17/06/2026
Kuna daktari mmoja Kahama alituuliza: "Mtaweza kunifikishia mzigo salama?
Jibu lilikuwa rahisi Ndiyo. Na tukafanya hivyo.
Tunajua hofu zako:
🤔 Je, machine itafanya kazi vizuri?— Kila ultrasound tunaifanyia majaribio kamili kabla ya kuiondoa ofisini.
🤔 Je, itafika salama mpaka kwangu? — Tunafunga kwa makini na kufuatilia mzigo mpaka mlangoni mwako.
🤔 Je nikilipa kidogo kidogo, nitamudu?- Daktari mmoja alimaliza malipo yake, akatuandikia: "Nashukuru kwa kuniamini, hatimae nimemaliza.
Haijalishi uko Dar es Salaam, Kahama, Mwanza, au Mbeya — Majemu Healthcare tunakufikia sehemu yoyote ulipo
Hofu yako ya kwanza ndiyo sababu tunafanya kazi kwa namna hii kuhakikisha kila hatua tuko pamoja na wewe
💰 Dawei 580 — Cash Tsh 4,000,000 | Mkopo kuanzia Tsh 2,500,000, lipa miezi 5-10
👉 Uko tayari? WhatsApp: 0789 367 331