Afya_na_hilda

Afya_na_hilda Nawasaidia wakulima kutumia kirutubisho cha mimea SUPER GRO na kuwa na mazao bora na kujiongezea wingi wa mazao katika mavuno mengi
(1)

08/08/2026

Wewe ni MKULIMA POPOTE PALE TANZANIA UTAPATA BIDHAA ZETU PAMOJA NA SUOER GRO na UNATAMANI kuwa Wakala wa MBOLEA yetu pendwa sana ya Super GRO karibu sana TUNASAJILI MAWAKALA popote Tanzania na hata nje ya Tanzania

NIPIGIE /WHATSAPP MARA TU UONAPO UJUMBE HUU +255 753667944

Wewe ni AGROVET POPOTE PALE TANZANIA na UNATAMANI kuwa Wakala wa MBOLEA yetu pendwa sana ya Super GRO karibu sana TUNASA...
25/07/2026

Wewe ni AGROVET POPOTE PALE TANZANIA na UNATAMANI kuwa Wakala wa MBOLEA yetu pendwa sana ya Super GRO karibu sana TUNASAJILI MAWAKALA popote Tanzania na hata nje ya Tanzania

Utapata faida nyingi sana kwa kuwa wakala faida mojawapo ni faida ya MAUZO, Manunuzi, Mtandao na Lifestyle kutoka Neolife lakini pia utaishi Maisha yenye Afya Bora kwako na familia yako na unaowajali

NIPIGIE /WHATSAPP MARA TU UONAPO UJUMBE HUU +255 753667944

Wewe ni AGROVET POPOTE PALE TANZANIA na UNATAMANI kuwa Wakala wa MBOLEA yetu pendwa sana ya Super GRO karibu sana TUNASA...
25/07/2026

Wewe ni AGROVET POPOTE PALE TANZANIA na UNATAMANI kuwa Wakala wa MBOLEA yetu pendwa sana ya Super GRO karibu sana TUNASAJILI MAWAKALA popote Tanzania na hata nje ya Tanzania

Utapata faida nyingi sana kwa kuwa wakala faida mojawapo ni faida ya MAUZO, Manunuzi, Mtandao na Lifestyle kutoka Neolife lakini pia utaishi Maisha yenye Afya Bora kwako na familia yako na unaowajali

NIPIGIE /WHATSAPP MARA TU UONAPO UJUMBE HUU +255 753667944

21/07/2026

Ni MBOLEA ya Maji SUPER GRO mkombozi wa mkulima kwa mazao yote ya Kilimo, BUSTANI, miti ya matunda na Miti ya mbao

Kila mkulima anahitaji MBOLEA hii ya Super GRO kwa KILIMO chenye Tija na mavuno ya kutosha

Nakaribisha pia MAWAKALA WA SUPER GRO popote ulipo TUTAKUFIKIA

Nipigie /WhatsApp: +255 753667944

゚viral

True Testmony Shamba la viazi kwa kutumia MBOLEA ya SUPER GRO NjombeKila mkulima anahitaji MBOLEA hii ya Super GRO kwa K...
21/07/2026

True Testmony
Shamba la viazi kwa kutumia MBOLEA ya SUPER GRO Njombe
Kila mkulima anahitaji MBOLEA hii ya Super GRO kwa KILIMO chenye Tija
Nakaribisha pia MAWAKALA WA SUPER GRO popote ulipo TUTAKUFIKIA

Nipigie /WhatsApp: +255 753667944

゚viral

SUPER GRO📌TONE LA MAAJABU📌Ni MBOLEA ya maji na kirutubisho bora asilia Cha mimea kisicho na kemikali ambacho kilitengene...
21/07/2026

SUPER GRO

📌TONE LA MAAJABU📌
Ni MBOLEA ya maji na kirutubisho bora asilia Cha mimea kisicho na kemikali ambacho kilitengenezwa Ili kuhakikisha uimarishaji wa Mazao Katika hali ya Majira yoyote pia huongeza uzalishaji wa Mazao Kwa ubora wa hali ya juu kwa Kilimo chochote.

*Wakulima wengi wamekuwa wakikumbana na Changamoto nyingi katika harakati za Kilimo;*

📌Mavuno hafifu
📌Udongo kupoteza rutuba
📌 Gharama kubwa za PEMBEJEO za Kilimo
📌Magonjwa ya mimea ya zamani na mapya ambayo yanaathiri mimea
📌Soko hafifu na hivyo kulazimika kuongeza MBOLEA nyingi na kupelekea mazao kuwa na sumu nyingi hivyo yanakosa Soko
📌Misimu isiyotabirika; kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi

KWA KUTUMIA SUPER GRO tunaenda kuwa na Kilimo salama maana *SUPER GRO* Inaenda kuvunja nguvu ya maji kushikana na kuyafanya maji kupenya kirahisi kwenye Udongo mpaka tabaka la chini zaidi na kufanya mizizi iende mbali na kufyonza virutubisho muhimu, na pia Udongo unarutubishwa vya kutosha.

*FAIDA ZA SUPER GRO BAADA YA KUITUMIA KWA USAHIHI*

🍀Inaongeza uzalishaji kwa asilimia 167%
🍀Kuokoa pesa ambazo zingegumika kununua pembejeo
🍀Kupunguza msongo wa mawazo kwa sababu ya kutopata Mavuno ya kutosha
🍀Super GRO inadhibiti maji yasiharibu mazao
🍀Inasaidia na kuleta *UKIJANI* katika mimea
🍀Mazao yanakuwa mazito na yenye ubora wa Hali ya juu
🍀Mazao yanakuwa katika uwiano au kimo kinachofanana
🍀Mazao yanakomaa mapema zaidi
🍀SUPER GRO Inaleta uwezo wa mazao / mime a kuhimili Changamoto za magonjwa
🍀Inasaidia mkulima atumie dawa kidogo au mzunguko mdogo wa matumizi ya dawa
🍀Super GRO inapochanganywa na maji ikachanganywa na sawa za kuua wadudu, inasaidia dawa isipotee na ishike vizuri kwenye mimea na hivyo kufanya kazi vizuri iliyokusudiwa na kuleta matokeo mazuri pia

*JINSI NA NAMNA YA KUTUMIA SUPER GRO.*

Tunapuliza katika majani ya mmea pamoja na shina la mmea pia

Tunapuliza Mara 1 baada ya siku 7 kwa kipindi cha Kiangazi

Na Mara 1 baada ya siku 14 kwa kipindi cha Masika.

*VIPIMO*
1cc/ml ya Super Gro utachanganya na 1litre ya maji

10cc za Super Gro utachanganya na 10litres za maji

Address

Mpakani Center
Dar Es Salaam
0753667944

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 16:00

Telephone

+255753667944

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya_na_hilda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya_na_hilda:

Shortcuts

Share