Abite Nyumbani

Abite Nyumbani "A helping hand at home." We deal in PHYSIOTHERAPY and REHABILITATION Medical Equipment
πŸ“ž: 0767 226 702
πŸ“: Sinza Mori, Azaria Plaza, Ofisi No. 14

29/07/2026
16/07/2026
14/07/2026

Nani anahitaji zaidi msaada wa tiba ya saikolojia?

Msikilize Ms. Maria, Psychotherapist, akielezea kwa mapana zaidi.

14/07/2026

K**a una mgonjwa wa aina yoyote nyumbani, Ms. Maria (Psychotherapist) ana neno kwa ajili ya familia yako.

Kabla ya kuanza matibabau ambayo ni ya muda mrefu ni muhimu sana kuweka saikolojia ya mgonjwa sawa kupitia mtaalamu wa s...
10/07/2026

Kabla ya kuanza matibabau ambayo ni ya muda mrefu ni muhimu sana kuweka saikolojia ya mgonjwa sawa kupitia mtaalamu wa saikolojia.

Hatua hii inapaswa kuwa ya kwanza ili mgonjwa aweze kupata upeo na kujua kwanini anaanza matibabu hayo.

Walioruka huduma hii na kuruhusu wagonjwa wao kuanza matibabu ya muda mrefu wamejikuta kwenye migogoro na wagonjwa wao kwasababu wagonjwa hawafati mpango wa matibabu na hivyo huugua kila mara.

Abite Nyumbani tunaratibu upatikanaji wa huduma hii ya saikolojia hasa kwa wagonjwa walio nyumbani.

Kwanza dawa ya akili (psychotherapy/counseling), halafu dawa ya ugonjwa ifate.

Leo tunaungana na Watanzania wote kusherehekea juhudi, ubunifu na maendeleo ya biashara nchini.Tunaendelea kujitoa kukul...
07/07/2026

Leo tunaungana na Watanzania wote kusherehekea juhudi, ubunifu na maendeleo ya biashara nchini.

Tunaendelea kujitoa kukuletea huduma bora za physiotherapy na rehabilitation zinazosaidia kuboresha afya na ubora wa maisha.

Asante kwa kuendelea kutuamini.

Heri ya Sabasaba! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’™

Je, Unafahamu?
02/07/2026

Je, Unafahamu?

Address

Kimara S**a
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abite Nyumbani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Abite Nyumbani:

Shortcuts

Share