AFYA BORA

AFYA BORA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA BORA, Doctor, 33443, Dar es Salaam.

04/04/2023

Haya hayaaa kaka, dada, uncle, shangazi SOGEENI hapa, na rafiki yako unaemjua mwenye harufu kali ya kwapa kisha Njoo MBIOOOOO, Usiogope tupo hapa kwa kumsaidia, hata yule kijana / bint yako mwenye changamoto hii fanya tuwasiliane 0713936540

26/12/2022

FOREVER ALOE MPD ni sabuni ambayo : 1.Hutumika kwa ajili ya kusafisha na kuua vijidudu. 2.Ina matumizi ya kusafisha vitu vingi k**a :kufulia nguo, kuoshea vyombo, kudekia sakafu, kusafish mabafu na vyoo, kusafishia kapeti,gari na marumaru (tiles). 3.Husafisha vyombo vizuri na kuviacha vinang'ara na kuzuia sinki lisizibe na mafuta. 4.Husafisha grisi, huondoa madoa na haikwangui sakafu wala kuchubua mikono. 5.Haina phosphorus na ni rafiki wa mazingira. 6.Ina aloevera hivyo hulainisha mikono na nguo. 7.Hutumika muda mrefu.
8. Hutumika k**a mbolea. Piga/ SMS / WhatsApp 0713936540

25/10/2021

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA:

JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!

~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe

~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika k**a piles .

Katika hatua yake ya kuonekana wazi ugonjwa hujitokeza k**a uvimbe au vivimbe kadhaa kwenye maeneo ya tundu la haja kubwa.

Karibu katika kila watu wanne watu watatu kati yao wanasumbuliwa na ugonjwa huu. Ni ugonjwa wa pili kati ya magonjwa yanayosumbuwa watu wengi zaidi duniani baada ya U.T.I

Kutokana na sehemu au mahali hasa ugonjwa wenyewe unapojitokeza umepelekea watu wengi kuwa na aibu kujisema kwamba wanaumwa ugonjwa huu.

Tatizo la bawasiri linaonekana kuwawapata kirahisi zaidi wanawake kuliko wanaume.

Bawasiri ni ishara inayokuambia kwenye mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula kuna kitu hakipo sawa.

Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30_50.

❗ *MADHARA YA UGONJWA HUU:*
Hebu tupitie angalau kwa uchache madhara ya bawasiri, ili upate sababu za msingi za KUCHUKUA TAHADHARI NA HATUA YA KULISHUGHULIKIA MAPEMA:
1: Kupata *maumivu makali wakati wa kujisaidia* haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.

2: Kuna uwezekano mkubwa wa kupata *saratani ya utumbo (Cancer)* kwa sababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda.

3:. *Kutopata hamu ya tendo la ndoa* _kwa jinsia zote._

4: Kushuka kwa ubora wa mbegu za mwanaume.

5. *Upungufu wa nguvu za kiume* kwa mwanamume , ikiwemo *uume kushindwa kusimama kwa muda unaotakiwa* hivyo kupelekea kupotea kwa heshima ya ndoa.

6:Kuathirika kisaikolojia.

7: *Kutojiamini/kutokuwa na amani katika hadhara ya watu* kutokana na adha zake ikiwemo ile ya kujikuna kutokanako na kuwasha kwa ngozi ya eneo la tundu la haja kubwa (puru).

*Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba +255713936540 au 0752936540*

03/10/2021

*JE UNAFAHAMU KWANINI OMEGA 3, 6 & 9 NI MUHIMU SANA KWA AFYA ZETU !!???*

➡Utafiti ulifanywa kujua kwa nini Wajapani hawaugui magonjwa k**a kansa,kisukari na magonjwa ya moyo,ikaonekana kwamba Wajapani wanatumia sana vyakula vya baharini zaidi ukilinganisha na watu wa Magharibi wanaotumia mafuta ya wanyama.

➡Hivyo kuifanya Forever Forever Arctic Sea kuwa bidhaa muhimu sana katika afya zetu.

➡Forever Arctic Sea imetokana na mafuta ya samaki aina ya Salmon anayepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya Arctic anayetoa Omega 3 na mafuta ya mizeituni yanayotoa Omega 9 pamoja na mafuta ya Kalimari

NINI FAIDA ZAKE?

