Ummyblooddonors.tz

Ummyblooddonors.tz WE ARE PARTICIPATING TO DONATE BLOOD AND PROMOTE VOLUNTEER NON REMUNERATED BLOOD DONATION TO SERVE LIVES OF OTHERS IN OUR COMMUNITY AND NATIONAL AS WHOLE.

BLOOD NOT FOR SELL

Tarehe  05/03/2022  katibu taifa akiongozana na afisa mahusiano na mawasiliano, makamu mwenyekiti, wajumbe watano (5) wa...
06/03/2022

Tarehe 05/03/2022 katibu taifa akiongozana na afisa mahusiano na mawasiliano, makamu mwenyekiti, wajumbe watano (5) walikwenda kuhamasisha na kuchangia damu katika hospital ya msamaria mwema iliopoTabata Kisukule na kufanikiwa kupata unit 12.

DIRAKuona jamii inahusika katika kupunguza upungufu mkubwa wa Damu Salama kupitia wachangiaji Damu wa kujitolea  kwa hia...
06/03/2022

DIRA

Kuona jamii inahusika katika kupunguza upungufu mkubwa wa Damu Salama kupitia wachangiaji Damu wa kujitolea kwa hiari katika uchangiaji damu wa kifamilia (Family Replacement).

TAMASHA-   Shirika litakuwa na Matamasha yatakayo husisha uhamasishaji wa Uchangiaji Damu Salama kwa muda maalum wa kale...
11/02/2022

TAMASHA

- Shirika litakuwa na Matamasha yatakayo husisha uhamasishaji wa Uchangiaji Damu Salama kwa muda maalum wa kalenda ya shirika kila mwaka.

- Uhamasishaji – Shirika kwa kushirikiana na wadau mbalimbali litahusika katika kuihamasisha jamii kutambua umuhimu wa kujenga uzalendo wa kujitolea katika kuchangia Damu Salama.

- Uchangiaji Damu Salama – Shirika kupitia wanachama wake litakuwa na wajibu wa kuchangia Damu Salama Endelevu kwa lengo la kupunguza changamoto ya upungufu wa Damu Salama unaoukabili taifa na kutoa elimu kuhusu Damu Salama faida za kuchangia damu, kiafya, kiuchumi na kijamii.

Ummy Blood Donors.tz (UBD.tz) is a Tanzanian Non Organization firm participating in our community to Donate Safe Blood t...
05/02/2022

Ummy Blood Donors.tz (UBD.tz) is a Tanzanian Non Organization firm participating in our community to Donate Safe Blood through Volunteer Non Remunerated Blood Donors (VNRBD) Country wide.

The Organization was Registered in Tanzania under the Non Governmental Organizations Act, No.24 of 2002 with Registration No. 00NGO/R/2559 date 17 day of November 2021.

The Organization was Established since 24th June 2018 with the aim; to find members of Volunteer Non Remunerated Blood Donors, to donate safe blood, in order to reduce great shortage of safe Blood in our community, to provide provision education of awareness of blood donation with coordination of National Blood Transfusion Services (NBTS) and team of Blood Collections in Districts and Regions all over the country.

Address

Ummy Blood Donors. Tz (UBD. Tz), HEADQUATER Plot No. 45 Matumbi, Temeke, , Mob DSM. 0788040864, 0782001176, , Dodoma 0629678538, 0752233537, , Email:ummyblooddonors. Tz2018@gmail. Com
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255782920110

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ummyblooddonors.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ummyblooddonors.tz:

Shortcuts

Share

Category