Madam Con Bonesolution

Madam Con Bonesolution TUNATOA HUDUMA ZA AFYA

Hii ni Love Nature Nourishing Body Lotion with Organic Cacao Butter & Coconut Oil, ya Oriflame. Ni lotion nzuri sana kwa...
12/08/2026

Hii ni Love Nature Nourishing Body Lotion with Organic Cacao Butter & Coconut Oil, ya Oriflame. Ni lotion nzuri sana kwa ngozi kavu na inayohitaji unyevu wa muda mrefu. Inaahidi hadi masaa 24 ya hydration, ina 94% ingredients za asili, na formula yake hufyonzwa haraka bila kuacha ngozi ikiwa nzito.

03/06/2026

ESSENZA SUPREME – Harufu ya Kifahari kwa Mwanamke wa Kipekee
Unapopita… wanaangalia. Unapoongea… wanakunyamazia.
Giordani Gold Essenza Supreme si manukato tu, ni tamko la hadhi, ujasiri na anasa isiyoelezeka.

Chupa nyekundu iliyojaa mapambo ya dhahabu ya karati 24, harufu ya maua meupe yenye mvuto wa Olibanum, na uimara wa kudumu hadi saa 12 – hii ni harufu ya kifalme kwa malkia wa leo.

Weka kwenye shingo au kifundo cha mkono – na acha ulimwengu uhisie uwepo wako.

LongLastingPerfume EssenzaMagic

26/05/2026
02/05/2026

🌸 Je, unajipa usafi sahihi wa sehemu za siri kila siku?
Ukweli ni huu… wanawake wengi bado wanatumia sabuni za kawaida 🚫 ambazo huondoa ulinzi wa asili wa uke na kusababisha:
❌ Muwasho
❌ Harufu isiyo ya kawaida
❌ Ukavu au discomfort
✨ Suluhisho ni rahisi – Feminelle Cleanser Gel
Hii siyo sabuni ya kawaida, ni intimate wash maalum iliyotengenezwa kwa upole kabisa kulinda sehemu nyeti ya mwanamke 💖
✔️ Inalinda pH ya uke (inakusaidia kuepuka matatizo mengi)
✔️ Inasafisha bila kukausha wala kuchubua
✔️ Inakupa freshness ya muda mrefu siku nzima
✔️ Inafaa hata kwa ngozi sensitive sana
💭 Hebu jiulize…
Unastahili kujisikia safi, huru na confident kila siku au sivyo?
🌿 Kwa kutumia Feminelle mara kwa mara, utagundua tofauti:
✔️ Hakuna muwasho
✔️ Hakuna harufu ya kukusumbua
✔️ Ni wewe tu ukiwa comfortable na kujiamini 💃
💖 Hii ndiyo self-care ya kweli ambayo wanawake wengi wanapuuzia!
Usisubiri mpaka upate tatizo… anza kujilinda mapema.
📲 Order yako ipo hapa sasa
Wasiliana nami leo upate Feminelle Cleanser Gel yako
🔥 Jali afya yako ya uke, jali confidence yako!
WomenHealth

17/04/2026

Ubora wa afya na ngozi yako inatokana na vigani unavyotumia # # # #

10/02/2026

Unatumia skincare lakini ngozi haibadiliki?
Watu wengi wanakosea hapa hawajui skin type yao.
Nimeanza kufundisha Skincare Basics
Kwa wanaume & wanawake
Mafunzo ni BURE – WhatsApp Group
Comment nikujumuishe # #

Address

Kimara
Dar Es Salaam
325

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madam Con Bonesolution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share