19/04/2026
📌 MASWALI YA UZAZI YANAYOWATESA WANAUME NA WANAWAKE
1. Je, ni kwanini napata hedhi kila mwezi lakini sipati mimba?
2. Ni nini husababisha mwanaume kuwa na mbegu dhaifu au chache?
3. Kwa nini mwanamke anapata mimba haraka, lakini mwingine anachukua muda mrefu sana?
4. Je, kutoa mimba (abortion) kunaweza kuharibu uwezo wa kupata ujauzito baadaye?
5. Ni sababu gani zinazosababisha mimba kuharibika mara kwa mara?
6. Je, unene uliopitiliza au uzito mdogo unaathiri uwezo wa kupata mtoto?
7. Ni kwanini mwanamke anakosa hedhi bila kuwa mjamzito?
8. Je, maambukizi ya mara kwa mara sehemu za siri yanaweza kusababisha ugumba?
9. Kwa nini mwanaume anashindwa kudumu kwenye tendo la ndoa?
10. Je, vyakula vinaweza kuharibu au kuboresha uwezo wa uzazi?
11. Ni dalili zipi zinaonyesha mayai ya mwanamke hayakomai vizuri?
12. Je, kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa muda mrefu kunaathiri uzazi?
13. Ni kwanini baadhi ya wanawake hawapati hisia wakati wa tendo la ndoa?
14. Je, msongo wa mawazo (stress) unaathiri uwezo wa kupata mimba?
15. Ni wakati gani sahihi wa kufanya tendo ili kupata ujauzito?
16. Kwa nini mwanaume anawahi kufika kileleni (kumwaga haraka)?
17. Je, tatizo la homoni linaweza kuzuia kupata mtoto?
18. Ni kwa nini baadhi ya wanandoa wote wanaonekana wazima lakini hawapati mtoto?
⸻
📌 UJUMBE MUHIMU
Maswali haya yanaonesha ukweli mmoja 👉 matatizo ya uzazi ni ya kawaida, lakini yanahitaji uelewa sahihi na matibabu sahihi mapema.
👉 K**a unapitia changamoto yoyote kati ya hizi:
DAWA ZIPO zimeandaliwa kusaidia kusawazisha homoni, kuboresha mbegu za kiume na kuimarisha afya ya uzazi kwa ujumla.
📞 Wasiliana nasi: +255748739726