kwenda kwenye njia ya mkojo.
‎Tendo la ndoa: Kufanya ngono kunaweza kusukuma bakteria ndani ya njia ya mkojo.

‎💥Kushikilia mkojo kwa muda mrefu💥

‎✍️ Kitendo hiki huongeza nafasi ya bakteria kuzaliana kwenye kibofu.
‎Kunywa maji kidogo: Maji husaidia kusafisha mfumo wa mkojo kwa kuutoa mkojo mara kwa mara.

‎💥Matumizi ya vyoo visivyo safi💥

‎✍️ Bakteria wanaweza kuingia mwilini kupitia mazingira machafu ya vyoo.
‎Kinga dhaifu ya mwili: Magonjwa k**a kisukari hufanya mwili kuwa rahisi kushambuliwa na maambukizi.

‎💥Ujauzito💥

‎✍️ Mabadiliko ya kimwili wakati wa ujauzito yanaweza kuongeza hatari ya mkojo kubaki kwenye kibofu na kusababisha maambukizi.
‎Nguo za ndani: Kuvaa nguo za ndani zinazobana sana au zisizo safi.

‎⚠️Kwa wanaume, UTI inaweza pia kusababishwa na magonjwa ya zinaa k**a klamidia na kisonono.


‎🚷🚷🚷MADHARA YA U.T.I SUGU🚷🚷🚷

‎📌Figo kushindwa kufanya
‎ kazi(kidney failure)

‎📌Kupata magonjwa ya
‎ kibofu na kupelekea
‎ mgonjwa kukojoa kwa
‎ mirija

‎📌Maumivu makali ya
‎ kiuno, mgongo na nyonga

‎📌Kupoteza hamu ya tendo
‎ la ndoa

‎📌Kuharibu homoni
‎ (hormonal imbalance)

‎📌Mimba kuharibika

‎📌Kushindwa kubeba mimba

‎📌 Miwasho sehemu za siri

‎☘☘☘SULUHISHO☘☘☘

‎✍Ipo tiba asili ya virutubisho ya kutibu UTI sugu na utaelekezwa njia za kujikinga usiugue UTI mara kwa mara tuma ujumbe kwenda whatsapp namba 0784925998 au piga simu usaidiwe mapema.
‎



‎‎❗️P.I.D NI NINI⁉️

‎Kwanza tujue kirefu cha P.I.D ni (Pelvic inflammatory Disease) au maambukizi kwenye mfumo wa kizazi

‎✍️PID ni maambukizi katika mfumo wa via vya uzazi wa mwanamke na mara nyingi husababishwa na
‎magonjwa ya zinaa k**a vile gonorrhea na chlamydia ila kuna aina ya maambukizi mbali na magonjwa ya zinaa yanaweza kusababisha maambukizi ya PID.

‎CHANZO CHA KUPATA P.I.D

‎Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza
‎kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na:

‎• K**a una ugonjwa wa zinaa na haijatibiwa kwa wakati
‎• Kufanya ngono zembe isiyo salama (yaani kusex
‎na wanaume tafauti tafauti bila Kinga)
‎• K**a umekuwepo na historia ya P.I.D hapo
‎nyuma ni rahisi kujirudia mara ya pili k**a sababu iliyokufanya upate bado hujaizuia
‎• Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi au mara
‎baada ya kujifungua (au postpartum period)
‎• Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa
‎uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa
‎mpango
‎• Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya P.I.D

‎DALILI ZA P.I.D NI ZIPI.?
‎Dalili zipo nyingi miongoni mwake ni:-
‎• Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa
‎maeneo ya chini ya kitovu
‎• Kupata maumivu ya mgongo na kiuno
‎• Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za
‎siri huambatana na harufu mbaya wakati mwingine hauna harufu
‎• Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
‎• Kupata maumivu au kutokwa na damu wakati
‎wa tendo la ndoa
‎• Kutoka DAMU nyingi wakati hedhi
‎• Kupata hedhi isiyoeleweka
‎• Wakati fulani kuhisi kichefuchefu, homa kalik**a
‎mwanamke mjamzito hadi kutapika
‎• Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
‎• Kutokushika Ujauzito hata baada ya kujaribu mara kadhaa.

‎👉KUMBUKA SIO KILA MWENYE P.I.D ANA DALILI HIZI MWINGINE HAONESHI DALILI ILA ANA P.I.D
‎MUHIMU NI KWENDA HOSPITAL KUFANYA Vipimo.

‎ WANAMKE MWENYE P.I.D HUPATA MADHARA HAYA:
‎• Maumivu ya mfuko wa uzazi ya kudumu
‎• Itakuwia ugumu katika kubeba mimba
‎• Utakuwa kwenye hatari ya kupata ectopic pregnancy (mimba kutunga katika nje ya mji wake)
‎• Mirija kuziba
‎• Mimba kuharibika mara kwa mara
‎• Cancer ya kizazi‎



✳️DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI✳️

‎ Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
‎⤵⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️

‎1🔗Tumbo kuuma chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

‎2.🔗Kupiga mingurumo tumboni.

