Miracolo Hospital

Miracolo Hospital Miracolo Hospital was openned june this year and we focus on delivering quality care and value for m

At Miracolo we bring together specialist from all four majour depertment, we have an ultra modern well operating laboratory equipped with variety of tests,
Collectively our hospital opens 24hrs with full functioning Laboratory pharmacyand highly qualified team of stuffs
At Miracolo our Motto is to Save life,we focus on the needs of the patients and their diseases while balancing the goal of provi

ding superb highest standard of care in affordable and easly accessible way. Strong focus on patient safety,continual improvement and best clinical outcome

03/08/2026
01/08/2026

“Kama umewahi kutibiwa Miracolo, kumleta mtoto wako, mzazi wako, ndugu au rafiki… basi video hii ni kwa ajili yako. ”

Miaka 10 ya Miracolo Hospital imefika! 🎉

Miaka 10 ya wagonjwa.
Miaka 10 ya familia.
Miaka 10 ya changamoto.
Miaka 10 ya kujifunza.
Na zaidi ya yote, miaka 10 ya kuaminiwa.

Lakini miaka 10 ya Miracolo isingekuwa na maana bila WEWE.

Ndiyo maana katika kusherehekea Miaka yetu 10, tungependa kukutana nawe, kukushukuru na kuendelea na safari hii pamoja.

Karibu Miracolo Hospital.

Kwa sababu afya yako si jambo la kusubiri mpaka kesho.

Miaka 10 ya Huduma Bora — Tuendelee Pamoja.

📍 Miracolo Hospital
📞 Wasiliana nasi leo 0719856600/0765954147/0621023308

Je, wewe umeifahamu Miracolo kwa miaka mingapi? 👇🏽
Tuandikie kwenye comments — 1, 3, 5, 10+? ❤️

Tabasamu lako linastahili uangalizi bora Safisha meno yako leo na uondoe uchafu, harufu mbaya na magonjwa ya fidhi.Wataa...
31/07/2026

Tabasamu lako linastahili uangalizi bora
Safisha meno yako leo na uondoe uchafu, harufu mbaya na magonjwa ya fidhi.
Wataalamu wetu wa meno wako tayari kukuhudumia.
📍 Miracolo Hospital, Tabata Sanene
📞 0719 856 600

Homa ya Ini inaweza kuzuilika! 🛡️  Katika Siku ya Homa ya Ini Duniani, tunakukumbusha kujikinga.  Osha mikono, kula sala...
28/07/2026

Homa ya Ini inaweza kuzuilika! 🛡️
Katika Siku ya Homa ya Ini Duniani, tunakukumbusha kujikinga.
Osha mikono, kula salama, fanya vipimo.
Usisubiri dalili zikuumize.
Miracolo Hospital tuko kwa ajili yako.
📞 Piga sasa: 0719 856 600

Your health is our priority! ✨  From medical check-ups to quick appointments and trusted medicine services — Miracolo Ho...
25/07/2026

Your health is our priority! ✨
From medical check-ups to quick appointments and trusted medicine services — Miracolo Hospital is here for you and your family.
"We give new smile to your family"
📞 Call now: 0719 856 600

Offer kubwa ya matibabu bado inaendelea karibu upate huduma bora  kwa offer kabambe .Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupit...
14/07/2026

Offer kubwa ya matibabu bado inaendelea karibu upate huduma bora kwa offer kabambe .

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia 0719856600.

Tupo wazi Huduma zinaedelea   kafibu yukuhudumie.Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0719856600
12/07/2026

Tupo wazi Huduma zinaedelea kafibu yukuhudumie.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0719856600

Address

Tabata Sanene, Opposite Tusiime Primary School
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255719856600

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Miracolo Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Miracolo Hospital:

Shortcuts

Share

Category