1⃣Husaidia ukuaji na ufanyaji kazi mzuri wa macho na ubongo.
Mafuta haya ni muhimu sana kwa mtu mzima na mtoto hata kabla ya kuzaliwa akiwa tumboni mwa mama ambapo husaidia mtoto kuzaliwa akiwa na mfumo mzuri wa kumbukumbu kwa mfumo wake wa fahamu kukua vizuri
2⃣Husaidia kuratibu 'hormones' vizuri mwilini
3⃣Husaidia Afya ya ngozi
4⃣Huongeza nguvu na kinga ya mwili
5⃣Husaidia kuondoa mafuta mabaya mwilini(bad cholesterol)
6⃣Husaidia matatizo ya viungo k**a miguu na mgongo
7⃣Husaidia macho kuumbika vizuri
8⃣Husaidia misuli kupata nguvu hivyo kuondokana na tatizo la misuli kukosa nguvu
9⃣Husaidia tatizo la kutekenyeka kwa viganja vya mikono
🔟Husaidia katika kansa ya maziwa
1⃣1⃣Husaidia afya ya tezi dume
1⃣2⃣Husaidia kuwa na afya nzuri ya mishipa ya damu hivyo kuepuka matatizo yasababishayo shambulio la mishipa ya ubongo 'stroke' na shambulio la mishipa ya moyo 'heart attack'

JE UNGEPENDA UTUMIE KIRUTUBISHO HIKI !??

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba+255752936540 au WhatsApp +255713936540

11/06/2021

💥AFYA BORA YA MTOTO

👉Watoto wengi husumbua sana kuoga kipindi fulani cha maisha yao, japokuwa wapo ambao sio wasumbufu.
👉kuna vyanzo vingi ambavyo mzazi anatakiwa avichunguze kwa mtoto wake,

🔷Kwa maelezo ya zaidi na jinsi ya kuzipata hizi bidhaa tuendelee kuwasiliana kwa namba +255713936540/0752936540

15/05/2021

CHUKUA MDA KIDOGO KUSOMA HUU UJUMBE HUENDA UKAWA UJUMBE MUHIMU KULIKO UJUMBE WOTE ULIOWAHI KUUSOMA LEO.

KWANINI MTU ANAKOSA NGUVU ZA KIUME:

Endapo mwanaume anashindwa kusimamisha uume (p***s), uumekukosa
nguvu ya kutosha kuingia ndani ya mwanamke au kushindwa kurudia tendo
la ndoa baada ya kumaliza bao moja
(kukojoa mara moja), huyu tuna mwita
anaupungufu wa nguvu za kiume (importency).

Kusima kwa uume kunatokana na mapigo
ya moyo kupanda baada ya mtu kupata
ashki ya kufanya tendo la ndoa(sex
arousal), hivyo basi moyo husukuma
damu nyingi kuelekea sehemu za uzazi
ambayo damu hio huijaza mishipa
midogomidogo ya damu (sponge-like
bodies) inayotengeneza uume(p***s).
Sababu zinazosababisha tatizo la nguvu za
kiume zinawekwa katika makundi mawili.
*Matatizo ya kiafya ya mwili (organic
causes).
* Matatizo ya kisaikologia ( Psychological
cause).

MATATIZO YA KIAFYA NI K**A:
>Magonjwa ya kisukari, (diabetes mellitus).
> Ugonjwa wa presha (blood pressure).
> Matatizo ya tezi dume (k**a mtu
amewahifanyiwa operation)
(prostatectomy surgery),
> Upungufu au mvurugiko wa uzalishaji
Homoni za uzazi (hormonal insufficiencies
/hypogonadism).
> Athari za matumizi ya dawa kwa muda
mrefu (drug side effect).
Matatizo haya kwa pamoja hupelekea
mishipa ya damu kuziba na mwishowe
misuli inakosa ngu za kuwezakusimama
na hatimae uume husinyaa.

MATATIZO LA KIFIKRA (Psychological reasons),
Mtu anaweza shindwa kusimamisha uume
kutokana na matatizo ya kimawazo, k**a
vile migogoro katika mahusiano, matatizo
ya kimaisha, tatizo hili hupelekea
wanaume wengi kukojoa kwa haraka sana
hali ambayo haileti raha.Lakini linatibika.


>Kushindwa kusimamisha uume mara kwa
mara,
> Uume kulala(kusinyaa)katikati ya tendo la ndoa.
> kushindwa kusimamisha ipasavyo.
> Kukojoa haraka mara baada ya kuanza
kujamiiana. Au kukaa muda mrefu sana
bila kukuojoa.
> Maumivu ya misuli ya uume wakati wa
tendo la ndoa.

