dr.wilifred kagina. medical & health

dr.wilifred kagina. medical & health Medical & Health. Afya care .

30/11/2023

USICHUKULIE POA P.I.D! (pelvic inflamatory disease) yaani maambukizi katika via vya uzazi*🚫🚫

JE WAJUA INAWEZA KUSABABISHA UGUMBA...?

*Unapofanya vipimo na kuanza matibabu mapema, PID haiwezi kusababisha madhara yoyote mwilini mwako* . *Hata hivyo, ikiwa k**a utazembea na kuliacha tatizo hili likakaa kwa muda mrefu, PID inaweza kusababisha* *madhara yafuatayo;*

⏩ ```Maumivu ya nyonga ama tumbo ya mara kwa mara, hasa wakati wa tendo la ndoa ama kipindi cha upevushaji mayai, kutokana na majeraha yanayokuwa katika mirija ya uzazi.Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija ya uzazi ambayo hupelekea``` mirija kuziba.

⏩Kubeba mimba nje ya kizazi. Yai lililorutubishwa hushindwa kufika kwenye mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi. Hali hii inaweza kumfanya mwanamke kuvuja damu nyingi sana.

⏩Ugumba kwa mwanamke: PID inapokuwa sugu humfanya mwanamke kushindwa kushika ujauzito.

Je , Wawezaje Kuiondoa kabisa PID?

Tumia WOMEN'S KIT PACKAGE

0699496051
0699496051

*" Je ungependa kujua njia ya haraka ya kutokomeza fangasi bila kujirudia tena?..*Vitu Hivi vitano vitakusaidia kuepukan...
29/04/2023

*" Je ungependa kujua njia ya haraka ya kutokomeza fangasi bila kujirudia tena?..*
Vitu Hivi vitano vitakusaidia kuepukana na fangasi...
(1) Kutovaa Chupi na pedi za nailoni kwa muda mrefu.
(2) Kutoshiriki ngono zembe
(3) Kuzingatia Usafi wa Vyoo, Chupi na uke wako.
(4) Kunywa maji mengi ya kutosha, chakula bora na mazoezi.
(5) Kutotumia Antibiotics kupita kiasi.
*"Japo Kuwa"* hivi Unajua Kwamba kuna njia rahisi zaidi ya kutokomeza fangasi sugu ndani ya siku 7 kabla ya kufanya vyote hivyo?
Zaidi ya Wanawake 66,160 wamefanikiwa kutokomeza kabisa fangasi bila kujirudia tena kwa kutumia female use package na kufuata ushauri wa hapo juu ...

Female use package ni package mwanamke anayohitaji kwa ajiri ya kujitibu na kujilinda na magonjwa mbali mbali ukeni...usipange kukosa hii package...furaha ya mwanamke.

Ntumie msg kwenda namba

0699496051
0699496051

Ujinyakulie package yako Sasahivi!

21/04/2023
🔘Faida za Tiba ya kudumu ya mifupa, mgongo,kiuno na Ganzi  Arthroextra Tablets.Arthroextra Tablets Ni vidonge vya asili ...
24/02/2023

🔘Faida za Tiba ya kudumu ya mifupa, mgongo,kiuno na Ganzi Arthroextra Tablets.

Arthroextra Tablets Ni vidonge vya asili kwaajili ya mifupa, viungo na Gegedu

🟢Viambata vyake
☆Glucosamine
☆Chondroitin
☆ Madini mhimu mbali mbali (Ca2+, Zink ,Phosphorus n.k)
☆Collagen
☆Protein
☆Hydrochloride

