Mtambuzi Wa Ndoa - Mshauri wa Familia

Directions

Mtambuzi Wa Ndoa - Mshauri wa Familia Mshauri wa Ndoa na Familia.

Tunatoa ushauri wa kisheria na kisaikolojia Relationship Architect | Psychology,Ndoa Nzuri Inajengwa, Haipatikani kwa Bahati,Ninakufundisha: Nani Anakufaa | Nani Anakutumia
📞 0786 865 723

03/10/2026

ITAMBUE SAIKOLOJIA YA MWANAMKE MUONGEAJI

Moja ya njia ya kuishi na mtu ni lazima uwe unamfahamu ndiyo ujuwe namna gani utaweza kuishi naye. Na njia ambayo tunakuletea ni njia nzuri sana ya kisaikolojia ambayo utaweza kuishi na mamia ya watu kwahiy chakufanya sasa 1, tufollow
2, komment
3, like
Ili video zetu zikufikiwe nyingi zaidi na kila tunapoposti uweze kuzipata

02/10/2026

Nafahamu umekuwa ni mtu wakujiuliza maswali mengi kuhusu aina hii ya mwanamke muongeaji lakin leo tumekupatia fafanuzi kuhusu huyu mwanamke anayeongea sana

Tunaomba utufollow kwaajili ya darasa + na baraka # @

01/10/2026

LEO SWALI NI MOJA TUUH
anayekupenda anakuomba hela ?

01/10/2026

Mwanamke anayeongea anaakili hii kwamaan mwanamke anayeongea moja ya sifa yake huwa anapenda sifa na hata uongeaji wake lengo lake ni ufikie sifa hizi ambaźo huo uongeaji umetanguliwa na sifa yaan k**a lau tungemfunua ndan yake tungalimkuta anapenda ameandika nataka sifa na kisaikolojia chanzo cha nguvu zake huanzia hapa na ndiy maan ktk makala yangu nilisema ( mwanamke huyu ukimsema kidogo anaathira sana na maneno hayo maan yeye anapenda kupokea maua tuuh ndiy maan anaongea ili ayapate)

30/09/2026

Hichi ndiyo kitu nambari moja chenye ushawishi mkubwa sana kwa mwanaume wewe mwanamke licha ya tabia zako ulizo kuwa nazo aysee zingatia hivi hapa nikuambiavyo

28/09/2026

Hizi ni sifa zenye historia ya kumpoteza mtu kwasababu kitendo cha mtu kuwa na aina hiyo ya mwanamke mzuri au mume mzuri ni aina ambay inapenyeza furaha ktk moyo wake kwahiy kitendo chake cha kuwa na furaha halafu siy mchamungu au siyo mwenye kushukuru anaweza akajimilikisha hata dunia na kuhisi yeye ndiyo mliki wake kwasababu anavyovihitajia ashavipata ambavyo vilikuwa vinamshughulisha akili yake lakin k**a atashukuru bas atakuwa ni bora sana lakin kule kutokushukuru kunaashiria ni aina ya utashi wake kwenye kuvipata hivyo na kumaliza mahitaji yake kimya kimya ambay hujaalia na kutokumkumbuka tena mwenyezimungu maan mara nyingi hukumbukwa wakati wa shida kwenye raha ni wachache sana ndiyo humkumbuka

28/09/2026

AINA YA WATU 5
hawa ni watu wanaokusindikiza motoni kimya kimya lakin wewe hujuw na mara nyingine ni watu wanaokuwa wanafki ambao wanataka uzidi kupotea skia jihadharishe nao sana

Foloow, shea, like, kommenti kwaajili ya mafunzo+ baraka

27/09/2026

Ujeuri ni uhai wa moyo haijalishi ni moyo mchafu au moyo msafi lakini ujeuri tuuh ni uhai.

Watu wengi hawajuw kuwa ujeuri ni neema na sisi kwetu tuna mwita mtu mjeuri ni mtu aliye hai na mtoto jeuri ni bora sana kuliko mtoto asiyejeur lakini kabla ya kupitiwa na elimu

Naomba maoni yako

27/09/2026
27/09/2026

Hili naimani ndiyo siku yako ya kwanza kulisikia

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtambuzi Wa Ndoa - Mshauri wa Familia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share