Kwa maelezo au ushauri zaidi Wasiliana nasi
Kwa namba +255713936540 au 0752936540

15/05/2021

FAHAMU KUHUSU AFYA YAKO

Iko wazi kwamba kila mmoja anatambua umuhimu wakuwa na afya njema lakini kwa bahati mbaya sana walio wengi wako tayari kuhangaika na ugonjwa kuliko kuweka jitiada nyingi kuakikisha unalinda afya yako.

Watu wako tayari kusubili msiba utokee ndio achangie nasio kumchangia mgonjwa apone

Sasa ukitaka kuishi vizuri kesho akikisha Leo unafanya jitiada nyingi zaidi kuakikisha afya yako unaiboresha kilasiku,Leo hii ukiona MTU amelala chini anaumwa juwa wazi haikuanzia hapo Bali hayo ni matokeo tu kuwa mwili umepambana umefikia tamati,hauwezi tena ndio maana unaumwa na hii wengi wanaikubali zaidi kwa wazee tu utaskia maradhi yake ya utu uzima tena MTU anapotea hivi hivi kwasabu ya hizo kauli.maana kila MTU anakubali eeh uzee.

Iko hivi ukiona Leo hii mwili wako unapata changamoto yeyote ile ya kiafya basi tambua hapo ni mambo mawili tu either kinga ya mwili wako imeshuka au wa taka mwilini mwako umepita kiasi kiasi kwamba mifumo ya mwili inashindwa kufanya kazi.

Wengi mnakimbilia dawa jamani k**a hizi dawa ndio zingekuwa suluisho la wewe kuwa na afya njema basi watu wanao udhuria pharmacy kilasiku na wale wanaoudhuria clinic mbali mbali afya zao zingekuwa bora sana lakini chukua muda wako ulitafakari hilo MTU pekee mwenye afya nzuri leo ni yule mwaka wa pili mpaka wa tano sasa haijui panadol wala pharmacy inafananaje.
Tafuta dawa pale penye ulazima iliusije kupoteza uhai kwa haraka(gafra ) lakini usiweke maisha yako ya kila siku dawa kuwa chakula chako Bali akikisha unakula lishe sahihi na virutubisho muhimu ilikuweza kuepukana na maradhi na kuupa mwili wako uwezo wa kupigana na maradhi

Kwa maelezo wazaidi wasiliana nasi kwa namba +255713936540 au 0752936540

12/05/2021

FOREVER MURT MACA

24/09/2020

Zanzibar 🔥🔥🔥
Kwa mara nyengine tena nina kualika wewe na wote unaowajali, ndugu, jirani, marafiki, wafanya kazi wenzio na hata unaofanya nao mazoezi kwenye semina kubwa ya afya,

si unajua kila kukicha idadi ya watu wanao dumbukia kwenye maradhi yasiyo ambukizi inavyozidi kuongezeka?
Kutakuwa na watu mahiri sana na Mgeni wetu wa heshima siku hii, Vincent Bullrush mwalimu wangu wa afya na lishe aliebobea kwa zaidi ya miaka 12 💪🏼, anajua nini ufanye na nini usifanye ili ubaki kwenye afya nzuri siku zote,

Gharama ya kujitibia maradhi ni kubwa kuliko gharama ya kuilinda afya nzuri uliyonayo,

Jumamosi hii *MTAKWIMU HOUSE* *saa 9 mchana,* kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba +255713936540 au 0752936540 ili upate card yako SASA!

30/07/2020

C9 Chalenge is Baaaaaaaack!

Nani alitamani kufanya C9 challenge mwezi wa saba na hakuweza?

Hii hapa nafasi ingine tena ya kufanya C9 yako huku iki kukuwezesha kukutana na Fit-Ambassador’s wote pamoja na watu wengine wote wanaotaka ku-look good na ku-feel good.

Karibu sana,tunaanza tarehe 4/8/2020 mkaribishe rafiki yako naye amkaribishe rafiki yake alafu marafiki wote tukutane kwenye C9 Support group tutimize malengo yetu.

Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa namba +255713836540 au 0752936540 kwa maelezo zaidi

30/07/2020

Habari marafiki,Baada ya C9 Challenge ya mwezi wa saba kufanikiwa sana na uhitaji wa kuendelea kuongoza watu kwenye magroup kuendelea kuwepo,tunawaletea C9 Challenge kwa Mara ingine tena,tutaanza 4/8/2020 na k**a ilivyo jadi yetu,tutakua na group la pamoja. Karibu ujiunge na sisi,utafurahia kufanya pamoja na watu wengine.Karibuni sana.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba +255713936540 au 0752936540 kwa maelezo zaidi

Address

33443
Dar Es Salaam
1

Telephone

+255 713 936 540

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category