Saikolojia akili

Saikolojia akili Ni kituo Cha masuluhisho, ni mahali sahihi pakupata ushauri wa saikolojia na ushauri wa kiroho kupitia neno la Mungu
Mawasiliano 0612001042

25/07/2026

HUDUMA ZITOLEWAZO

Deliverence[Ukombozi]

Prophency[ Unabii]

Impartation[ Uwekezaji wa nguvu za kiroho]

Healing [ Uponyaji]

Tuwasiliane WhatsApp 0621001042

07/07/2026

KARIBU UWE MWANAFAMILIA YA AGAPE 0621001042

AFYA YA AKILI

‎Nilipokuwa nikiandaa somo la Afya ya Akili

nilishtushwa na takwimu za hivi karibuni za Shirika la Afya Duniani (WHO).

‎Zaidi ya watu 720,000 hufariki kwa kujiua kila mwaka duniani.

Kila kifo ni hadithi ya maumivu, mapambano na wakati mwingine ukimya ambao haukusikilizwa.

‎Jambo lililonigusa zaidi ni kwamba WANAUME wanaathirika kwa kiwango kikubwa zaidi katika vifo vya KUJIUA.

Tafiti zinaonyesha kuwa WANAUME wengi husita kuzungumza kuhusu maumivu yao, huona kuomba msaada k**a udhaifu, na mara nyingi hubeba mizigo yao kimya kimya mpaka inapokuwa mizito sana.

‎Nina ujumbe mmoja kwa WANAUME wenzangu,
‎Usinyamaze. Zungumza.

Omba msaada KUJIUA NI UBINAFSI.

‎Hakuna udhaifu katika kusema, "Ninapitia kipindi kigumu."

Hakuna aibu katika kutafuta ushauri au msaada.

‎Mwanaume wa kweli si yule anayeficha machozi yake; ni yule anayekuwa na ujasiri wa kukabiliana na changamoto zake kwa njia sahihi.

‎KUMBUKA: Kushiriki maumivu yako kunaweza kuokoa maisha yako.

‎Tujenge utamaduni wa kusikilizana, kuombeana na kuambiana ukweli.

AFYA YA AKILI ni muhimu, na maisha yako yana thamani kubwa mbele za Mungu.

‎Wanaume, tuzungumze.

Hatuko peke yetu.

Mshauri wa Saikolojia, Mahusiano na ndoa 0621001042

02/07/2026

*TANGAZO LA KUJICHOTEA BARAKA*

Naomba ukisikia kuna mtu binafsi au kikundi au familia wanatafuta sehemu ya kufanya matendo ya huruma kwa wahitaji naomba uniunganishe naye nimwonyeshe sehemu ambayo atajichotea baraka za kipekee 0621001042 Asante sana

NAHITAJI MFADHILI MWENYE MOYO WA MAJITOLEO WA KUNUNU HIYO DEKA KWA AJILI KITUO CHA KIROHO CHA MOUNT HOREB KUNA BWENI MOJ...
30/06/2026

NAHITAJI MFADHILI MWENYE MOYO WA MAJITOLEO WA KUNUNU HIYO DEKA KWA AJILI KITUO CHA KIROHO CHA MOUNT HOREB KUNA BWENI MOJA LINAUPUNGUFU WA VITANDA KARIBU DM 0621001042

12/06/2026

UNA MAWAZO MENGI KULIKO UNAVYOONESHA?

Kila siku unasikiliza matatizo ya wengine.

Unaendelea kutimiza majukumu yako.

Unaonekana uko sawa.

Lakini nani anasikiliza wewe unapochoka?

Ushauri Nasihi na Saikolojia Tiba

Online Session: TZS 35,000
Ana kwa Ana: TZS 50,000

WhatsApp: +255 621001042

Usibebe kila kitu peke yako.

11/06/2026

*UNATAKA MTOTO WA NAMNA GANI, WA K**E AU WAKIUME, UNATAKA MMOJA AU MAPACHA, MUNGU ANATAKA KUSIKIA UNDANI WOTE*

WASILIANA NA OFISI YA AGAPE 0621001042

08/06/2026

*NATAMANI MTU MMOJA ATEKE BARAKA ZAKE AJITOLEA MOJA KATI YA HIZI SIMU KWA AJILI YA HUDUMA YA AGAPE*

1. VIVO X300 PRO

2. OPPO FIND X9 ULTRA, Camera 2 za Megapixels 200

3. SAMSUNG S26 ULTRA, A

4. IPHONE 17 PRO MAX

Wasiliana na ofisi kwa WhatsaApp 0621001042

23/05/2026

*K**A KUNA MTU UNAMFAHAMU ANAMILIKI MASHAMBA MAKUBWA KWANZIA KIBAHA- PWANI, BAGAMOYO, KIGAMBONI, CHALINZE TAFADHALI NIJULISHE 0621001042*

11/05/2026

Sio kila mwanaume anayejua namna ya kumridhisha mwanamke wake.

Ukweli ni kwamba kuna mbinu chache sana
lakini zinafanya tofauti kubwa sana kitandani.

Ukizijua… hutahitaji tena kuhangaika.

0621001042

26/04/2026

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Saikolojia akili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category