30/07/2026
MADAKTARI BINGWA WANAPATIKANA LEO ALHAMISI!
✅ Wanawake na Uzazi (Gynecologist) – Saa 3:00 Asubuhi hadi 12:00 Jioni
✅ Magonjwa ya Ndani (Physician) – Saa 11:00 Jioni hadi 2:00 Usiku
✅ Watoto (Paediatrician) – Saa 11:00 Jioni hadi 2:00 Usiku
📍 Mlimani Tower, Ghorofa ya Tatu, mkabala na Mlimani City Mall.
📞 Miadi: 0756 942 306