‎3.🔗Kujaa gesi tumboni.

‎4.🔗Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

‎5.🔗Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.

‎6.🔗Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

‎7.🔗Wakati fulani unakwenda haja kubwa sana kila mara.

‎8.🔗Unaweza kufanya tendo mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

‎9.🔗Nuru ya macho hupotea taratibu.

‎10.🔗Hutokea wakati mwingine kushindwa kufanya tendo mwanzoni kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

‎11.🔗Kuvutwa pumbu upande mmoja nakuwa na maumivu.

‎12.🔗Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

‎13.🔗Maumivu makali ya mgongo au kiuno

‎14.🔗Uume kusinyaa na kunywea k**a wa mtoto
‎!
‎15 .🔗🔗Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi

‎16. 🔗Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

‎17.🔗 Tumbo kujaa na kuonekana k**a una kitambi kumbe ni gas.

‎18. 🔗Ukila vitu vyevye sukari nyingi k**a soda n.k tumbo huunguruma sana na kujaa gesi

‎19. 🔗Kuvimba kwa pumbu 1 ama pumbu kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)

‎⚫ *MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU*

‎Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:⤵⤵⤵⤵⤵⤵

‎1. 🔗Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)

‎2.🔗Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati

‎3.🔗Dhakari kurudi ndani na kuwa na dhakari ndogo k**a ya mtoto mdogo

‎4.🔗 Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakari

‎5.🔗Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakari hushindwa kabisa kusimama.

‎6.🔗Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatizo mengine kutokana na mawazo ,k**a vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk

‎7.🔗Upungufu wa nguvu za kiume hii hutokana na kulegea kwa misuli ya uume na kupelekea uume kuwa legelege

‎8.🔗Kupata bawasiri kutokana na kupata choo kigumu (kuota kinyama sehemu ya haja kubwa)Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwani ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatizo ya uzazi kwa mwanaume? ‎


‎⭕DALILI HATARI 16 ZA VIDONDA VYA TUMBO⭕

‎❗CHUKUA HATUA📌

‎1.kukosa hamu ya kula au kusikia
‎kichefuchefu mara kwa mara

‎2.Maumivu ya tumbo chini au juu upande wa kushoto zaidi

‎3.Vichomi tumboni au kifuani

‎4.Mwili kukosa nguvu gafla unapochelewa kula

‎5.Kuumwa kichwa mara kwa mara na kusikia kizunguzungu

‎6.Kiungulia

‎7.Kukosa choo au kupata choo kigumu(cheusi) na kusababisha tumbo kuwa kubwa

‎8.Maumivu ya mgongo hasa upande wa juu kushoto

‎9.kukosa hamu ya tendo la ndoa

‎10.Kuwa na hasirahasira

‎11.Kuharisha au kutapika

‎12.Kupata hofu ya gafla bila sababu ya msingi

‎13.Moyo kulipuka lipuka na kuhisi presha inapanda

‎14.Presha hushuka au mapigo ya moyo yanapungua

‎15.Uzito kupungua

‎16.Pumzi kubana hasa nyakati za usiku

‎⚠️MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO⚠️

‎🚷Kupata Kansa ya Utumbo.

‎🚷kutoboka Kwa Kuta za Utumbo.

‎🚷Kuvuja Kwa damu Kwa Kuta za Utumbo.

‎🚷Kutapika damu.

‎🚷Upungufu wa Damu.

‎🚷Kujisaidia Kinyesi Cheusi.

‎🚷Kuvurugika Kwa mfumo wa chakula.

‎🚫MADHARA YA KUZIDI KWA ASIDI NYINGI MWILINI🚫

‎🔥kupata kikohozi kikavu"

‎🔥Sauti kubadilika kuwa k**a mkwaruzo"

‎🔥Masikio kuuma"

‎🔥kubeua mara kwa mara asidi k**a" inaunguza na radha ya uchungu mdomoni"

‎🔥Mapigo ya Moyo kwenda kasi"

‎🔥Kuhisi kukabwa na matatizo wakati wa kumeza"

‎🔥kiungulia cha mara kwa mara"

‎🔥Koo kuwa kavu"

‎🔥kifua kuuma au kuwaka moto "

‎🔥Madonda ya tumbo"

‎🔥Mucus kwenye koo"

‎🔥maumivu ya mgongo na kiuno"

‎🔥kuishiwa nguvu ,kuhisi kizunguzungu na mwili kudhoofika"

‎🔥Tumbo kujaa Gesi"

‎🔥Maumivu ya kichwa mara kwa mara"

‎🔥Kansa ya koo n.k 😭

‎🔥Harufu Mbaya ya kinywa"

‎❗Kumbuka dawa yetu ina kausha vidonda vya tumbo na kuua bacteria wote kwa siku 7
‎✍Karibu tuku hudumie
‎The desert root products
‎


‎‎🔥 DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI🔥

‎ 1.Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda fulani.

