Business Suite Max

Business Suite Max All in one business solution App Powered by Digital Finix - wasiliana nasi +255 625 187 455

KIBOKO YA CHANGAMOTO ZA BIASHARA YAKO YUPO HAPA!Anatatua matatizo yafuatayo:1. Unapata wateja wachache?2. Wateja hawarud...
20/07/2026

KIBOKO YA CHANGAMOTO ZA BIASHARA YAKO YUPO HAPA!

Anatatua matatizo yafuatayo:

1. Unapata wateja wachache?
2. Wateja hawarudi kwenye biashara yako / kununua?
3. Unashindwa kuwafuatilia / kuwarudisha wateja wako wa zamani?
4. Unashindwa kuwafikishia wateja taarifa muhimu, ofa au bidhaa mpya kwa wakati?
5. unashindwa kutangaza bidhaa mpya au unatangaza kwa shida
6. Unashindwa kutunza mawasiliano ya wateja wako sehemu moja
7 Unakosa ripoti sahihi za mauzo / stock / usimamizi na maendeleo ya biashara yako?

Business Suite Max ndiyo suluhisho lako pekee hii ni App, ni rahisi kutumia na inatatua changamoto zote zilizotajwa hapo juu, haihitaji ujuzi wa Kiingereza, ni nzuri kwa biashara zote dukani au hata unayefanyia biashara nyumbani.

Business Suite Max inapatikana kwa bei poa ya kitanzania / faida lukuki hakuna hofu tena zama za digitali kwanini uteseke?

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo

**Digital Finix Team**

๐Ÿ“ฑ Call / WhatsApp: +255 625 187 455
๐ŸŒ Website: https://www.digitalfinix.co.tz

Bado unahangaika na changamoto hizi?โŒ Mauzo yanashukaโŒ Wateja hawafiki kwa urahisiโŒ Matangazo hayaleti matokeo unayotege...
15/07/2026

Bado unahangaika na changamoto hizi?

โŒ Mauzo yanashuka
โŒ Wateja hawafiki kwa urahisi
โŒ Matangazo hayaleti matokeo unayotegemea
โŒ Ripoti za biashara haziko wazi
โŒ Unapoteza muda kusimamia biashara ukiwa mbali

Sasa kuna suluhisho! Business Suite Max

Ni App moja rahisi sana kutumia hata kwa asiyejua kiingereza inakuwezesha kufanya yafuatayo

โœ… Kutafuta wateja na kuuza Online
โœ… Kusimamia na kuendesha duka / biashara yako kidigitali, huitaji makaratasi tena kuangalia au kuandaa ripoti
โœ… Kutunza rekodi za wateja k**a vile mawasiliano , oda zao nk
โœ… Kutuma matangazo ya bishara, ofa, ujio bidhaa mpya kwa wateja wako wapya na wazamani

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi kwa msaada zaidi kuhusu Business Suite Max.

Digital Finix Team
๐ŸŒ www.digitalfinix.co.tz
๐Ÿ“ž +255 625 187 455

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Business Suite Max posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share