Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania - CCBRT

Directions Website

Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania - CCBRT CCBRT is a fully serviced hospital providing quality healthcare, from disability & rehabilitation to maternity & surgical care.

Book an appointment at our Private Clinic: ๐Ÿ“ž 0699990002. Our vision is a Tanzania where people have access to quality disability services and safe maternal and newborn healthcare.

Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, na maono yake ya kumthamini kila mtu. Afya ya wananchi ni seh...
14/10/2026

Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, na maono yake ya kumthamini kila mtu.

Afya ya wananchi ni sehemu muhimu ya maendeleo ya taifa. Hapa CCBRT Ccbrtofficial tunaendelea kusimama na jamii kwa huduma za afya zinazotolewa kwa utu na heshima.

Heri ya Siku ya Nyerere! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ“ž Simu bure: 0800 110 200

TUKO WAZI NYERERE DAYKesho, Jumatano, 14 Oktoba 2026, CCBRT itaendelea kutoa huduma za kliniki binafsi na mama na mtoto ...
13/10/2026

TUKO WAZI NYERERE DAY

Kesho, Jumatano, 14 Oktoba 2026, CCBRT itaendelea kutoa huduma za kliniki binafsi na mama na mtoto licha ya sikukuu ya kitaifa.

๐Ÿ“ž kuweka miadi na maelezo zaidi, piga bure 0800 110 200.

TUKO WAZI KESHOKesho, Jumatano, 14 Oktoba 2026, CCBRT itaendelea kutoa huduma za kliniki binafsi na mama na mtoto licha ...
13/10/2026

TUKO WAZI KESHO

Kesho, Jumatano, 14 Oktoba 2026, CCBRT itaendelea kutoa huduma za kliniki binafsi na mama na mtoto licha ya sikukuu ya kitaifa.

๐Ÿ“ž kuweka miadi na maelezo zaidi, piga bure 0800 110 200.

13/10/2026

TUKO WAZI KESHO

Kesho, Jumatano, 14 Oktoba 2026, CCBRT itaendelea kutoa huduma za kliniki binafsi na mama na mtoto.

๐Ÿ“ž Kuweka miadi na maelezo zaidi, piga bure 0800 110 200.

Forever in our hearts: Prof. Geoffrey Mmari. His wisdom and kindness touched lives far beyond CCBRT.
12/10/2026

Forever in our hearts: Prof. Geoffrey Mmari. His wisdom and kindness touched lives far beyond CCBRT.

Mgonjwa wa Fistula wasiliana nasi kwa namba hizi hapa juu.
11/10/2026

Mgonjwa wa Fistula wasiliana nasi kwa namba hizi hapa juu.

10/10/2026
Asante kwa kuichagua CCBRT na kuendelea kutuamini. ๐Ÿ’šTunatambua imani yenu ni dhamana kubwa kwetu. Asanteni kwa kutupa na...
08/10/2026

Asante kwa kuichagua CCBRT na kuendelea kutuamini. ๐Ÿ’š

Tunatambua imani yenu ni dhamana kubwa kwetu. Asanteni kwa kutupa nafasi ya kuwahudumia,tunaendelea kusikiliza, kujifunza na kufanya vizuri zaidi kwa ajili ya jamii yetu.

Happy Customer Service Week!

08/10/2026

Siku ya Uoni Duniani

Uoni mzuri hutuwezesha kuona zaidi, kufanya kazi zaidi na kufurahia maisha.

Leo, usisubiri changamoto ya uoni ijitokeze. Pima macho yako, chukua hatua mapema na wahimize wapendwa wako kufanya vivyo hivyo.

Linda macho yako leo kwa maisha yenye mwanga zaidi kesho.

Kwa huduma za afya ya macho, CCBRT Ccbrtofficial ipo kwa ajili yako. Wasiliana nasi 0800110200 au tembelea CCBRT kwa huduma na ushauri wa kitaalamu.

CCBRT Ccbrtofficial tunathamini imani mliyoweka kwetu na tutaendelea kuifanya kila hatua ya huduma iwe bora.Asanteni kwa...
08/10/2026

CCBRT Ccbrtofficial tunathamini imani mliyoweka kwetu na tutaendelea kuifanya kila hatua ya huduma iwe bora.

Asanteni kwa kutuamini. ๐Ÿ’š

Address

P. O. Box 23310
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania - CCBRT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share