MDM Urology Specialized Hospital

MDM Urology Specialized Hospital we care and provide cure Ambulance emergency Services

Happy Workers’ Day – 1st MayToday, we celebrate the strength, dedication, and compassion of every worker.At MDM Urology ...
01/05/2026

Happy Workers’ Day – 1st May

Today, we celebrate the strength, dedication, and compassion of every worker.
At MDM Urology Specialized Hospital, we honor our doctors, nurses, and all healthcare staff who work tirelessly to save lives and care for our community.

Your commitment makes a difference every single day.
We salute you. We thank you.

WE ARE HIRINGWe are currently looking for dedicated and passionate healthcare professionals to join our team.Open Positi...
11/04/2026

WE ARE HIRING

We are currently looking for dedicated and passionate healthcare professionals to join our team.

Open Position:

• Nursing Attendant (5 Positions)

⏳ Application Deadline:
One week from 11/04/2026 – 18/04/2026

📍 Placement Location:

Mbezi Beach, MDM Urology Specialized Hospital

📩 Send Your Application To:

📞 0767979751/07139797156
📧 [email protected]

Heri ya Siku ya Karume 🇹🇿Leo tunamkumbuka kwa heshima kubwa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, kiongozi aliyetoa mchango ...
07/04/2026

Heri ya Siku ya Karume 🇹🇿

Leo tunamkumbuka kwa heshima kubwa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, kiongozi aliyetoa mchango mkubwa katika kujenga umoja, mshik**ano na maendeleo ya taifa letu.

Siku hii iwe ni fursa ya kutafakari uzalendo wetu, kuenzi misingi ya haki, amani na maendeleo aliyoiasisi.

🌿 Tuendelee kushirikiana kujenga Tanzania imara na yenye mafanikio.

Heri ya Siku ya Karume! 🇹🇿

Heri ya Pasaka! 🐣🌿Katika siku hii njema ya Pasaka, tunakutakia furaha, amani na upendo tele.Pasaka iwe mwanzo wa matumai...
05/04/2026

Heri ya Pasaka! 🐣🌿

Katika siku hii njema ya Pasaka, tunakutakia furaha, amani na upendo tele.
Pasaka iwe mwanzo wa matumaini mapya, baraka na mafanikio katika maisha yako.

Mwenyezi Mungu akujalie afya njema, furaha ya kudumu na neema tele kwako na familia yako.

🌸 Heri ya Pasaka njema na yenye baraka! 🌸

Leo tunakumbuka Ijumaa Kuu, siku ya upendo wa kweli, sadaka na msamaha.Ni wakati wa kutafakari maisha yetu, kuonyesha hu...
03/04/2026

Leo tunakumbuka Ijumaa Kuu, siku ya upendo wa kweli, sadaka na msamaha.
Ni wakati wa kutafakari maisha yetu, kuonyesha huruma kwa wengine, na kuimarisha imani zetu.

Katika siku hii takatifu, tukumbuke thamani ya upendo, uvumilivu na kujitoa kwa ajili ya wengine.

🙏 MDM UROLOGY SPECIALIZED HOSPITAL tunawatakia wote Ijumaa Kuu yenye amani, utulivu na baraka tele.

“Upendo wa kweli huonekana kupitia matendo.”

🌙 Eid al-Fitr Mubarak! 🌙Tunawatakia Waislamu wote sikukuu njema yenye furaha, amani na baraka tele.Mwenyezi Mungu azikub...
21/03/2026

🌙 Eid al-Fitr Mubarak! 🌙
Tunawatakia Waislamu wote sikukuu njema yenye furaha, amani na baraka tele.
Mwenyezi Mungu azikubali ibada zenu na awajalie afya njema na mafanikio.

✨ Furahia siku hii na wapendwa wako! ✨

MDM UROLOGY SPECIALIZED HOSPITAL inawatakia heri ya siku ya wanawake duniani.
08/03/2026

MDM UROLOGY SPECIALIZED HOSPITAL inawatakia heri ya siku ya wanawake duniani.

