majuda.nutritions

Directions

majuda.nutritions Deals with healthy development.
for all non-communicable disease treatby using food diet supplements

0786202048
09/07/2025

0786202048

*BAWASIRI INATIBIKA  BILA UPASUAJI* *Bawasiri ni hali Kupasuka kwa mishipa sehemu ya haja kubwa, damu kuganda na kujitok...
03/06/2025

*BAWASIRI INATIBIKA BILA UPASUAJI*

*Bawasiri ni hali Kupasuka kwa mishipa sehemu ya haja kubwa, damu kuganda na kujitokeza vinyama katika Maeneo hayo*

*AINA ZA BAWASIRI*

*1.Bawasiri ya ndani*
*2.Bawasiri ya nje.*

*Bawasiri ya nje hutokea mwisho wa mfereji wa haja kubwa Mishipa ya damu (vena) hupasuka na damu kuganda, ikiambatana na maumivu makali*
*Bawasiri ya ndani hutokea ndan ya mfereji wa haja kubwa, hii haiambatan na maumivu. hapa wengi huwa hawajijui*

*DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI*

1.Kuota vinyama sehemu ya haja kubwa
2.miwasho na maumivu sehemu ya haja kubwa
3.kinyesi kuvuja
4.kinyesi kutoka kuchanganyika na damu chenye harufu mbaya.

*CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI*

1.kukaa kitako au kusimama kwa muda mrefu
2.kufanya mazoezi magumu yanayokaza misuli ya haja kubwa
3.Uzito kupitiliza
4.Mapenz kinyume na maumbile
5.tatizo la kutokupata choo

Mara nyingi watu wenye tatizo hili tiba yake ni kufanyiwa upasuaji, hata hivyo wengi ilirudi baada ya UPASUAJI, changamoto hii ya BAWASIRI inatibika bila operation ndani ya mwezi mmoja tu

TIBA HII NI YA ASILI INAYOTIBU KUANZIA CHANZO CHA TATIZO LENYEWE

AMBAYO

-Inayeyusha kinyama bila upasuaji
-Huondoa miwasho na maumivu
-huweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuanzia mdomon hadi sehemu ya haja kubwa
-huondoa Bawasiri bila upasuaji.
-kulainisha choo.

*ili kuipata piga simu au tuma ujumbe kupitia namba hii+255786292048

JE, UNASUMBULIWA NA URIC ACID?Uric acid ni kemikali inayozalishwa mwilini baada ya kuvunjwa kwa purines (kemikali zinazo...
03/06/2025

JE, UNASUMBULIWA NA URIC ACID?

Uric acid ni kemikali inayozalishwa mwilini baada ya kuvunjwa kwa purines (kemikali zinazopatikana kwenye vyakula k**a nyama na samaki). Kiwango kikizidi, hujikusanya kwenye viungo na kusababisha maumivu makali.

🔵 DALILI (Symptoms):
Maumivu ya viungo (hasa miguu na mikono)
Kuvimba kwa maungio
Kuchoka haraka
Maumivu ya vidole vya miguu na mikono
Joto au wekundu kwenye maungio

🔴 SABABU (Causes):
Ulaji wa nyama nyekundu kupita kiasi
Unywaji wa pombe
Kunywa vinywaji vyenye sukari nyingi (k**a soda)
Msongo wa mawazo
Kutofanya mazoezi ya mwili

📞 MAELEZO ZAIDI / HUDUMA ZA USHAURI:

📲 +255786202048

Usikubali maumivu yakuharibie maisha. Tafuta suluhisho mapema!

By@majuda_micronutrients

*FAHAMU CHANZO, DALILI, NA TIBA ASILIA YA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCER)*Vidonda vya tumbo huathiri watu wengi bila wa...
26/05/2025

*FAHAMU CHANZO, DALILI, NA TIBA ASILIA YA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCER)*

Vidonda vya tumbo huathiri watu wengi bila wao kujua, hususani:

✔ Wanaotumia dawa za maumivu kwa muda mrefu
✔ Waliopitia msongo wa mawazo
✔ Wasiokula kwa wakati
✔ Wale wenye *Helicobacter pylori* (H. pylori)

*Kitaalamu, huu ni ugonjwa wa *Peptic Ulcer** – hali ya vidonda katika ukuta wa tumbo au utumbo mdogo. Hali hii huleta maumivu makali na usumbufu wa kudumu.

---

🔍 *CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO:*

1. Bakteria aina ya *H. pylori*
2. Matumizi ya dawa za maumivu k**a diclofenac, aspirin n.k
3. Msongo wa mawazo (stress)
4. Kula vyakula vyenye pilipili nyingi, asidi, au pombe
5. Kutokula kwa wakati

---

⚠️ *DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO:*

- Maumivu makali ya tumbo, hasa kitovuni
- Kiungulia na kujaa gesi
- Kukosa hamu ya kula
- Kichefuchefu au kutapika
- Maumivu yanayopungua baada ya kula

---

✅ *TIBA SALAMA YA VIDONDA VYA TUMBO:*

Usiendelee kuteseka!
Tunayo *TIBA LISHE ASILIA* inayosaidia:

🌱 Kupooza tumbo na kulinda kuta za tumbo
🌱 Kuua bakteria wa *H. pylori*
🌱 Kuondoa kiungulia, gesi, na maumivu ya tumbo

Homa ya Ini (Hepatitis) ni hali inayosababishwa na kuvimba kwa ini. Inaweza kusababishwa na virusi, matumizi ya pombe ku...
25/05/2025

Homa ya Ini (Hepatitis) ni hali inayosababishwa na kuvimba kwa ini. Inaweza kusababishwa na virusi, matumizi ya pombe kupita kiasi, sumu, dawa fulani, au magonjwa ya kinga mwilini. Aina kuu za virusi vya homa ya ini ni: Hepatitis A, B, C, D, na E. Hapa chini ni sababu, dalili, na aina zake kwa ufupi:

Imeandaliwa

💥Sababu za Homa ya Ini:
Maambukizi ya virusi: Hepatitis A, B, C, D, na E.
Matumizi ya pombe kwa muda mrefu.
Dawa au sumu: Mfano, dawa za TB, sumu kutoka kwenye uyoga fulani.
Magonjwa ya kinga mwilini (autoimmune hepatitis) – mwili hushambulia ini yenyewe.

🔆Dalili za Homa ya Ini:
👉 Uchovu usio wa kawaida
👉 Kichefuchefu na kutapika
👉Kupoteza hamu ya kula
👉 Maumivu upande wa kulia juu ya tumbo
👉 Macho na ngozi kuwa ya njano (jaundice)
👉 Mkojo kuwa wa njano sana
👉 Kinyesi kuwa cha rangi ya udongo
👉 Homa na maumivu ya misuli

🌼Aina za Homa ya Ini kwa Ufupi:
AinaNjia ya MaambukiziMaelezoKinga
🔸Hepatitis AChakula au maji machafuHaileti maambukizi. 0786202048

29/04/2025
Asante mungu kunifikisha mwaka mwingine sio Kwa uweza wangu bali Kwa mapenzi Yako ,Asante wazzi wngu pamoja na family yn...
13/02/2025

Asante mungu kunifikisha mwaka mwingine sio Kwa uweza wangu bali Kwa mapenzi Yako ,Asante wazzi wngu pamoja na family yngu Kwa ujumla Kwa upendo wenu bila kusau ndgu jmaa na marafiki zangu wote nashukuru Kwa upendo wenu saport yenu mpk Leo Niko hapa🙏🙏🙏🙏❤️❤️

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when majuda.nutritions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share