Tiba ya Asili

Tiba ya Asili TUNASAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO ZA AFYA YA UZAZI KWA UPANDE WA WANAUME NA WANAWAKE

16/07/2026
🚨 WANAUME WENGI HUPUUZA DALILI HII... MPAKA INAKUWA KUBWA ZAIDI!Wakati mwingine mwili huonyesha dalili mapema, lakini wa...
15/07/2026

🚨 WANAUME WENGI HUPUUZA DALILI HII... MPAKA INAKUWA KUBWA ZAIDI!

Wakati mwingine mwili huonyesha dalili mapema, lakini watu wengi huzipuuzia.

❌ Kuchoka kila wakati.

❌ Kukosa usingizi wa kutosha.

❌ Msongo wa mawazo wa muda mrefu.

❌ Kutofanya mazoezi.

Mambo haya yanaweza kuathiri afya yako kwa ujumla.
Usisubiri hadi hali iwe mbaya.

Anza leo kuboresha mtindo wako wa maisha kwa kulala vizuri, kula lishe bora, kufanya mazoezi na kutafuta ushauri wa kitaalamu pale inapohitajika.

πŸ’¬ Je, ni tabia ipi unadhani wanaume wengi hupuuza?

πŸ‘‡ Andika maoni yako kwenye comments.

14/07/2026

😳 K**a baada ya bao la kwanza unazima kabisa... sikiliza hii!

Wanaume wengi hudhani hali hii ni ya kawaida, lakini wakati mwingine inaweza kuhusishwa na mambo k**a uchovu, msongo wa mawazo, usingizi hafifu, lishe duni au changamoto nyingine za kiafya.

Usikimbilie kuamini kila ushauri unaousikia mtandaoni.

Ukiona hali hii inaendelea kwa muda mrefu au inakusumbua, ni muhimu kupata ushauri kutoka kwa mtaalamu wa afya.

πŸ’¬ Je, umewahi kusikia kuhusu hali hii?

Andika "NDIYO" kwenye maoni au uliza swali lako kwenye comments.

πŸ”₯ KUDUMU KWENYE TENDO DK 30–45 πŸ”₯πŸ‘‰ Chaguo la wanaume wanaotaka kujiamini zaidiFaida 3 Kuu: βœ”οΈ Husaidia kuongeza stamina n...
28/04/2026

πŸ”₯ KUDUMU KWENYE TENDO DK 30–45 πŸ”₯

πŸ‘‰ Chaguo la wanaume wanaotaka kujiamini zaidi

Faida 3 Kuu:

βœ”οΈ Husaidia kuongeza stamina na muda wa tendo
βœ”οΈ Huchangia kujiamini zaidi faragha
βœ”οΈ Husaidia kuboresha ubora wa mahusiano

πŸ“ Inatumia viambato vya asili
πŸ“ Rahisi kutumia

πŸ“ž Piga/WhatsApp: 0742769797
πŸ“ Temeke

JE, UNA MPANGO SAHIHI WA KULA? πŸ€”
22/01/2026

JE, UNA MPANGO SAHIHI WA KULA? πŸ€”

Watch, follow, and discover more trending content.

🍽️ Unachokula Leo Kinaamua Mwonekano Wako Kesho!Kila uma unaoingia mdomoni, unaamua k**a utapunguza unene au utaongeza m...
21/01/2026

🍽️ Unachokula Leo Kinaamua Mwonekano Wako Kesho!

Kila uma unaoingia mdomoni, unaamua k**a utapunguza unene au utaongeza mzigo wa mwili.

Chakula sahihi + mpangilio mzuri = matokeo halisi πŸ“‰

πŸ“ Unene sio bahati mbaya
Ni matokeo ya maamuzi ya kila siku:

βœ” Aina ya chakula
βœ” Kiasi unachokula
βœ” Muda wa kula

πŸ₯— Badilisha mlo wako, badilisha mwili wako

Anza safari ya kupunguza unene kwa njia salama, ya asili na endelevu.

Hakuna mateso, hakuna njaa kali β€” ni maarifa + mwelekeo sahihi.
πŸš€ Sasa ni wakati wako!

πŸ‘‰ Nifollow kwenye account hii kwa elimu zaidi ya afya na kupunguza unene

πŸ“ž Piga simu au tuma WhatsApp sasa kupata ushauri wa moja kwa moja

πŸ“² Usisubiri unene uongeze madhara β€” chukua hatua leo!

πŸ’š Afya kwanza, mwonekano unafuata.

🚨 SUMU MWILINI ZINAKUUA TARATIBU! 🚨K**a: ❌ Unaamka umechoka kila siku❌ Tumbo linajaa gesi, choo hakikai sawa❌ Ngozi imec...
19/01/2026

🚨 SUMU MWILINI ZINAKUUA TARATIBU! 🚨

K**a: ❌ Unaamka umechoka kila siku

❌ Tumbo linajaa gesi, choo hakikai sawa
❌ Ngozi imechoka, uso hauna mwanga
❌ Akili nzito, nguvu hakuna hata kidogo

USIPUUZE 😑

πŸ‘‰ HIZI NI DALILI ZA MWILI ULIOJAA SUMU!

Kadri unavyoendelea kula, kunywa na kupumua kila siku,

☠️ sumu zinaendelea kujikusanya ndani ya mwili wako
☠️ zinaathiri ini, damu na mmeng’enyo
☠️ na mwisho wake ni uchovu wa kudumu na maradhi ya mara kwa mara

πŸ”₯ SULUHISHO LA ASILI LIPO! πŸ”₯
πŸ₯• MIRACLE JUICE

Mchanganyiko mkali wa

Karoti β€’ Seleri β€’ Tango β€’ Beetroot β€’ Limao β€’ Tangawizi

βœ… Husafisha mwili kutoka ndani
βœ… Huamsha ini kufanya kazi vizuri
βœ… Hukurejeshea nguvu, mwepesi na mng’ao

⏰ KUSUBIRI NI KUJIUA TARATIBU!

πŸ‘‰ ANZA DETOX YAKO SASA
πŸ‘‰ USISUBIRI UGONJWA UKUONYEE
πŸ‘‰ CHAGUA AFYA LEO, SIO KESHO!

πŸ’š Mwili wako hauna β€œreset button”…
πŸ‘‰ ILA MIRACLE JUICE NDIO MWANZO! πŸ’šπŸ”₯

15/01/2026

πŸ”₯ HABARI NJEMA ZANZIBAR! πŸ”₯

Sasa tunao wakala Unguja – Zanzibar

Huduma karibu zaidi, haraka zaidi, na salama zaidi!

πŸ“ž Piga simu sasa: 0742769797
πŸ“ Unguja – Zanzibar

Address

TEMEKE SUDAN
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba ya Asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba ya Asili:

Shortcuts

Share