‎2.Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Uvimbe huu unaanza kuota k**a upele.

‎3.Kujitokezea kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa kikitokea nje, ujue kwamba una hili tatizo la bawasili kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya ghafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishoe kuathirika. ❗Chukua tahadhari mapema kabla hujaathirika sana au upoteze maisha; kwasababu hiki ni chanzo cha kupatwa na magonjwa mengine mengi ya kiafya.

‎4.Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana

‎5.Kupumua (kujamba) kiasi kwamba mwezako hawezi kuvumilia hali iliotokea ya uchafuzi wa mazingila

‎6.Upungufu wa damu mwilini

‎7.Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.

‎8.Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda

‎9.Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote.

‎10.Upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanamume, ikiwemo uume kushindwa kusimama kwa muda unaotakiwa na kushindwa kurudisha heshima ya ndoa.

‎11.Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

‎12.Sperms (Mbegu za mwamume) kutokua bora kiasi kwamba haziwezi kumpa mimba mwanamuke, au kusababisha mimba kutoka kila wakati.

‎13.Kuathirika kisaikolojia

‎14.Kutojiamini katika hadhara ya watu

‎⚫MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

‎1.🔗 Uzito kupita kiasi(Overweight)
‎2.🔗 Ujauzito
‎3.🔗Unywaji pombe
‎4.🔗 Kukaa sana sehemu ngumu
‎5.🔗 Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
‎6.🔗Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
‎-Vidonda vya TUMBO
‎-Ngiri/Hernia
‎-Ulaji duni
‎-Kuzid kwa Acid tumbon(Acid reflux)
‎7.🔗 Kula sana nyama nyekundu
‎8.🔗 Presha ya kupanda
‎9.🔗 Kula sana pilipili
‎10.🔗 Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)
‎11.🔗 Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa
‎12.🔗 Kuharisha kupita kiasi.
‎13.🔗 Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito

‎⚫ ATHARI ZA BAWASIRI

‎1.🔗Upungufu wa damu mwilini
‎2.🔗Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
‎3.🔗kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
‎4.🔗kupungukiwa nguvu za kiume
‎5.🔗kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
‎6.🔗Kupata tatizo la kisaikolojia
‎7.🔗Kutopata ujauzito
‎8.🔗 Mimba kuharibika
‎10.🔗 Kupata kansa ya utumbo (Colorectal cancer)
‎11.🔗 Mwili kudhoofika
‎13.🔗 Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito
‎The desert root products

💥 NJOO UPONE KWA SH.10,000/= TU.💥❤️hatudanganyi wala hatubahatishi💯🚸Nipo dar es salaam tegeta kwa ndevu✅            📖flp...
24/06/2026

💥 NJOO UPONE KWA SH.10,000/= TU.💥

❤️hatudanganyi wala hatubahatishi💯
🚸Nipo dar es salaam tegeta kwa ndevu✅

📖flp 4:13📜

🕊️vidonda vya tumbo
🕊️U.t.i sugu
🕊️P.i.d
🕊️Fangasi
🕊️Miwasho
🕊️Hedhi
🕊️Kubeba ujauzito
🕊️Presha
🕊️Kisukari
🕊️ Maumivu ya kiuno
🕊️ Maumivu ya mgongo
🕊️ Maumivu ya tumbo
🕊️ Maumivu ya misuli
🕊️ Maumivu ya miguu
🕊️ Maumivu ya kichwa
🕊️ Maumivu ya viungo

📱Piga simu au Whatsapp mda wowote ✅
☎️0784925998
☎️0616854995
☎️0747925989
☎️0779797320

✍️Usitume meseji sitakujibu 🚷
❌Sms❌sms❌

19/06/2026

💥 NJOO UPONE KWA SH.10,000/= TU.💥

❤️hatudanganyi wala hatubahatishi💯

📜Flp 4:13📖

🕊️vidonda vya tumbo
🕊️U.t.i sugu
🕊️P.i.d
🕊️Fangasi
🕊️Miwasho
🕊️Hedhi
🕊️Kubeba ujauzito
🕊️Presha
🕊️Kisukari
🕊️ Maumivu ya kiuno
🕊️ Maumivu ya mgongo
🕊️ Maumivu ya tumbo
🕊️ Maumivu ya misuli
🕊️ Maumivu ya miguu
🕊️ Maumivu ya kichwa
🕊️ Maumivu ya viungo

📱Piga simu au Whatsapp mda wowote ✅
☎️0784925998
☎️0616854995
☎️0747925989
☎️0779797320

✍️Usitume meseji sitakujibu 🚷
❌Sms❌sms❌

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255616854995

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The desert root products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to The desert root products:

Shortcuts

Share

Category