AFYA YAKO NI UHAI

AFYA YAKO NI UHAI Nashughulika kutatuwa changamoto Mfumo wa damu(+255629218863)

02/08/2026

Je wajua?

02/08/2026

Unapata maumivu haya ukiwa wapi?

02/08/2026

Ganzi kwako haijaisha kwasababu hii

02/08/2026

02/08/2026

Lipa Gharama Hii Ili Kuongeza Nafasi Yako ya Kupona Baada ya Stroke.

01/08/2026

Dawa Pekee Hazitoshi! Haya Mambo 3 Ndiyo Siri ya Kupona Baada ya Stroke.

31/07/2026

Una ganzi? Tumia vyakula hivi Vyakula vinavyoweza kusaidia kuongeza vitamini B ni pamoja na:
🥚 Mayai
🐟 Samaki k**a salmoni, dagaa na sardini
🥩 Nyama isiyo na mafuta mengi na ini (kwa kiasi)
🥛 Maziwa na mtindi
🌾 Nafaka zisizokobolewa k**a shayiri na brown rice
🥜 Karanga na mbegu mbalimbali
🥬 Mboga za majani ya kijani k**a mchicha
🫘 Maharage, dengu na njegere

Lakini kumbuka, si kila ganzi husababishwa na upungufu wa vitamini B. Ikiwa ganzi inaendelea, inazidi, au inaambatana na udhaifu wa mkono au mguu, maumivu makali, au kushindwa kuzungumza, ni muhimu kufanyiwa uchunguzi na mtaalamu wa afya ili kubaini chanzo na kupata matibabu sahihi.

31/07/2026

Changamoto yako kubwa ni ipi kati ya hizi baada ya stroke?"

30/07/2026

Upo mkoa gani? Tunakufikishia dozi ya kudhibiti madhara baada ya stroke popote ulipo.

30/07/2026

Mambo machache ya kuanza nayo baada ya kupata stroke.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YAKO NI UHAI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA YAKO NI UHAI:

Shortcuts

Share