SerenOx Africa

SerenOx Africa Huduma za Kibingwa katika magonjwa ya damu ๐Ÿฉธ
Maabara ya kisasa | Matokeo ya uhakika
Hematolojia โ€ข Vinasaba โ€ข Ushauri
Kwa gharama nafuu

Huduma zetu za ushauri wa vinasaba (genetic counselling) zinakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yako na ya fami...
13/07/2026

Huduma zetu za ushauri wa vinasaba (genetic counselling) zinakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yako na ya familia yako. Tunachambua historia ya familia, kusaidia kuelewa vipimo vya vinasaba, na kutoa mwongozo pamoja na msaada wa kitaalamu na kihisia.

Kuanzia tathmini ya hatari ya saratani hadi ushauri wa ujauzitoโ€”haupo peke yako.

Weka miadi leo.

____
Our genetic counselling services help you make informed decisions about your health and your familyโ€™s future. We assess inherited risks, guide you through genetic testing, and provide clear, compassionate support every step of the way.

From cancer risk assessment to prenatal guidance, you donโ€™t have to navigate it alone.

Book a consultation today.

๐Ÿ“ SerenOx Africa
๐Ÿ“ž +255 679 338 696
๐ŸŒ www.serenoxafrica.co.tz


๐Ÿ“ SerenOx Africa
๐Ÿ“ž +255 679 338 696
๐ŸŒ www.serenoxafrica.co.tz

Msimu huu wa Siku ya Baba, usiishie tu kumtumia ujumbe wa "Heri ya Siku ya Baba."Akina baba wamezoea kujitolea na kutunz...
27/06/2026

Msimu huu wa Siku ya Baba, usiishie tu kumtumia ujumbe wa "Heri ya Siku ya Baba."

Akina baba wamezoea kujitolea na kutunza wengine kila siku, kiasi kwamba ni rahisi kusahau au kupuuza afya zao wenyewe.

SerenOx Africa inakuletea kifurushi hiki maalum cha vipimo vya afya vilivyoteuliwa kwa ajili ya akina baba wote wapekee maishani mwetu.

Kwa kutumia sampuli ndogo tu ya damu na mkojo, unaweza kupata picha kamili ya viashiria vya kisukari, afya ya moyo, ini, figo, tezi dume na mengine mengi. Kwa sababu upendo wa kweli ni vitendo.

๐Ÿ“ Mahali: Upanga, Dar es Salaam
๐Ÿ“ž Weka Miadi Sasa: +255 679 338 696
๐ŸŒ Tovuti: serenoxafrica.co.tz
Mtag baba yako (au mtu yeyote wa kipekee aliye k**a baba kwako) na umwekee miadi ya uchunguzi leo. Tutafsiri nia njema kuwa matunzo halisi. ๐Ÿ’™

---

This Fatherโ€™s Day season, donโ€™t just end it with a โ€œHappy Fatherโ€™s Dayโ€ text.
Fathers are entirely used to caring and providing for othersโ€”so much so that they frequently forget or ignore their own health.

SerenOx Africa is offering this curated special wellness package just for the amazing fathers in our lives.

A simple blood and urine sample can give you valuable insights into diabetes risk, heart health, liver, kidney function, prostate and more. Because real love looks like action.

๐Ÿ“ Location: Upanga, Dar es Salaam
๐Ÿ“ž Call/WhatsApp to Book: +255 679 338 696
๐ŸŒ Website: serenoxafrica.co.tz
Tag your dad (or that special father figure) and book his check-up today. Letโ€™s turn good intentions into real care. ๐Ÿ’™

By mid-morning, every chair under the tent was full.More than 200 people turned out in Msanga, Kisarawe, for a day of fr...
08/06/2026

By mid-morning, every chair under the tent was full.

More than 200 people turned out in Msanga, Kisarawe, for a day of free health services, led by Tanzania Health Opportunities () with a wider team of partners. Screening, consultations, care, and answers, all in one place, close to home.

