REAMI Wellness Center

REAMI Wellness Center Providing holistic healing and wellness services

15/11/2025

📌Relief in EVERY STEP!!!

16/09/2025

✨ Kwanini utumie unga wa blueberries?
✅ Boresha Kinga Yako ya Mwili: Haya matunda ni tajiri wa antioxidants zinazopambana na sumu mwilini.
✅ Ngozi Yenye Mwonekano wa Ujana: Blueberries husaidia kupunguza wrinkles na kufanya ngozi ing’ae.
✅ Macho Yenye Nguvu: Yana utajiri wa vitamini C na lutein kwa afya bora ya macho.
✅ Kuboresha Mzunguko wa Damu: Husaidia kuweka moyo wako imara.
✅ Afya ya Ubongo: Huimarisha kumbukumbu na akili timamu.
Na faida nyingine nyingi (Unaweza kuzifahamu kupitia wataalam wa afya)👌🏾

💡 Matumizi Rahisi:
✔️ Ongeza kwenye smoothies, uji, au mtindi.
✔️ Changanya kwenye juice zako za matunda.
✔️ Tumia k**a natural ingredient kwenye cakes, biscuits, mikate n.k.

🌱 100% natural, hauna kemikali yoyote, na umejaa nguvu za asili za matunda. NI BLUEBERRIES TUPU!!👌🏾

📌 Unapatikana kwa;
100g - 45,000 Tshs
250g - 80,000 Tshs

👉 Wasiliana nasi sasa!!
📲 0784525204 (Kwa Delivery Service)

📌The stock is limited.

💪🏽

15/09/2025

👉🏽 K**a huwa unasimama au kukaa kwa muda mrefu ukiwa ofisini au hata nyumbani, basi hizi Massage Sandals ni kwa ajili yako!!

02/09/2025

👣 VAA. TEMBEA. PONYA MWILI!!

✨Our newest design — crafted for comfort, elegance & daily foot therapy. Sandals zenye “massage pebbles” ambazo hukandamiza sehemu muhimu za kwenye nyayo zako kwa ustawi wa mwili mzima.

🌿 Faida za REAMI Massage Sandals:
✅ Huchochea mzunguko wa damu
✅ Hupunguza uchovu wa miguu na maumivu
✅ Husaidia kuondoa stress & kuboresha usingizi
✅ Huamsha energy ya mwili (reflexology effect)
✅ Perfect kwa kuvaa nyumbani, mapumziko kazini, au safarini.

💰 Bei: Tsh 80,000

📍Mbezi Beach, Dar es Salaam.
📲 0784525204
📦 Tunafanya delivery Dar es Salaam na nje ya Dar.

28/08/2025

👣NEW IN | REAMI Massage Sandals 👣
📌 VAA. TEMBEA. PONYA MWILI!!

✨Introducing our newest design — crafted for comfort, elegance & daily foot therapy. Sandals zenye “massage pebbles” ambazo hukandamiza sehemu muhimu za nyayo zako kwa ustawi wa mwili mzima.

🌿 Faida za REAMI Massage Sandals:
✅ Huchochea mzunguko wa damu
✅ Hupunguza uchovu wa miguu na maumivu
✅ Husaidia kuondoa stress & kuboresha usingizi
✅ Huamsha energy ya mwili (reflexology effect)
✅ Perfect kwa kuvaa nyumbani, mapumziko kazini, au safarini.

💰 Bei: Tsh 80,000

📍Mbezi Beach, Dar es Salaam.
📲 0784525204
📦 Tunafanya delivery Dar es Salaam na nje ya Dar.

👣 Step into wellness kila siku!REĀMI Massage Sandals zita-boost circulation ya damu🩸, kupunguza uchovu na stress😥, na k...
17/08/2025

👣 Step into wellness kila siku!
REĀMI Massage Sandals zita-boost circulation ya damu🩸, kupunguza uchovu na stress😥, na kukupa natural foot therapy 🌿.
Kila hatua = relaxation + afya! ✨

Get a pair for only 80,000/= Tshs.

Tunafanya delivery popote!!!

📲 0784525204

Em fikiria hii…Kila alama ya kidole kwenye mchanga🦶🏽ni kumbukumbu ya mwili unaopumua, roho inayotulia, na akili inayorud...
09/04/2025

Em fikiria hii…

Kila alama ya kidole kwenye mchanga🦶🏽ni kumbukumbu ya mwili unaopumua, roho inayotulia, na akili inayorudi kwenye msingi wake wa asili🌍

Kutembea peku ni zaidi ya kutembea.
Ni maombi ya kimya🤲🏽
Ni grounding🌱.
Ni kuishi ❤️.

Na k**a mazingira yako hayawezi kuruhusu kutembea peku kila siku…Basi REAMI Massage Sandals zipo kwa ajili yako!!
Zimeundwa kwa comfort inayoruhusu miguu kupumua,
na sole inayokumbatia ardhi k**a uko peku kweli👌🏾

Jaribu….Mwili wako utakushukuru baadae!!😊

Dear Woman,🌹🌹🌹
08/03/2025

Dear Woman,
🌹🌹🌹

“PEKUA KISHUA!!”👣KANYAGA CHINI HUKU UMEVAA VIATU!👌🏾👆🏽Ndio hisia unayoipata unapovaa sandals za REAMI!! Kazi yetu ni kuku...
28/02/2025

“PEKUA KISHUA!!”👣

KANYAGA CHINI HUKU UMEVAA VIATU!👌🏾

👆🏽Ndio hisia unayoipata unapovaa sandals za REAMI!!

Kazi yetu ni kukuletea ardhi yenye changarawe miguuni kwako, uikanyage na kutembea ukiwa salama ndani kwako…
📌Utausaidia mwili wako kuboresha mzunguko wa damu…kupambana na hali ya ganzi, uchovu, stress, maumivu ya viungo, n.k

TEMBEA KWA DAKIKA 15-30 TU KWA SIKU k**a sehemu ya mazoezi na mwili wako utakushukuru👌🏾

SIZE ZOTE ZIPO!!

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when REAMI Wellness Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share