*Faida Zake Kiafya...*

●Huboresha viungo na kuponesha sehemu zilizoumia kwenye viungo
●Huondoa maumivu ya ugonjwa wa mifupa (osteoarthritis) na uchakavu wa mifupa
●Huimarisha mupishano mzuri wa mifupa kwenye viungo wakati wa kutembea
●Huongeza virutubisho mhimu kwenye mifupa na viungo
●Husaidia kulainisha sehem za viungo kwa sababu ya uwepo wa chondroitin
●Husaidia kuimarisha tissue na misuli inayounganisha mfupa na mfupa
●Husaidia kuzalisha ute ute kwenye maungio (synovial fluid)
●Husaidia kabisaa kuzuia ugonjwa wa mifupa na viungo (osteoarthritis)
●Huwasaidia zaidi wazee kuwa kinga na magonjwa ya viungo na mifupa kwa kuwapatia virutubisho mhimu
●Husaidia kupona haraka kwa cartilage zilizo athirika
●Huondoa maumivi ya viungo na mgongo
●Ni nzuri zaidi kwa wanawake waliokoma hedhi
●Ni nzuri kwa waliosagika pingili za mgongo

Imetengenezwa kiasili kwa 100% na viambata asilia bila kuwa na madhara mengine mwilini mwako.

WhatsApp 0699496051

🌹NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID.PID Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza Pelvic Inflammatory Disease ( P...
24/02/2023

🌹NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID.

PID Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza Pelvic Inflammatory Disease ( PID).

P.I.D Ni maambukizi au uvimbe katika via vya uzazi

CHANZO CHA PID

Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- .
👉Matumizi ya antibiotics Kwa wingi,
kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote wazuri ,Na wabaya hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi.
👉Kadhalika ujauzito kuharibika ikiwa ni pamoja na kujifungua na kuachwa bila kusafishwa
👉 Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms( kwa baadhi ya watu) na kufanya ngono zembe.
Hapa baada ya tendo la ndoa kwa baadhi ya wanawake huwa wanapata shida na mafuta ya condom
Hivyo wanapaswa kujisafisha sana
👉 Pia *hormonal imbalance* ni chanzo moja wapo baada ya kusababisha uvimbe

DALILI ZA UGONJWA WA PID

1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri .
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa laini sana hivyo Kupata michubuko kiurahisi wakati wa tendo la ndoa
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID

•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

PID inatibika na kupona Kwa haraka ukipata tiba sahihi na
Ukifuata dose sahihi

Pia ni mhimu sana kutumia vitu vyenye vitamin C za kutosha

Ila ngumu kutibika usipo fuata dose sahihi na kutotambua shida ni nini.

Mwanamke Ni Bora ukawa na shida nyingine yoyote Ila so PID hii inauwezo wa kukuharibia maisha Yako kwa haraka sana.. Hivyo Ni Muhimu kutafuta suruhisho kwa haraka

Whatsap 0699496051

24/02/2023

*🏵️Zijue Faida Za YOUTHEVER*

Kirutubisho hiki kina viambata vifuatavyo 👇

▪️Resveratrol antioxidants
▪️NMN Gene repair
▪️Grape seed extract beauty

Kwa pamoja viambata hivi hufanya kazi zifuatazo 👇👇👇

●Husaidia kuweka ngozi yako kuwa nzuri

●Huusaidia kupunguza kasi ya kuzeeka.

●Husaidia kupambana na magonjwa ya UZEE k**a vile viungo n.k

●Huondoa shida ya kisukari

●Huwasaidia wanawake maswala ya uzazi

●Huufanya mwili kuzalisha seli mpya kwa kasi na kuupa mwili nguvu

●Inatunza ngozi na kuirudisha katika uasili wake

●Husaidia kupambana na magonjwa yote ya ngozi

●Husaidia kushusha shinikizo la damu

●Husaidia ukuaji wa nywele zako

●Husaidia kupambana na saratani

●Husaidia kulinda ubongo

●Husaidia mwili wako kuonekana bado kijana sana 👩🏻👦🏻

*⚫Nani anatakiwa Kuitumia*

1️⃣ Mtu yeyote anayejipenda na mwenye kuonekana na hali yenye nguvu na kijana.

2️⃣Mtu mwenye changamoto ya shindikizo la damu (pressure) Na sukari.

3️⃣Mwenye changamoto ya Saratani yoyote mwilin.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255699496051

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dr.wilifred kagina. medical & health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category