28/05/2026
Leo nimetembelewa na Albert 😁
Wazazi wake waliamua kumpa jina la “Albert” k**a ishara ya appreciation baada ya safari yao ya muda mrefu ya kutafuta mtoto kufanikiwa. Cha kufurahisha zaidi, Albert alipatikana kwa njia ya kawaida kabisa, si kupitia IVF.
Hakika imekuwa furaha kubwa kuwaona baba na mama Albert wakiwa na tabasamu na amani ya moyo baada ya kutimiza ndoto yao ya kuwa wazazi. Moments k**a hizi ndizo zinazonipa nguvu ya kuendelea kuhudumia familia nyingi zaidi.
Asanteni sana baba na mama Albert kwa upendo na heshima yenu.
Mungu amjaalie Albert akue kwa kimo, hekima, afya njema na baraka tele.