Safari ya Leba

Safari ya Leba We provide online and offline consultation for health issues, including men and women with reproductive issues, menstrual problems.......

23/05/2026

Tumepata shuhuda ya Baby girl leo, Mungu ni mwema sanaπŸ™

Nawe wakati wako umekaribia tumbo lako litabarikiwa utapokea baby girl au Boy 🀲🀲

πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ

🌷 Ovulation Test Strips ni njia rahisi inayosaidia wanawake kutambua siku zenye uwezekano mkubwa wa kupata ujauzito kwa ...
18/05/2026

🌷 Ovulation Test Strips ni njia rahisi inayosaidia wanawake kutambua siku zenye uwezekano mkubwa wa kupata ujauzito kwa kufuatilia mabadiliko ya homoni ya LH mwilini.

Faida za kutumia Ovulation Test Strips:
β€’ Husaidia kutambua siku za rutuba kwa usahihi
β€’ Hutoa matokeo kwa haraka
β€’ Rahisi kutumia ukiwa nyumbani
β€’ Husaidia kuelewa vizuri mzunguko wa hedhi
β€’ Huongeza nafasi ya kupanga muda sahihi wa kupata ujauzito
β€’ Hupunguza kubahatisha siku za ovulation

Kujua mwili wako ni hatua muhimu katika kuboresha afya ya uzazi πŸ’š

Kwa ushauri wa afya ya uzazi wasiliana nasi kwa 0678959490

🌸 OVIPLUS – MSAADA WA AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE 🌸Je, unapitia changamoto ya homoni au kupata ujauzito?Oviplus ni virutu...
18/05/2026

🌸 OVIPLUS – MSAADA WA AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE 🌸

Je, unapitia changamoto ya homoni au kupata ujauzito?

Oviplus ni virutubisho vya asili vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi na kuongeza uwezekano wa kubeba mimba. πŸ’š
βœ… Husaidia afya ya homoni
βœ… Husaidia kupevusha mayai
βœ… Husaidia kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito
βœ… Vidonge vya asili vyenye virutubisho muhimu

🎁 BONUS MAALUMU!
Kila atakayetumia Oviplus atapata Ovulation Test Strip BURE ili kusaidia kufahamu siku sahihi za rutuba kwa usahihi zaidi. 🌸

πŸ“© Wasiliana nasi sasa kupata maelezo zaidi.

Piga 0678959490

πŸ”₯ Unahitaji Ujauzito Haraka?Usiendelee kusubiri bila majibu!Pata ushauri wa kitaalamu wa uzazi moja kwa moja kupitia Mr ...
24/03/2026

πŸ”₯ Unahitaji Ujauzito Haraka?
Usiendelee kusubiri bila majibu!

Pata ushauri wa kitaalamu wa uzazi moja kwa moja kupitia Mr Afya App β€” bila usumbufu, bila aibu.

πŸ’š Tunakusaidia:
βœ”οΈ Kuelewa chanzo cha tatizo
βœ”οΈ Kupata mwongozo sahihi wa tiba
βœ”οΈ Kuongeza nafasi ya kushika mimba

πŸ“² Download Mr Afya App sasa
au
πŸ“ž Piga simu bure: 0678 95 94 90

πŸ‘‰ Anza safari yako ya kuwa mzazi leo!

Eid Mubarak
21/03/2026

Eid Mubarak

15/03/2026

Neema juu ya Neema

13/03/2026

Ndano Green Nutrition 1️⃣ Hedhi zako zinakuja vizuri kila mwezi?

2️⃣ Unajua k**a mayai yako yanakomaa na kutoka kila mwezi?

3️⃣ Inawezekana mirija ya uzazi ipo sawa haijaziba?

4️⃣ Je, kuna maambukizi kwenye kizazi yanayoweza kuzuia ujauzito?

5️⃣ Umehakikisha afya ya mbegu za mwenzi wako ziko sawa?

πŸ“± Usibaki na maswali bila majibu.

Pakua Mr Afya App upate elimu sahihi ya afya ya uzazi na ushauri wa wataalamu moja kwa moja kupitia simu yako.

28/02/2026

β€œMwaka Mpya Mwema! πŸŽ‰Asante kwa kuwa familia ya Safari ya Leba . Tunawatakia mwaka wenye afya njema, mafanikio na fursa m...
01/01/2026

β€œMwaka Mpya Mwema! πŸŽ‰
Asante kwa kuwa familia ya Safari ya Leba . Tunawatakia mwaka wenye afya njema, mafanikio na fursa mpya. Tupo pamoja kuijenga jamii yenye afya bora.”

Address

Tabata Aroma
Dar Es Salaam
12103

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Safari ya Leba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Safari ya Leba:

Shortcuts

Share