20/07/2026
🥬 Je, unajua kwamba unaweza kuzuia Kisukari cha Aina ya 2 (Type 2 Diabetes) kwa kubadili tu tabia kadhaa za kila siku? 🤔 Tazama video hii kufahamu ukweli kuhusu ugonjwa huu na jinsi ya kujilinda.
💬 Toa maoni yako hapo chini: Ni changamoto gani kubwa unayokutana nayo unapo jaribu kuishi maisha yenye afya?
🥑 Did you know that Type 2 Diabetes is largely preventable with simple daily habits? 🤔 This video sheds light on the facts you need to know to take control of your health.
💬 Drop a comment below: What is your biggest challenge when trying to maintain a healthy lifestyle?