01/05/2026
🌍 Afya ya Akili: Nguvu ya Mafanikio Yako
Sio kila uchovu unahitaji mapumziko ya kulala; mara nyingine unahitaji utulivu wa ndani na msaada wa kitaalamu.
Katika ulimwengu wa sasa wenye kasi na shinikizo kubwa, afya ya akili ndiyo injini ya mafanikio yako.
✨ Kwa wewe binafsi: Ikiwa unahisi mzigo wa mawazo, uchovu wa akili, au changamoto za maisha, usikae kimya. Individual counselling ni nafasi yako ya kupata msaada wa kitaalamu, faragha na mwongozo utakaokusaidia kurejesha nguvu na utulivu wa ndani.
Kwa wewe mwenyewe taasisi au kampuni - wafanyakazi wenye amani ni wafanyakazi wanaozalisha zaidi.
Mental Health Tanzania (MHT) tupo hapa kukusaidia kuboresha ustawi wako wa akili—iwe kazini au katika maisha yako binafsi.
Tuna uzoefu wa kutosha na timu ya wataalamu waliobobea katika kutoa tiba na mafunzo yanayoleta matokeo yanayoonekana.
Wekeza kwenye rasilimali muhimu zaidi—Afya ya Akili, wasiliana nasi kupitia WhatsApp au barua pepe ili upate mwongozo wa huduma zetu katika huu mwezi wa kuongeza uelewa wa afya ya akili
📞 +255 742 501 501
📧 [email protected]
🌐 www.mht.care
Chukua hatua sasa—kwa timu yako na kwa nafsi yako.
Tu follow WhatsApp Channel yetu: https://whatsapp.com/channel/0029VaD60Ak4tRrpOGF8Vu2J