Access to care is the heart of what we do. We brought screening, lab, and pharmacy support to the day, with a particular eye for the blood conditions we know well.

Days like this answer a quiet question: the need exists, and the community showed up to prove it.

This is the kind of day we want more of.

---
Kufikia mchana, kila kiti chini ya hema kilikuwa kimejaa.
Zaidi ya watu 200 walijitokeza Msanga, Kisarawe, kwa siku ya huduma za afya bila malipo, iliyoongozwa na Tanzania Health Opportunities (THO) pamoja na timu pana ya washirika. Uchunguzi, ushauri, huduma, na majibu, vyote mahali pamoja, karibu na nyumbani.
Upatikanaji wa huduma za afya ndio kiini cha kazi yetu. Tulileta uchunguzi, maabara, na huduma za famasi kwa siku hii, tukiwa na umakini wa kipekee kwa magonjwa ya damu tunayoyafahamu vyema. Siku k**a hii hujibu swali la kimya: mahitaji yapo, na jamii ilijitokeza kuthibitisha.

Hii ndiyo aina ya siku tunayotaka kuiona zaidi.

Serum protein electrophoresis separates blood proteins to detect monoclonal bands, the hallmark of plasma cell disorders...
04/06/2026

Serum protein electrophoresis separates blood proteins to detect monoclonal bands, the hallmark of plasma cell disorders.

It is used to diagnose multiple myeloma, MGUS, and related conditions, and to track disease burden throughout treatment.

If you are living with one of these conditions, or being investigated for one, ask your clinician whether serum protein electrophoresis has a place in your care.

We accept Britam and GA Insurance.
๐Ÿ“ Upanga, Dar es Salaam
๐Ÿ“ž +255 679 338 696

Molecular Monitoring: BCR-ABL Testing at SerenOx AfricaThe BCR-ABL test is a standard tool for the diagnosis and monitor...
04/06/2026

Molecular Monitoring: BCR-ABL Testing at SerenOx Africa

The BCR-ABL test is a standard tool for the diagnosis and monitoring of CML and Ph+ ALL. Our laboratory provides accurate detection of p210 and p190 transcripts to assist clinicians in tracking treatment response.

Now available at SerenOx Africa.
We accept: BRITAM Insurance, GA Insurance

๐Ÿ“ Upanga, Dar es Salaam
๐Ÿ“ž +255 679 338 696

Some blood cancers look the same under a microscope. But they act very differently in the body.Flow cytometry tells them...
04/06/2026

Some blood cancers look the same under a microscope. But they act very differently in the body.

Flow cytometry tells them apart. It passes cells one by one through a laser to read the markers that show each cancer's exact type. This is what makes the right treatment possible.

SerenOx Africa offers flow cytometry and specialist blood testing, here in Tanzania.

We accept Britam and GA Insurance.
๐Ÿ“ž +255 679 338 696
๐ŸŒ www.serenoxafrica.co.tz



--
Baadhi ya saratani za damu zinafanana zinapotazamwa kwa darubini. Lakini zina tabia tofauti sana mwilini.

Flow cytometry inazitofautisha. Inapitisha seli moja baada ya nyingine kupitia leza ili kusoma alama zinazoonyesha aina kamili ya kila saratani. Hili ndilo linalowezesha matibabu sahihi.

SerenOx Africa inatoa huduma ya flow cytometry na vipimo maalum vya damu, hapa Tanzania.

Tunapokea bima ya Britam na GA Insurance.
๐Ÿ“ž +255 679 338 696
๐ŸŒ www.serenoxafrica.co.tz

28/05/2026
28/05/2026
26/05/2026

Address

3 Kilombero Street
Dar Es Salaam
11000

Opening Hours

Monday 08:30 - 20:30
Tuesday 08:30 - 20:30
Wednesday 08:30 - 20:30
Thursday 08:30 - 20:30
Friday 08:30 - 20:30
Saturday 09:00 - 15:00

Telephone

+255679338696

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SerenOx Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to SerenOx Africa:

Shortcuts

Share

Category