Eternal Tanzania

Eternal Tanzania 2nd Floor, Nasra Tower Gerezani, Kariakoo

Bidhaa ni suluhisho la maumivu ya hedhi, kukosa hamu na maumivu wakati tendo au baada ya tendo, Kutoshika mimba, P.I.D, ...
16/07/2026

Bidhaa ni suluhisho la maumivu ya hedhi, kukosa hamu na maumivu wakati tendo au baada ya tendo, Kutoshika mimba, P.I.D, Ukavu na uke kulegea, uvimbe maji na maumivu ya mara kwa mara chini ya tumbo la chini

07/07/2026
This is it 😇!
01/07/2026

This is it 😇!

SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:1. Upungufu wa homoni ya testosterone:Testosterone ni homoni kuu ya kiume inayochoc...
16/08/2025

SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:

1. Upungufu wa homoni ya testosterone:
Testosterone ni homoni kuu ya kiume inayochochea hamu ya tendo la ndoa (libido) na kusaidia mfumo wa kusimama kwa uume ufanye kazi vizuri.

Kiwango kikishuka (hali inayoitwa hypogonadism), mwanaume anaweza kukosa hamu ya tendo la ndoa na pia kuwa na matatizo ya kusimamisha uume.

Sababu za kupungua kwa testosterone zinaweza kujumuisha:
• Umri mkubwa (andropause)
• Magonjwa ya tezi ya pituitari au hypothalamus
• Jeraha au ugonjwa wa korodani
• Matumizi ya dawa au homoni fulani (mfano steroids kwa muda mrefu)

2. Ugonjwa wa neva:
Kusimama kwa uume kunategemea mawasiliano mazuri kati ya ubongo, uti wa mgongo, na mishipa ya fahamu inayopeleka ishara kwenye uume.
Magonjwa au majeraha kwenye mfumo wa neva yanaweza kuvuruga mawasiliano haya, na kusababisha ED.
• Mifano ya hali zinazoweza kusababisha tatizo hili ni:
• Jeraha la uti wa mgongo (mfano kutokana na ajali)
• Multiple sclerosis (MS)
• Neuropathy kutokana na kisukari
• Upasuaji wa nyonga au wa tezi dume (prostate) unaoweza kuharibu mishipa ya fahamu.


Kimsingi, upungufu wa testosterone huathiri zaidi upande wa homoni na hamu ya tendo la ndoa, wakati magonjwa ya neva huathiri zaidi mfumo wa mawasiliano kati ya ubongo na uume

Wasiliana nasi kwa uchunguzi na msaada zaidi.
+255 760 800 300

24/07/2025

Welcome to the happiest family,
Join us
Enjoy life

MAUMIVU YA MARA KWA MARA YA TUMBO LA  CHINI SI YA KUPUUZWA, KWANI NI VIASHIRIA VYA MATATIZO MAKUBWA KATIKA MFUMO WA UZAZ...
14/06/2025

MAUMIVU YA MARA KWA MARA YA TUMBO LA CHINI SI YA KUPUUZWA, KWANI NI VIASHIRIA VYA MATATIZO MAKUBWA KATIKA MFUMO WA UZAZI K**A..!

*️⃣ Uvimbe (Fibroids)
*️⃣Uvimbe maji katika ovari (Ovarian Cyst)
*️⃣P.I.D
*️⃣Uchafu katika mirija na via vya uzazi
*️⃣Uwiano mbaya wa vichocheo ya uzazi (Hormonal Imbalance)

⏹️MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUTOKEA ENDAPO UTACHELEWA KUPATA TIBA KWA MUDA MREFU NI:

*️⃣Ugumba /Kutoshika mimba (Infertility)
*️⃣Maumivu wakati tendo na kukosa hamu
*️⃣SARATANI (Cancer)

⏹️KARIBU KWA VIPIMO, USHAURI NA TIBA KWA GHARAMA NAFUU.

Simu: +255 689 470 010 / 0760 800 300

Kazi kubwa sana imefanywa na viongozi wetu Madam Magreth (MKT) na Mr Jonathan (M/MKT) kwa kiipokea kampuni yetu ya Etern...
26/02/2025

Kazi kubwa sana imefanywa na viongozi wetu Madam Magreth (MKT) na Mr Jonathan (M/MKT) kwa kiipokea kampuni yetu ya Eternal International kwa mikono miwili na kuwaelimisha vijana wa KiTanzania kuchangamkia fursa na faida zinazopatikana Eternal. Watu wengi wamebadili maisha yao kiafaya na kiuchumi kupitia kampuni hii ya Eternal International Tanzania.

Address

Kisarawe Street
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eternal Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share