Kambi ya Matibabu inaendelea vizuri. Wataalam wetu wapo tayari kukuhudumia. Karibu upate uchunguzi na ushauri wa kitaala...
07/03/2026

Kambi ya Matibabu inaendelea vizuri. Wataalam wetu wapo tayari kukuhudumia. Karibu upate uchunguzi na ushauri wa kitaalam kabla ya kufikia siku ya mwisho ambayo ni leo.

02/03/2026

🎉 KARIBUNI KATIKA KAMBI MAALUMU YA AFYA 🎉
📅 Tarehe: 06 & 07 Machi
📍 Mahali: MDM Hospital – Rainbow (Mkabala na Jengo la Orca Deco)
⏰ Muda: Kuanzia saa 2:00 asubuhi

✨ HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA BURE:
✅ Ushauri wa Daktari (Gynecologist, Urologist, Nutritionist)
✅ Uchunguzi wa Macho
✅ Uchunguzi wa Meno
✅ Upimaji wa Kisukari
✅ Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi
✅ Uchunguzi wa Saratani ya Matiti

Afya yako ni mtaji wako! Njoo ujihakikishie hali yako ya afya mapema.

📞 Kwa maelezo zaidi piga:
0783 254 970 / 0663 094 700

👉 TAFADHALI SHARE ujumbe huu uwafikie wengi zaidi.

🎉 KARIBUNI KATIKA KAMBI MAALUMU YA AFYA 🎉📅 Tarehe: 06 & 07 Machi📍 Mahali: MDM Hospital – Rainbow (Mkabala na Jengo la Or...
02/03/2026

🎉 KARIBUNI KATIKA KAMBI MAALUMU YA AFYA 🎉
📅 Tarehe: 06 & 07 Machi
📍 Mahali: MDM Hospital – Rainbow (Mkabala na Jengo la Orca Deco)
⏰ Muda: Kuanzia saa 2:00 asubuhi

✨ HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA BURE:
✅ Ushauri wa Daktari (Gynecologist, Urologist, Nutritionist)
✅ Uchunguzi wa Macho
✅ Uchunguzi wa Meno
✅ Upimaji wa Kisukari
✅ Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi
✅ Uchunguzi wa Saratani ya Matiti

Afya yako ni mtaji wako! Njoo ujihakikishie hali yako ya afya mapema.

📞 Kwa maelezo zaidi piga:
0783 254 970 / 0663 094 700

👉 TAFADHALI SHARE ujumbe huu uwafikie wengi zaidi.

Katika kipindi hiki kitakatifu cha Mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, tunatoa salamu za upendo, amani na matumaini kwa ndu...
18/02/2026

Katika kipindi hiki kitakatifu cha Mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, tunatoa salamu za upendo, amani na matumaini kwa ndugu zetu wote.

Mfungo ni wakati wa kutafakari, kusameheana, kujitakasa kiroho na kimwili, pamoja na kuimarisha mahusiano yetu na Mwenyezi Mungu na jamii inayotuzunguka. Ni kipindi cha huruma, upendo na kusaidiana.

K**a taasisi ya afya, tunawakumbusha:
✔️ Kula lishe bora wakati wa kufuturu na daku
✔️ Kunywa maji ya kutosha
✔️ Kufuata ushauri wa daktari k**a una tatizo la kiafya
✔️ Kupumzika vya kutosha

Afya njema ni msingi wa ibada bora.

Tunawaombea Ramadhani na Kwaresma yenye baraka, amani na mafanikio katika kila hatua ya safari yenu ya kiroho.

Address

Mwai Kibaki Road Mbezi Beach Close To Rainbow Club
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MDM Urology Specialized Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to MDM Urology Specialized Hospital:

Shortcuts

Share

Category