31/08/2026
UKENI SAFI, AFYA NJEMA, UJASIRI KAMILI! 💚
Afya ya uke ni sehemu muhimu ya afya ya mwanamke. Kujitunza kwa usahihi husaidia kulinda mazingira ya kawaida ya uke na kupunguza usumbufu unaoweza kusababishwa na usafi usio sahihi.
✨ Kumbuka: ✔️ Osha sehemu ya nje kwa maji safi; epuka kuosha ndani ya uke.
✔️ Epuka sabuni kali, perfume na bidhaa zenye harufu kali sehemu za siri.
✔️ Vaa chupi safi na zisizobana sana.
✔️ Badilisha pedi mara kwa mara wakati wa hedhi.
✔️ Ukiona harufu mbaya, uchafu usio wa kawaida, kuwasha au maumivu, tafuta ushauri wa kitaalamu.
💚 Usifiche dalili—tafuta chanzo.
JHC Healthcare tunatoa elimu na mwongozo kuhusu afya ya uke na afya ya uzazi.
📞 Piga simu: 0651729907
💬 WhatsApp: 0657104599
🌿 JHC Healthcare — Elimu sahihi • Ushauri sahihi • Afya bora
ElimuYaAfya Wanawake