16/06/2026
🍀Vagus nerves ni mishipa muhimu sana kwenye mfumo wa usagaji chakula , hio mishipa ipo seheme za shingo pande zote 2 kulia na kushoto
Kazi zake kuu ni kusimamia mfumo wa mishipa na usagaji wa chakula na upumzishaji ,
Pia husaidia umio kufunguka na kufunga wakati wa kumeza chakula ili kuzuia tindikali kupanda juu
🍀 Vagus nerve ni mojawapo ya neva kuu za mwili inayounganisha ubongo na viungo vya ndani hushuka kupitia nyuma ya sikio, mbele ya shingo na kuteremkia kwenye :
Umio ( esophagus)
Moyo
Mapafu
Tumbo
Utumbo wa chakula
🍀Mishipa ya vagus nerve ikiwa imepata athari k**a stress nk. inaweza kuzuia ufanisi wa tumbo (gastroparesis) na kusababisha chakula kukaa kwa muda mrefu bila kusagika kuongeza shinikizo, na kulazimisha asidi kurudi kwenye umio. Na kusababisha mishipa ya vugas nerve kuvimba , wasiwasi , mapigo ya moyo kupiga sana , sauti kukwaruza, kuzidi kiwango cha acid na hata kupelekea kuchelewa uponyaji wa acid reflux
🍀Namna ya kusaidia kujitibu kwa kupitia mishipa ya vugas nerver
🔆Jifanyie massage nyepesi usitumie nguvu sana na tumia mafuta yoyote ya maji
🔆Jikande pembeni mwa masikio nyuma ya shingo , mishipa ya bega na shingo. shuka kifuani , chini ya matiti na shuka tumboni kote
Hii jikande kila mara unapohisi acids imekubana sana inasaidia kuondosha changamoto k**a kizunguzungu, pumzi ya shida. Wasiwasi na hata acidi kupanda kooni
Njia 2. unaweza kuimba kwa sauti ya kubana mdomo na kusema hummmmmmmm yaani kitaalamu tunaita (humming songs) Hii inafanya kwa sauti hali umebana midomo 2 pamoja na inavuta pumzi mpaka ukiona umenyamaza mwenye ndio unafungua mdomo kuvuta pumzi kisha unaendelea tena njia hii inasaidia sana mishipa ya vagus Ku relax na kupunguza izo changamoto
Njia ya 3. Unaweza kusukitua maji kwa kwenye koo kwa kuguggili mpaka ukinyamaza meza maji na fanya tena k**a mara 3
Njia ya 4. Fanya zoezi la pumzi hili pia inatakiwa ufanye kabla ya kula na baada ya kula japo mara 10 inasaidia sana mishipa ku relax na kuwezesha chakula ku Seattle vizuri tumboni
Vuta pumzi kwa taratibu na kwa urefu unaoweza vutia kwa ndani na achilia kwa mdomoni
Njia ya 5. Kutumia vitamin B12 sambamba na vitamin d3