04/08/2020
PURE WELL WATER PURIFIER
Ni kifaa cha kitekinolojia ya kiwango ya juu sana, inayosafisha, kurutubisha na kuzuia bacteria wabaya,vumbi, kutu, michanga, rangi ya maji nk..
•Hufungwa moja kwa moja kwenye bomba LA maji na husafisha maji kuwa safi na salama kwa kunywa, kupika, na shughuli zingine za nyumban, ofisini, viwandani nk.
•Inaondoa kutu, vumbi na wadudu wote bila kuchemsha maji.
•Haitumii Umeme, Inatumia presha ya maji.
•Huboresha ladha na rangi ya maji na kuwa salama kabisa kwa matumizi.
°KARIBU NIKUHUDUMIE 0783548100